Mashallah msingi ya dini yetu elimu tele hongera kwenyu wahusika
@MrMom-bt9gu2 ай бұрын
Daaah jini kaongea maneno flani hivi😢😢😢
@TinaZawadi2 ай бұрын
Wow safi sana ❤❤❤
@HassanRashid-nv2ln2 ай бұрын
Ushakujaa mpka getoo na mlango nishafungaa 😅😅😅 daaa mzee umefelii apo
@mamu-ji4wl2 ай бұрын
🎉Uyoo jin wa wapii duuu so pw yan ❤ movie tamuu sana🎉
@user-fh5ko7he2z2 ай бұрын
Wafuasi wa ydone, nimefika sijachelewa sana. Hongera sana ydon much love from 🇰🇪
@Saumu2542 ай бұрын
Aaaaàh kumbe ni story😂😂😂 ila stori tamu❤
@Alim-Rachel2 ай бұрын
Nafurahi kumuona Batuli kwa mara nyingine tena hongera sana Ydon kwa kazi nzuri
@aishaabeid81062 ай бұрын
Kwahyo ilikua unamhadithia bae wako Ydon nyau ww😂
@perisbeib21262 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Na ww unakodoa tuh macho😂😂😂😂😂
@Elizakilisipinilikolika19962 ай бұрын
Asante sana kwa muenderezo mzuli jaman ❤❤❤❤❤❤❤
@samyabahatialhiani4012 ай бұрын
😁😁😁🤣waidoni wanawake watakuuwa unapenda wana wake na unajiregeza kama kamba pumbagu zako🇧🇮
@Yusra7282 ай бұрын
Ni zuri sana, ila ni fupi mno, mjitahidi kurefusha kidogo hivi vipande
@PRINCEDADY2 ай бұрын
Hatari mno kwakweli 😢mtu akupenda na akufanya uishi maisha ya ajabu duu
@FatimasaidemachudeSaide2 ай бұрын
Ydon nataka namimi ni fanhe video na wewe🥺❤️
@ydon_haider2 ай бұрын
Karibu 😊
@FatimasaidemachudeSaide2 ай бұрын
@@ydon_haider sawaaaaa asante sana
@FatimasaidemachudeSaide2 ай бұрын
@@ydon_haider please nahoba nabayako
@MercyMagwamboАй бұрын
Obrigada gostei muito da chistoria eu ercy
@SigrizerDebruyne-gy1kf2 ай бұрын
Daah jini kaongea maneno flan mpaka nimejikuta nimeumia 😂😂😂
@user-cw1yk1uc2d2 ай бұрын
😂😂alaj
@Melvy-kb3lc2 ай бұрын
Mm nikafikilia ni mm mwenyewe sina akili kumbe tuko wengi mm hadi nimelia jinsi jini alivyokuwa akiongea nikatani ku mwambie ydon asimuache jini😂😂
@user-uo1xy1eu1v2 ай бұрын
Daaah hakika kweli upendo wa vitendo unanguvu kuliko vitendo ndo maana anamaneno mazito had ydon kashindwa afanyeje
@FAITHCHIWAYA-yy4be2 ай бұрын
Ydon mm namkubali. Tumsupport kijana mwenzetu😊
@CuteMaryam8182 ай бұрын
HaSbiyaa Allah waniimaml wakeelb❤❤😢
@user-gf7bg3qf2r2 ай бұрын
Ydone usiniambie yote ilikuwa ni hadithi ukimsimulia mke wako😅😅😅😅😅ila mimi nimempenda njini ni mrembo zaidi❤❤❤❤😅😅😅😅
@leonardsylvanusi82892 ай бұрын
Nimefika tena kutoka moro town like zangu jamn
@zarejapheth72472 ай бұрын
Jini lakini kazuri kamenipa feelings walahi
@hutahuta11702 ай бұрын
❤❤😂😂😂muendelezo basi
@JosephDanphord2 ай бұрын
mnajuwa sema mnazingua padogo sana.....kwann mnakaa mda mrefu bila kutoa mwendelezo
@mussaadamkimea83592 ай бұрын
ikopoa sana hii
@PeteroEliasi2 ай бұрын
nikwel uyujamaa anapenda madem san😂😅
@DavidoSafari-gk8ji2 ай бұрын
Kazi nzuri broo ydon❤❤❤❤
@user-ie8cu9vm6p2 ай бұрын
Safi sana ❤❤❤
@user-jf3qz3il3uАй бұрын
Mashallah nice work ❤❤❤
@nadiasankar98192 ай бұрын
Udon nipe kiti nikae mana nimekua mmoja Kati ya unao wasimulia hadith iyo 😂
@PatrickPeter-ce9zn2 ай бұрын
Good job brother
@ydon_haider2 ай бұрын
Thanks
@MarKarim-km2yh2 ай бұрын
Sio YDON tu hata mm nilitamn kuiyona sura ya JINI aisee ni pic penda sana❤❤❤❤
@omarsalim65752 ай бұрын
Ashraf kisomo lini
@user-xr7rr2rf6e2 ай бұрын
Kaz nzur vijana
@SamunduSantana2 ай бұрын
Zawadi ya jini wajanja wote wana fatilia ❤
@JumaMuzee2 ай бұрын
Mnazingua mnavyo anza stolii na mnavyo ipeleka tafauti mumekua waongo
@khanhabibu-ce9qg2 ай бұрын
leo 2juane wadau wetu japo ata kwa llike
@SigrizerDebruyne-gy1kf2 ай бұрын
Nzuri k8noma
@amosmtokoma84812 ай бұрын
good🎉
@MercyMagwamboАй бұрын
Gostei muito dessi chistoria
@nezycavanga58242 ай бұрын
Assalamualaikum
@ZEPHANIAH.15882 ай бұрын
Alafu mbona mnachelewesha hizi episode 😊
@user-zc1zq3kg6e2 ай бұрын
ifike mwishoo umalaya tuuu
@stevenkabinga72542 ай бұрын
Mmmh mbn hadi naogopa
@aboiakili2 ай бұрын
Hii ni zaidi ya series
@user-pu3vr5re9t2 ай бұрын
Letini jini😈👿
@daina84642 ай бұрын
Nyingin ikuje mapem bs 😅😅😅
@YussufSaid-ph3vp2 ай бұрын
Hodi hodi uku
@Mwana85Mwana85-wz1ol2 ай бұрын
Kwan ndyo fainl nn sas ugekuwa utaka kutoka utamu umefata nn geto wap ww batuli np kutoka 🇴🇲 pambe mpe kitu hyoo batuli ww tena ydon una bahati ya kupendwa San Hila ydon naomba namba ya kk yako jaman
@KheriThabitAli2 ай бұрын
Uhakik❤❤
@PeteroEliasi2 ай бұрын
au xio
@shabanmalukullah40582 ай бұрын
Duh et mke wetu
@keyarjeyz-fy5hd2 ай бұрын
Ishima mingi wajameni
@LaisSailep2 ай бұрын
Nimrembo usimwache
@user-oc2pp7xl2d2 ай бұрын
Jaman naomba kuuliza kwaiyo yule jini ndo atorudi tena au atarejea?
@user-fu5yo1mp3y2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-bz6ch6it4l2 ай бұрын
Tunasubiria ya 20
@MalikshotelsMalikshotels2 ай бұрын
Nampenda sana dada jini please nipeni numbers lake ❤