Kwani hatma ya Maria ni nini?? Mbona me simuelewi lamata
@chimamilion10 күн бұрын
😂😂ss prof kaguna nni baada yakuambiwa anna na frank ni watt wake
@NoorynMody10 күн бұрын
Dj mtu wa maana kabisa 😂
@olicej783710 күн бұрын
Ana kitu atafika mbali😂😂😂😂😂
@user-vz6kk8id2f10 күн бұрын
Frenk siuende Kwa maria umfumanie tumechoka drama
@AgnesDavid-et3zn10 күн бұрын
Juma kapewa taarifa kawa mzee gafla😂😂
@norahsosten699310 күн бұрын
😂😂😂😂
@HalimaHalima-rw5os10 күн бұрын
😂😂😂😂
@Juli-ep9dn10 күн бұрын
Hivi like Zina umuhimu gani maana mnaomba sana au mnalipwa
@user-bf3ij2ie5k10 күн бұрын
Bill anashangaa kila aendapo watu wamevurugwa
@marymohammed-wf8tr10 күн бұрын
Kaka frack acana namaria elewa Billy frack
@ZainabZigwa-vm4qg10 күн бұрын
Hv huyu tomasi anajielewa lkn😂😂😂
@user-df7xo5nu9z10 күн бұрын
Ila Maria hiv huku dunian kunamtu anatabia ya maria
@blackwalkerscrewMedia-qx9dg10 күн бұрын
Wadada muko !!!!!!!
@fainesmdage511410 күн бұрын
Wapo zaidi ya maria
@evekipingu10 күн бұрын
Wapoooo wengii xnaaaa
@olicej783710 күн бұрын
Tena wapo kbsaaa😂😂😂🎉@@fainesmdage5114
@m.mmarckus629810 күн бұрын
Tony nae king'ang'anizi😂😂😂 hana habarj na Femi
@sheilanaliaka10 күн бұрын
Kwani Prof anataku kutuacha mbona mapema sana
@oman1oman17910 күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢juma na kuonea huruma kweli
@sadockshubira10 күн бұрын
18:14 18:17 18:19 Maria akamatwe jmn vichwa hadi vinauma
@user-kp6lz7zs1w10 күн бұрын
Jmn mzee bili vp tn kujiombea kifo ?!
@LinahAtanas10 күн бұрын
Nyie zambi mahii juma duuu😂
@Shifra-ue8nw10 күн бұрын
Huyu Maria hata kuzimu hayupo jaman kashindikana kazaliwa na nani sijui😂😂😂😂
@sheillalukuba452610 күн бұрын
June 13 au?
@FirdausAlly-ls8fw10 күн бұрын
Jumaaa 😂😂😂😂
@Elizakilisipinilikolika199610 күн бұрын
Masikini juma wangu ana tia uruma sana jaman
@rwakitatechnology730810 күн бұрын
Mbn hamsemi kuhusu thomas
@marymohammed-wf8tr10 күн бұрын
Sasa maria utapenda nani katiyaawa watu3 nawengine wangali watakuja
@CharoGracious10 күн бұрын
Ila Maria Maria mombasa itoka chunga mimba changa mambo mengi mawazo shauri yako😂😂
@mapishiyetumazuri231210 күн бұрын
Mary hajuwi anataka nini
@Mwaija-qh9cn10 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 juma jmn pole
@user-br3yf9vx9m10 күн бұрын
Kaz ipo malia
@rehemageorge837110 күн бұрын
Chumba chenyewe kinajuq kuwa Thomas amekuja😂😂😂
@user-cf1ee3wb8z10 күн бұрын
Namuonea huruma Juma jamn😂😂😂
@MaurenEmmanuely-nc9id10 күн бұрын
Apa juma nyie wanaume km juma mjifunze kitu
@rehemageorge837110 күн бұрын
Frank mapenz yatqkuua.
@ArRahman-ih1pi10 күн бұрын
😂kweli Juma mdomo wote umeisha😅
@aminakipande564510 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Shifra-ue8nw10 күн бұрын
Juma ndo akome kupata vya urahisi😂😂😂
@albertmichael401410 күн бұрын
Huyu billy anajua sana
@LightnessUrio-fo7mq10 күн бұрын
Mbn mmefunga vilemba vyeupe kam wakorino wa kenyaaaa🎉❤😂😂😂
@user-xj4zl6ec4p10 күн бұрын
Juma myeka, limekukuta jambo, pole😂
@NoorynMody10 күн бұрын
😂
@aminakipande564510 күн бұрын
😂😂😂
@user-bf3ij2ie5k10 күн бұрын
Mtu anafaa maria ni Tony hapa maana wanajuana ndani nje huku kwengine ni kuigiza tu
@mwajumasuleiman976710 күн бұрын
Suimuavhe.anakusumbua.
@user-gn3wd1us4b10 күн бұрын
Yani huyu thomas nina bahati ya kukutana nae mara kwa mara nikitaka nimuongereshe nasikia aibu😅
@AnnaKilagwa-sn3gs10 күн бұрын
Iyo mimba ya maria mbona haikui
@SolangeNdayisenga-gn5zd10 күн бұрын
Mbona na maria ahana msimamo? Mara amupede Tony ampede frck Mara amupede muzee kipara 😂😂😂 walayi maria ni malaya hatari sana walokole kama hayo niatari sana
@user-qc1iq1yb9v10 күн бұрын
Jamani tunao tamni luka na familiar ya idi eka like 😂😂
@user-on4hc2mh9g10 күн бұрын
Juma nenda kapime wacha wasiwasi
@hameezhami779510 күн бұрын
Frank aweke cctv
@LisztharaldLizzy10 күн бұрын
Mbona me spati mwanaume kama Tomas wa kukubali kushea na mwanaume mwezie frenk😂😂😂😂
@AlbinaNdibaza10 күн бұрын
Mwishoni hakuna sauti duh ndo nini sasa
@blackwalkerscrewMedia-qx9dg10 күн бұрын
Kuna tatizo hapo 😊😊😊😊
@haryanyawu64010 күн бұрын
Jumanne😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂iyeeeeeleleeee mama mamaaaaaaaaaaaa😢😢😂😂😂😂
@theofrida10 күн бұрын
Hizo nguo za kulalia mnatangaza au, sijawahi ona dada wa kazi kavaa sleeping costum
@YusraMohammed-zj4ck10 күн бұрын
Maskini jumaaa
@buru123510 күн бұрын
Walaya wetu Maria chungu utapoteza mandevu Frink +Tonny