No video

#Zandaaani

  Рет қаралды 92,955

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 104
@jameswilliamputtergill504
@jameswilliamputtergill504 3 ай бұрын
all my love too everyone and the gangs, putz and one love hi you out there.
@mathayomalamba7736
@mathayomalamba7736 3 ай бұрын
Wasituuzi wamlete kwamkopo kuuziana siwanataka faida😂😂
@Saikalyasi
@Saikalyasi 3 ай бұрын
Code rahisi ni fei sukari😂😂
@hemedbamja3197
@hemedbamja3197 3 ай бұрын
Ingekuwa ni simple hivyo kujiwekea kipengele utakavyo bila kuongozwa na kanuni Figo asingehamia Madrid toka Barcelona. Wanasheria wanasema "quantum merita".hupangi fidia bila framework
@mjuaelias3681
@mjuaelias3681 3 ай бұрын
Wachambuzi njaa,water wa Engeneer
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 3 ай бұрын
Mkataba wa Figo unafanana na wa Fei? Uliusoma wapi huo Mkataba?
@rajaitv1712
@rajaitv1712 3 ай бұрын
Bilion😮😮
@alexjuve3837
@alexjuve3837 3 ай бұрын
😂😂 Momo acha kutupeperushia ndege
@user-jk4xr8tc7j
@user-jk4xr8tc7j Ай бұрын
aah mashabik wa ximba poleni xn
@jafarisaidi4988
@jafarisaidi4988 3 ай бұрын
😂😂 Momo mjinga Sana 🙌🙌
@ReheemaHassan
@ReheemaHassan 3 ай бұрын
Simba chezeni mpira acheni i vile jamani
@iddibakari6252
@iddibakari6252 3 ай бұрын
Momo kazi ya utangazaji hapo u need balance Acha kubase kishabiki
@user-zm3ei8tt6h
@user-zm3ei8tt6h 3 ай бұрын
Kuna kina jemedar uwa unasikilizaga
@peterjoseph3875
@peterjoseph3875 3 ай бұрын
0:06
@patrickprotas9184
@patrickprotas9184 3 ай бұрын
Uyoo Feisal
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 3 ай бұрын
Ataua kiwango
@makamelila
@makamelila 3 ай бұрын
Mm niulize jamani hawawatu walibunja mkayaba na hiyu mchezaji sasa haya madai ya nn tena au bikwazo tu kwa mtani
@suleimankhamis2771
@suleimankhamis2771 3 ай бұрын
Momo kudadekeeee😂 😂😂😂😂😂 kweli kabisa hanekani sahv
@mbwanamwinyi7919
@mbwanamwinyi7919 3 ай бұрын
Huyo momo anaharibu sana myanga yanga
@michezotanzaniatv
@michezotanzaniatv 3 ай бұрын
Shughuli ishakwisha hakuna cha Bilioni Wala setitano
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
Hii inaonyesha inajidhiilisha kbs yale maneno aliosema DUBE yakweli mtupu kuwa viongozi wa AZAM wana usimba na Yanga mchezaji kama FEI unawauzia Simba unampango mkakati na timu yako mfike mbali kweli?
@hamadmohammed311
@hamadmohammed311 3 ай бұрын
Acha ujinga mpira biashara lazima uuze na ununue Ili timu iwe na maendeleo
@rogersiddy
@rogersiddy 3 ай бұрын
@@hamadmohammed311 Mjinga wewe fala unaevamia comment za watu wazima kakojoe ulale
@kibundapesamadimba6352
@kibundapesamadimba6352 3 ай бұрын
Wameunganisha nguvu na tumewafyatua msimu unaisha
@bone102
@bone102 3 ай бұрын
FEISALIIII
@danielkomba5202
@danielkomba5202 3 ай бұрын
toa jero nitoe jero😂😂😂😂
@Afromusic255
@Afromusic255 3 ай бұрын
O:60
@saidseleman2973
@saidseleman2973 3 ай бұрын
Tangazeni mambo ya kishelia amuyawezi
@mtanzaniamwenzangu181
@mtanzaniamwenzangu181 3 ай бұрын
Kajifunze kuandika mambo ya kuandika huwezi "kishelia" ndio nini
@OnesmoMabena
@OnesmoMabena Ай бұрын
Basiiii
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 3 ай бұрын
Yanga inapambana azam na simba, haya simba toeni bilioni kwa yanga mumchukue feisal
@gilbertngemela6752
@gilbertngemela6752 3 ай бұрын
Ikitokea mchezaji akavunja mkataba je au mnaangalia katika upande mmoja wa kuuzwa tu
@heshimabigete3735
@heshimabigete3735 3 ай бұрын
Kwanza anakuja kwa mkopo alafu biashara kwisha
@saidseleman2973
@saidseleman2973 3 ай бұрын
Dube anaenda kiutalatibu yanga
@jafarisaidi4988
@jafarisaidi4988 3 ай бұрын
Yanga ndo anapambana na Simba & Azam
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
✌️👍👊.
