JE UJIO WA HAKIMI YANGA UNAFAIDA GANI?/SIKIA HAPA

  Рет қаралды 19,427

Yanga TV

Yanga TV

6 күн бұрын

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Пікірлер: 37
@mariajames5558
@mariajames5558 4 күн бұрын
Hawa viongozi wa yanga wanamaono makubwa Sana na yanga itafika mbali Sana mungu awabariki viongozi wetu.
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 4 күн бұрын
Apewe maua yake akiwa hi rais wetu kiukweli 🎉🎉🎉🎉
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 4 күн бұрын
Tena mwaga yakutoshaaaa kipenziii❤
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 4 күн бұрын
Eti wa2 wanamleta manzoki haa😂😂😂 ani ata msaada katika inchii amna angalieni na mmuige engniar sio mnaleta matapixhi yale angalieni sasa misaada katoa kibao apa aruxha duu mungu akuwekee xaaana🤲🤲🤲🤲🤲🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mwanangusana
@mwanangusana 4 күн бұрын
Wenzio Wana malumbano huko bado mnawakazia kiasi chote icho 😂😂😂
@user-nd1ul1wd6m
@user-nd1ul1wd6m 4 күн бұрын
Heris ni kiongoz bora tunampenda sana
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 4 күн бұрын
Allaah Akbar
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 4 күн бұрын
Alahamndulilah Allah atuzidishie zaidi Inshaallah
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 4 күн бұрын
Namuomba M/Mungu amuweke muda mrefu na wenye faida kiongozi na viongozi wetu Inshaallah
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 3 күн бұрын
Mashaallah
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 4 күн бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kwenu nyote kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@BADAWY575
@BADAWY575 4 күн бұрын
Sie kama Yanga damu damu nawashangilia sana watoto wa nyumbani tena hope tupate kuwasajili kama watoto watatu inshallah akili za Hers hizo Eng Hers mungu akuweke vijana nataka mwenyekipaji aoneshe kuna kina lunyamila huko halooo mara Gangarinoopo huyo.Yanga Ataleeee pezooooooooodanta maua yote yote yote yote niyakwako
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 4 күн бұрын
Hakika raisi wetu anapaswa kupewa mauwa 🎉🎉🎉yake hakika ana upiga mwingi allah azidi ku msimamia kwa kila atua
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f 4 күн бұрын
Jamani kumbukeni uongo unamwisho na mwisho wa uongo ni aibu manzoki yukowapi tujifunze viongozi kwa uongo wao unaikwamisha timu mpaka sasa chagueni vionzozi wengine iliwanachama watendewe haki sio uongo uongo tuu
@JacksonZakayo-tt3jg
@JacksonZakayo-tt3jg 3 күн бұрын
Absolutely it's very interesting big up to young Africa's.
@JeminusSikumbili
@JeminusSikumbili 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@JeminusSikumbili
@JeminusSikumbili 4 күн бұрын
❤❤❤
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 4 күн бұрын
Hersi🎉!
@AnoldiMachinda
@AnoldiMachinda 4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉💚💚💚💚💥💥💥💥💥💯💯
@davidmwamgunda7870
@davidmwamgunda7870 3 күн бұрын
Uyu jamaa apewe nchii
@pendoKomba-w4i
@pendoKomba-w4i 17 сағат бұрын
Injinia nimtu hatari sana
@DeodathMwandalima
@DeodathMwandalima 2 күн бұрын
Kwan amekuja yanga? Ila yanga bhn
@amanizavala
@amanizavala 4 күн бұрын
Utopolo acheni kujipendekeza
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 4 күн бұрын
Kama wewe unavyojipendekza kwa mo ilihali anawadai mpaka mchicha aliyowamunulia 😂😂😂
@OthanMedia_
@OthanMedia_ 4 күн бұрын
Nimesikia na wao wanasema watamleta Ronaldo 😂
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 4 күн бұрын
hahahaha walete ronado pole yao
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 4 күн бұрын
Ali kamwe kazi haiwezi mashabiki wanataka kujua nin kinaendelea yeye kam sio meneja wa habari anadanga tu manara arudi
@user-yk7ff9ks6q
@user-yk7ff9ks6q 4 күн бұрын
Nana naamini ali kamwe anabebwa na mafanikio 2 huu ni muda wa kuwapasha wananchi nin kinaendelea
@MukhusinMahmoud
@MukhusinMahmoud 4 күн бұрын
Kia mtulivu bro tarehe 1 July kuna jambo linakuja
@mwanangusana
@mwanangusana 4 күн бұрын
Punguzaaa kiherehere dunduka mkubwaaaa wewe .... Ali Kamwe anafanya Kaz alizopangiwa na club sio wewe umpangie Cha kufanya ..... Management ndo inapanga mipango yake watendaji ni wajibu wao kutekeleza... Hivyo peleka huko kwa mazezeta ya mudiii
@NuruSeif-uf2ge
@NuruSeif-uf2ge 4 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪
@mwanangusana
@mwanangusana 4 күн бұрын
@@user-yk7ff9ks6q 🤣🤣 pelekee upwipwi kwa madunduka.... Kamwe anafanya Kaz yake vzr ana bebwa kwa taaluma , kipaji, ubunifu na jitihada zake bila kusahau baraka za m/mungu ndio nguzo na silaha zake kuu ... Hivyo wewe utakua ni mgeni wa masuala ya soccer au ni utakua zebendwa wa msimbazi
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,1 МЛН
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 6 МЛН
SHABIKI AAHIDI KUMPA ZAWADI CHAMA KAMA AKISAJILIWA YANGA
4:23
BAKI ONLINE TV
Рет қаралды 7 М.
DICKSON JOB AFUNGUKA KUTOONEKANA NA MZAZI MWENZAKE MARA KWA MARA
4:57
HAKUNA NDOA
11:49
Joti TV
Рет қаралды 170 М.
😲DUH! ONOYA CHARVE SANGANA  ATAMBULISHWA YANGA!
5:28
Tanzania Digital Tv
Рет қаралды 28 М.
ЖЕНЩИНУ ПОСТАВИЛИ НА ВОРОТА☠️❗️
0:20
Профессор ПельменАрти💀
Рет қаралды 777 М.