Wito Wangu S07EP09 na Sr Veritas Lawrence Likuda, Dada Wadogo wa Mt Francisko wa Asiz LSOF

  Рет қаралды 7,095

Jugo Media

Jugo Media

Күн бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 18
@RowiliMathew
@RowiliMathew Жыл бұрын
Kila la heri Sr. Veritas katika wito na utume wako. Bwana Mungu akutangulie wakati wote.
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na Wito wako sister
@user-pq8uu4mp9i
@user-pq8uu4mp9i Жыл бұрын
Mungu na aikamilishe kazi.aliyo ianzisha.mbaraka tere
@Lokadesh85
@Lokadesh85 Жыл бұрын
Wito kweli ni zawadi n'a kuiishi ni neema kama Mungu amekuita,ataweza kuitimiza kazi yake ndani yako na Kwa wale unaowahudumia
@aloysiakyaruzi3954
@aloysiakyaruzi3954 Жыл бұрын
Hongera Sana Sr Veritas Lawrence Likuda Mungu Akubariki Sana uendelee kutimiza ndoto zako za kufanyakazi katika shamba la Bwana. Nimekusikiliza vizuri nimekupenda.
@Lokadesh85
@Lokadesh85 Жыл бұрын
Una hekima kweli,Mungu azidi kukukuza katika kazi yake.Hivi karibuni utakuwa mama mkuu maana unajielewa na unailewa kazi ya Mungu ndani yako na Kwa wale unaowahudumia,basi unaweza kuwasaidia wengi
@richardjohn8020
@richardjohn8020 Жыл бұрын
dany maswali yake nayoo yamekaa kimitego
@Lokadesh85
@Lokadesh85 Жыл бұрын
Kama sijakosea,jina Veritas Linamaanisha ukweli au mkweli.
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 Жыл бұрын
Hahaaaaa!!!!! "Caritas in veritate"
@Lokadesh85
@Lokadesh85 Жыл бұрын
Nimejaribu
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 Жыл бұрын
@@Lokadesh85 uko sahihi kabisa, hiyo "caritas in veritate" maanake ni "charity in truth" ni barua ya kitume (encyclical) ya papa Benedict XVI. Ulivyosema "veritas" ni "ukweli"....uko sahihi kabisa.
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Жыл бұрын
Kazi ya sister hasa ni ipi?
@anyesiexaverymaholo6302
@anyesiexaverymaholo6302 Жыл бұрын
Ni mtumishi wa Mungu, maisha yake ni ya sala katika kumfuasa Kristu. Sista au mtawa ni wito, kama ulivyo upadre na wito wa ndoa. Hivyo sista anaweza kuwa mwalimu, au daktari n.k. Ila yote ni kwa ajili ya sifa na utukufu wa Mungu. Hakuna mipaka katika utumishi. Maisha msingi mkubwa ni sala na kazi. Kuombea mahitaji ya kanisa na watu wote. Nafikiri nimekujibu
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Жыл бұрын
Hivi usister nao ni wito? Wito gani? Anatoa huduma gani za kiroho?
@emmanuelshayo4703
@emmanuelshayo4703 Жыл бұрын
Jisomee angalau vitabu kwanza ujue nini maana ya "wito". Na kama wewe in mkatoliki nafikiri kuna maada hujasoma wakati wa mafundisho ya katekismi
@theresiashiyo6672
@theresiashiyo6672 Жыл бұрын
Huduma za kiroho uazojua wewe ni zipi? Ukizijua utafahamu kama sista anazitoa au la.
@mariamartini7459
@mariamartini7459 Жыл бұрын
Yaani kweli hata ujui kazi za masista mhh wewe ni mkatoliki kweli au
@mariamartini7459
@mariamartini7459 Жыл бұрын
Jisomee vitabu
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 127 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
SUGUYE AELEZA SABABU ZA KUFUNGIWA HUDUMA
39:41
PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Рет қаралды 45 М.
Shangwe la Kujivunia MKATOLIKI Kwaya ya Mt. Yohane Paul II - Kurasini | Dominika 16 Mwaka B
8:26
Kwaya ya Mt. Yohane Paul II - Kurasini
Рет қаралды 648
Nilijua mimi ndiye Yesu baada ya kupokea Ovacado yenye jina Afrika😂
1:00:01
Straight Path Dawah
Рет қаралды 25 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 380 М.
Wito Wangu S07EP07 na Padre Romuald Rutagerekwa Mukandara
49:00
Jugo Media
Рет қаралды 1,2 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 38 МЛН