@CalistEvance
@CalistEvance 3 ай бұрын
Mkopo kwishei
@magesaboniphace4045
@magesaboniphace4045 3 ай бұрын
Mbona suala dogo tu unauza timu ya nje then unafanya biashara na hiyo timu unamrudisha mtu ndan
@musanjopeka837
@musanjopeka837 3 ай бұрын
Sasa mbna ni usenge, sida yote ni ya nn?
@praygodmmari5850
@praygodmmari5850 3 ай бұрын
Daaah, ila momo so poa , kwahyo yanga anapambana na azam and simba
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa Ай бұрын
Huyu mzungumzaji ni mwongo, anaongozwa na upenzi wa timu fulani. Unapataje milioni kwa kukaa mtu kati? Acha uongo
@goodluckmchaki3256
@goodluckmchaki3256 3 ай бұрын
Wanafiki2
@user-wh2mm1eq2x
@user-wh2mm1eq2x 3 ай бұрын
Za ndaaaaaaaani❤
@why-ir8zl
@why-ir8zl 3 ай бұрын
Atakuja kwa mkopo mpende msimpende
@Donrugi
@Donrugi 3 ай бұрын
Kwanini wasimuache tu Feisal akaendelea na maisha yake.
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Kwani c anaendelea na maisha yake au
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 3 ай бұрын
Unataka aendelee vip kwani anafatiliwa
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 ай бұрын
Mpelekn kwa mkopo
@kamazimamuganyizi6932
@kamazimamuganyizi6932 3 ай бұрын
Hicho mnachikizungumza sidhani huo utaratibu km upo
@saedsoud9181
@saedsoud9181 3 ай бұрын
hakuna sheria kama hizo kwenye football
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Zipo na zitakuwepo na kama hazipo asingeenda azam
@user-yu2hh7kh8o
@user-yu2hh7kh8o 3 ай бұрын
kitu icho hakuna fei mcmu ujao yupo simba
@SaidiKaswaka
@SaidiKaswaka 3 ай бұрын
Watamtoa kwa mkopo kesi inaisha
@johnalagwa3585
@johnalagwa3585 3 ай бұрын
Fei huyooo
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 3 ай бұрын
totoooooooooo😂😂
@YahyaKondohela-nb3el
@YahyaKondohela-nb3el 2 ай бұрын
K
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w 3 ай бұрын
Momo unachekesha mno,tetesi tumeijua ni feisal
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 ай бұрын
Yanga wamuache Fei na maisha yake
@michezotanzaniatv
@michezotanzaniatv 3 ай бұрын
Hakuna upuuzi kama huo vipengere hivyo havina nguvu
@racholjohn7206
@racholjohn7206 Ай бұрын
😏😏😏😏
@SaidiKaswaka
@SaidiKaswaka 3 ай бұрын
Watamtoa kwa mkopo
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w 3 ай бұрын
Yanga na simba ,yanga hatuwawezi
@noelkingu7524
@noelkingu7524 3 ай бұрын
Aje kwa mkopooo tu
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 3 ай бұрын
Dawa ni kuvunja mkataba
@user-yi1qp6qu4n
@user-yi1qp6qu4n 3 ай бұрын
Eti toa jero na we toa jero😂😂😂😂😂😂
@YahayaBakari-hf5yk
@YahayaBakari-hf5yk 3 ай бұрын
Momo huna jipya
@Frolianagabito3000
@Frolianagabito3000 3 ай бұрын
Uyo anakuja kwa mkopo
@dullywa9973
@dullywa9973 3 ай бұрын
fusaliiii
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 3 ай бұрын
Kwani ktk miaka hiyo mitatu mkataba uliokuwa wa yanga na Feisal utakuwa haujaisha? Kipengere hicho si cha kiuanamichezo na FIFA hawatakubaliana na hilo. Simba watafanya biashara na Azam tu na mambo yaishe. Hilo deni la utopolo kama lina ukweli watalipana FIFA baada ya kuchambua sheria za mpira duniani.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 3 ай бұрын
Hakiliyako sioshelia
@agnesnombo9481
@agnesnombo9481 3 ай бұрын
yaani wewe kolo na udunduka unakusumbua sana hujui unachokiandika mbwaa wewe
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Sawa Nguruwe
