Zanzibar Jang'ombe Kilimani Michenzani Mlandege..

  Рет қаралды 2,432

Discover Zanzibar

Discover Zanzibar

2 жыл бұрын

#discoverzanzibar

Пікірлер: 26
@ahmadhamid1138
@ahmadhamid1138 2 жыл бұрын
Kazii nzurii
@abdallamasoud7734
@abdallamasoud7734 2 жыл бұрын
Nice
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Thanks
@eddyeddy1337
@eddyeddy1337 2 жыл бұрын
Safi sana
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Thanks.
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Yah true tulikosea mwanzo ndio maana saivi serikali inapata shida hata kuzika mabomba ya maji. Inshaallah kheir Allah atufanyie wepesi.
@ahmadhamid1138
@ahmadhamid1138 2 жыл бұрын
Muonekano halisi
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Shukran jazakallah kheiri. Allah bless Our beloved Islands and its people. May Allah protect Zanzibari and its culture Identity and make it stand Tall as Its Once Was.🤲
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Ameen Yaarab Shukran
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 2 жыл бұрын
Hakuna mji hapo
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Alhamdulillah tunashkuru kwa Mungu alichotujaalia
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 2 жыл бұрын
Shukran jazaka Allah kheri
@nurudinjafferji
@nurudinjafferji Жыл бұрын
When did this development of these houses take place in which year.
@f66_vortex95
@f66_vortex95 2 жыл бұрын
Habari Leo nimeiyona jangombe lakini sikuiyuwa voo imebadilika sana mimi sijaja huko mwaka wa 10 huu lakini inshaallah Nitakuja Asante sana
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Shukran na ww pia karibu sana.
@afropanorama4730
@afropanorama4730 2 жыл бұрын
majumba machafu kumbe bado yapo.nilijua yashaporomoka
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Hahaha Mungu atunusuru jamani wanaishi watu mule Inshaallah yatafanyiwa repair Mungu atupe uwezo.
@mangofish9079
@mangofish9079 2 жыл бұрын
Nyumbani kwetu bado hatujaweza kutumia matumizi ya ardhi vizuri hata kidogo idadi ya magari inaongezeka sidhani kama barabara yoyote znz yenye lane 2 iliokuwa rasmi. Unguja ina kilomita za mraba 1666 km2 wakati Dubai ni 35 km2 tu lkn wana barabara lane 2 na 3. Hatuna mipango thabiti hatutizami mipango kesho itakuwaje mipango mji na miundombinu inahitajika la sivyo maeneo ya mjini yanaenda kufurika kwa idadi ya watu na vyombo. Baadhi ya wakati huwa najiuliza hii misamiati ya kuambiana tunaendelea lkn binafsi mie sioni tunaendelea ktk sekta ipi hili la miundombinu nalisemea kwa sababu linahusiana moja kwa moja baada ya kuangalia video hii.
@imsimk.khamis574
@imsimk.khamis574 2 жыл бұрын
Imekaa kama ile mitaa ya Tanganyika siku za 80s na 90s... Tandika Buguruni, Ilala, Magomeni. Poor Zanzibar its come to his Distress moment due to The CCM, Muungano and Corrupt Roothless governments Leaders.🥶😭😭😭😭😢😥. You can masure its poorness and helplessness..Subhanallah. Allah granted Zanzibar Islands & its people the right government. May Allah give Zanzibari true unity and remove them from the Uniun desseasse...Allahumma Amiin
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Ameen Inshaallah it will change.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 жыл бұрын
Hizi siasa ndizo zinairejesha nyuma Zanzibar. Ilikuwaje kabla 1963/4? Bora ya wakati wa Ukoloni kulilo sasa? Vyama ni kama timu za mpira acha ushinde yako sio issues ya Uongozi kwa sababu tokea 1963/4 viongozi ni Wazanzibar wenyewe. Tulikuwa na Maalim Seif (Mungu amrehemu) kama Wziri Kiongozi baadae Makamo wa kwanza wa Rais x 2, hivi sasa tunae Makamo wa kwanza wa Rais ambae pia alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa miaka 9, Ofisi hii ndio mipango yote ya Serikali huanzia na huishia na hakuna legacy yoyote hivyo sina matumaini itakuwaje akiwa Rais. Hivyo labda uniambie Wazanzibar hatuwezi kujiongoza na aliwahi kusema hivyo Sheikh Ameir Tajo (Mungu amrehemu) tumeharakisha uhuru.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
@@hajihassan5433Tafauti na nchi za jirani, Mheshimiwa Seif Sharif alifukuzwa na kufungwa kwa faida ya Chama Cha Makanisa (CCM) na Tanganyika. Raisi Julius Nyerere alimlazimisha Raisi Aboud Jumbe kujiuzulu nyadhifa zake zote za Zanzibar kwa faida ya Chama Cha Makanisa (CCM) na Tanganyika. Mheshimiwa Juni Duni alifukuzwa na kufungwa na maslahi ya Chama Cha Makanisa (CCM) na Tanganyika. Kadhalika Mheshimiwa Othman Omar alifukuzwa Uwanasharia kwa maslahi ya Chama Cha Makanisa na Tanganyika. Kwa nini Zanzibar walikataliwa kuuza Sukari Tanganyika lakini Tanganyika wanauza Ulevi Zanzibar?
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy 2 жыл бұрын
Shukran nzuri, pendekezo; usioneshe number plates za hizo gari za karibu...inaweza kuwaletea watu mazonge...
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Nashkuru kwa pendekezo ila itakuwa ngumu kuzikwepa au kuziba zisionekane naomba Mungu isimletee mtu mazonge
@OnlineMathsAcademy
@OnlineMathsAcademy 2 жыл бұрын
Insha Allah kama una edit labda unaweza ku blur!
@discoverzanzibar
@discoverzanzibar 2 жыл бұрын
Insha Allah ntajaribu kufanya hivo
Zanzibar Ramadhan hii mjini hakwendeki...
18:58
Discover Zanzibar
Рет қаралды 3,9 М.
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 28 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Zanzibar Miembeni Bomani Jang'ombe...
13:46
Discover Zanzibar
Рет қаралды 3,2 М.
Raia elfu moja wa Ukraine wakwama visiwani zanzibar
3:49
DW Kiswahili
Рет қаралды 8 М.
Let's tour .. Michenzani Mall, Zanzibar (Tanzania)
4:38
travelicious255
Рет қаралды 248
Chake Chake to Machomane Pemba 2024 @zanzibartowns
15:31
Zanzibar Town
Рет қаралды 2,8 М.
Zanzibar streets Darajani Malindi Forodhani Shangani January 2023.
10:38