Рет қаралды 79,767
Baraka Shamte, aliyekuwa kada na mwanachama wa CCM Zanzibar amekumbana na mazombi au watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea ikiwa ni muda mfupi baada ya yeye kutoa maoni yanayomkosoa Rais Mwinyi na serikali yake. Jambo hilo limezua mjadala mitandaoni. Katika ripoti hii tunaangalia mlolongo wa matukio ambayo yanajadiliwa sana kwenye jamii.