Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 66
@VictorChrispinSamsonАй бұрын
TID Mnyama, anaangalia classics tuu. You can see "Police Academy" movie kwa screen.
@nixiedexter84472 ай бұрын
Watching from UK 🇬🇧 napenda ❤
@djhajiztz2 ай бұрын
Tupajue kwa Mbosso
@AbdulazizMzeeАй бұрын
Ila bro tid eti I can't even talk kweny tv yenu lkn.😅😅😅
@user-xd2tg8eq1hАй бұрын
Dodoma sehemu gani acha maneno mengi we mtangazaji
@user-it6zi7zw8yАй бұрын
😂😂😂😂😂kichwa kikubwa kama tv yangu😂😂😂😂😂😂
@bmtbeatz920Ай бұрын
Live Your dreams guys coz nobdy cares about it like u do TID umeniinspire sana my bro✊
@hejmabohejhej9Ай бұрын
Leo T.I.D kamakomoa saleh mambo ya jikoni naona kaondoka na njaa
@PhilipoEmanueliАй бұрын
Nom sana TD
@user-xd2tg8eq1hАй бұрын
Duh kumbe mgogo mnyama siamini 🤭🤭🤭 kabisa
@kingngoshazephania4344Ай бұрын
Good man
@darlenedada651Ай бұрын
Saleh Siku moja Wende kwa zuchu Ama mbosso
@savior_sk2 ай бұрын
T.I.D 👑🔥
@user-hi8le2vb7zАй бұрын
TIDI MNYAMA ILA SIFA😊
@Babygirl758Ай бұрын
nampenda TID
@eddiemohamed90032 ай бұрын
MTOTO MDOGO UNYAMA 🔥🔥🔥🔥🔥💣💣💣🏌️
@mbaruksaid5775Ай бұрын
T.I.D namkubali huyu mwamba
@erickmuli1030Ай бұрын
mchupa wa gambe kwa mbaliii pembeni ya Sofa! Mnyamaaaa.
@barakamwasala228Ай бұрын
Uyuuu mwandishii mzushii
@emmanuelibrahim4556Ай бұрын
Now is top in dodoma😅
@vicentmapunda3146Ай бұрын
Kingereeeza cha TID BNA Aseeee.... nakielewa vbya mnooo ile kichiziiiii
@GiftAbdulyАй бұрын
Leo swalehe hakuna kula ona alivyo kuswaga😂 TID ana sifa 😂😂
@RayChausaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Wamuelewa😂😂
@SurprisedBakedCustard-vp8oiАй бұрын
Looking handsome lol 😅😉
@rotildacleophace4441Ай бұрын
Eti kama inakuja inakataaa😅😅😅
@SurprisedBakedCustard-vp8oiАй бұрын
It was hard deal for me lol 😅😉
@karyori69Ай бұрын
nilifikiri Masaki kwako kumbe kwa dada!
@user-rk1xw1ed3tАй бұрын
TID huwa anajitoa ufahamu tu ila ni kind man ssna!
@amaniomballa1855Ай бұрын
Isije ikawa kawekwa Ndani na kigogo maana Dodoma sio pouwa maana watoto Dar mlishakuwa mchicha
@msowamhokole77142 ай бұрын
Nataka nikutembelee upon wapi jamaa
@ismailmshana2828Ай бұрын
Mnyama umekua mbabu ila unapenda kuvaa mavazi ya vijana hongera
@beatbyrich2891Ай бұрын
For how long doest it will take?
@AllySarumboАй бұрын
Hizo nyumba za dodoma sana😅
@mohamedrajabu9055Ай бұрын
Mtagazaji umeyakanyaga huna nafasi ya kuongea km wewe ndio unahojiwa 😂😂
@pascalinajames91172 ай бұрын
Salehe na jìkoni😂
@RayChausaАй бұрын
😂😂😂😂😂ulimsoma😂😂😂😂
@elbarrey3305Ай бұрын
Interview ya kibabe 🙏🙏😊
@kamanda007Ай бұрын
TID unajisifia sana , unanikumbusha miaka zaidi ya 20 ulipopiga Minneapolis ukaharibu starehe za watu kwa misifa yako, inaonekana hujabadilika
@pulltheskymusicgroup4475Ай бұрын
Camera man anawenge sana
@SurprisedBakedCustard-vp8oiАй бұрын
Kichwa km tv yangu 😅
@Juke995Ай бұрын
Jaman tid kafanyaje mguu mbona anatembea kama kilema vile
@mtz5582Ай бұрын
ACHA UMBEYA NA AFYA YA MTU....ACHA LEO TAFADHALI HII TABIA KUBWA SANA TANZANIA TOKANA NA MAKUZI YA TAARAB MITAANI. ACHA LEO NA WAOMBEE WATOTO WAKO WASIIRITHI
@Juke995Ай бұрын
@@mtz5582 we msenge kaa kwa kutulia kama hauna jibu katawaze nyoko zako
@Salma-zc1ec2 ай бұрын
Ww tulete gy
@user-uo1zx4yu1zАй бұрын
Kumbe kapewa
@JacobOgola-xy5jtАй бұрын
Mbona anakaa peke ake
@dustankakil6348Ай бұрын
Kaa nae wewe
@ChamboYahaya2 ай бұрын
Nenda kwa elchapo apo dodoma upoe
@Officialjidaa-sn9csАй бұрын
I seeeee huyu mzeee mbona ni shida tupu anaishi mpweke
@omarymnuru8746Ай бұрын
Uhuni mwingi...uhuni hauna nafasi ya kukufikirisha uwaze vitu vya kimaendeleo. Kama kuwa na familia na mengineyo
@Zainab-qg6xvАй бұрын
Tid hana hata miaka hamsini na Wewe uko busy kumuita Mzee
@omarymnuru8746Ай бұрын
@@Zainab-qg6xv anakimbilia kuingia 50
@petermanala6138Ай бұрын
@@omarymnuru8746kwel na wahuni wote hawana maendeleo
@RayChausaАй бұрын
@@omarymnuru8746😂😂😂😂😂 sio kweli
@Suburo767Ай бұрын
Salehe una matiti
@nassoromussa44402 ай бұрын
Mbona anachechemea akitembea
@emmanuelmchomvu2676Ай бұрын
Inawezekna kaanguka siunajua mzee w tungi
@petermanala6138Ай бұрын
😂😂😂😂😂itakuwa kamnyweso
@Zainab_salatАй бұрын
Umri sasa😂😂😂😂😂 mm ni 33 nilijua tid nilikuwa shule ya msingi
@petermanala6138Ай бұрын
@@Zainab_salat kweli. Umri umeenda afu wanasema hamsin bado kwel