wimbo huu umetungwa na Mwl Gerald wagumba na kufundishwa na waalimu wa kwaya Jay steven juma mpiga kinanda unabii upo Wilaya Rorya bubombi mpakani mwa kenya na Tanzania
Пікірлер: 53
@famadizzo-qo4mc3 ай бұрын
Mungu awabariki sana nitaalika kwangu
@thomasratemo16632 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwa utunzi na uimbaji mzuri. 🙏
@user-gv3lg3xs3s7 ай бұрын
Good work may God bless you
@bubombisdachoirtanzania58956 ай бұрын
Thanks a lot
@pambacharles81495 ай бұрын
Nimeipenda big up
@lukaphestone47426 ай бұрын
hii melody mbiu, Akasome😅🎉
@bubombisdachoirtanzania58955 ай бұрын
🙏🙏🙏
@joshuamwanda50262 ай бұрын
Safii
@Rabuorkogelo4 ай бұрын
Bwana awabariki Sana. Wimbo mzuri
@user-fs7fj7zy4o7 ай бұрын
Nimeipenda sana
@jameszacharia46627 ай бұрын
Woooooohhhh nawapenda saanaaa🎉🎉🎉🎉🎉
@bubombisdachoirtanzania58955 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu.
@bubombisdachoirtanzania58955 ай бұрын
Ubarikiwe mtu wa Baba
@user-rw9pi7gc8l3 ай бұрын
Sweet song
@ZachariaGendo-om7wc7 ай бұрын
Bubombi bwana awabariki muendeleze kazi yake
@ZachariaGendo-om7wc7 ай бұрын
Mbarikiwe
@meldaa.odhiambo54927 ай бұрын
Amina
@bubombisdachoirtanzania58957 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@fredrickmatinde79446 ай бұрын
Nawapenda sana wapendwa katika Imani .... Nawasubiria kwa makambi.
@bubombisdachoirtanzania58956 ай бұрын
Asante kwa hilo. Mungu atutangulie Katika yote, tutakuja tu