@onetechnology-ix3tu
@onetechnology-ix3tu 3 ай бұрын
Hizi timu zinawanasheria wanajua wanachofanya, sio mimi na wewe mwenzangu . Unaukumbuka mkataba wa Mbwana Samata kati ya mazembe na simba
@FaustineTz
@FaustineTz 3 ай бұрын
Kaka samata alipouzwa kwenda Genk walilipwa au umesahau
@MODEMEMBE-ir4ir
@MODEMEMBE-ir4ir Ай бұрын
Hahhahahaa
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 ай бұрын
Avunje mkataba awe huru
@KhamisHassan-ql5ut
@KhamisHassan-ql5ut 3 ай бұрын
SIMBA WASENGE KWELI
@almasiahmed547
@almasiahmed547 3 ай бұрын
HAPA NDO UTAMJUA HERSI NA MANAGEMENT YAKE WAKO VP KM WANAWEZA KUPEANA KISHBIKI KWA KUWA BOSS WAO NI SIMBA PURE ALETE HIYO B MOJA MAMAE NAVTUTAPAMBANA NAO MPAKA WAKOME.
@gilbertngemela6752
@gilbertngemela6752 3 ай бұрын
Kwan mchezaji hawezi omba vunja mkataba hiyo rahis sana
@InspirationalGreyElephan-lo7mk
@InspirationalGreyElephan-lo7mk 3 ай бұрын
Hawamuuzi anaenda kwa mkopo huyo engineer amesaidia nini hapo
@stanleymwaselela1849
@stanleymwaselela1849 3 ай бұрын
Code Feitoto
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 2 ай бұрын
Acha ujinga ww
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 3 ай бұрын
Fei haondoki azam
@manuchochannel5538
@manuchochannel5538 3 ай бұрын
Wadanganyeni wajinga,wanaoishi kwa kusikia.hakuna kanuni za FIFA zenye muongozo wa namna hii
@reubenchegere2230
@reubenchegere2230 3 ай бұрын
Nitajie mchezaji wa barserona au real ambae kacheza timu zote mbili kati ya mwaka 2000 had Sasa afu ndo ujijibu kuwa haiwezekan kuwepo hicho kipengere
@gilbertngemela6752
@gilbertngemela6752 3 ай бұрын
Luis figo...unamjua kafuatilie kacheza wapi na wapi..inawezekana kwani mchezaji akitaka kuvunja mkataba aje 😊
@humphreyleodgar9434
@humphreyleodgar9434 2 ай бұрын
Mkataba ni makubaliano pande mbili wahusika walikubali na kusaini
@humphreyleodgar9434
@humphreyleodgar9434 2 ай бұрын
Na ndo maana Mhusika na yeye alitoa vipengele vyake na vikakubaliwa
@mjanthony4864
@mjanthony4864 3 ай бұрын
Momo ni mtopolo mpaka amezidiii..
@Cambarada
@Cambarada 3 ай бұрын
Fuatilia ni Simba huyo jamaa
@RichardMbise-gs9kx
@RichardMbise-gs9kx 3 ай бұрын
Msenge huyu
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 3 ай бұрын
Yanga wasenge kweli
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 3 ай бұрын
Ila ww ni kiranja wao
@mansoursaid8
@mansoursaid8 3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hasheembaadae4478
@hasheembaadae4478 3 ай бұрын
Fei
@Mumlion2624
@Mumlion2624 3 ай бұрын
Fei karibu msimbazi mwaya
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 3 ай бұрын
Haya mlisema Simba anafungwa ninyi watangazaji wajinga sana tu akili zenu hazifanyi kazi mm nampongeza ambangine peke yake ndo Hana Kaz mbovu walio bakia wote ninyi wasenge tu
@hassanmustapher624
@hassanmustapher624 3 ай бұрын
Feitoto
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 3 ай бұрын
Fei huyooo
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 10 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 3 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 47 МЛН
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 4,8 МЛН
BABA LEVO ANUNUA VIWANJA 19  / AMSHIRIKISHA WAZIRI SILAA
3:58
Wasafi Media
Рет қаралды 6 М.
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Daily News Digital
Рет қаралды 16 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 10 МЛН