Zawadi ya Kamati kwa Billnass na Nandy ni Mamilioni na Ndinga

  Рет қаралды 154,643

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

2 жыл бұрын

Kamati ya harusi ikikabidhi zawadi kwa maharusi Billnass na Nandy

Пікірлер: 67
@ahmaduun6523
@ahmaduun6523 2 жыл бұрын
watanzania wana hela, heshima, wana imani, mioyo ya huruma, wanapendana na pia kupenda kusaidiana mashaallah. Mola awazidishie na Mola aibariki tanzania. Love you sana from mombasa kenya..💘💝💛💟
@theresiamagnius1503
@theresiamagnius1503 2 жыл бұрын
Jamani mmejitolea sana kamati,bilnas namkeo waoneni watu walivowaitika kwenye harusi yenu mkaidumishe ndoa yenu,nanyinyi pia mkashiliki na wenzenu kwenye Mambo tofaut, hongereni wote
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 2 жыл бұрын
Jamani jamani,mkakae kwa kutulia.Mpendane kwelikweli na mvumiliane haswa.Maana muwaonee huruma ambao mko nao day one kwenye shughuli zenu za maandalizi walivyojitoa muda wao na hela zao.Please Billnas na mkeo.
@gres1182
@gres1182 2 жыл бұрын
Hii harusi ya nandy haijawahi kutokea tz hongeran nandy and nenga
@shineforever1995
@shineforever1995 2 жыл бұрын
Woooi imagine baada ya ndoa wana mamilioni ivo wakati wengineafter ndoa kuna madeni kama yote
@shukranzakaria3204
@shukranzakaria3204 2 жыл бұрын
Jaman mmetisha mungu awe nanyi
@beatricemwagike3519
@beatricemwagike3519 2 жыл бұрын
Hongereni Sana
@salamakaliasi9358
@salamakaliasi9358 2 жыл бұрын
Hapa Nandi alivaa nguo sahihi lakin ile nyingne mmh, yote kwa yote hongera kamati
@hawasaidy835
@hawasaidy835 2 жыл бұрын
Nandy mkaitunze ndoa yenu
@jacklynemutuli9793
@jacklynemutuli9793 2 жыл бұрын
Mungu aibariki hii ndoa idumu milele.....Amina
@rahmamarumuthuma2071
@rahmamarumuthuma2071 2 жыл бұрын
Hogera da nandi Allah awajalie na maelewano ishaallah kwenye ndoa
@BigawaTv
@BigawaTv 2 жыл бұрын
Hivi ni kweli jaman au na mimo nioe 😂😂😂🙏🙏🙏
@shabbykhantz3604
@shabbykhantz3604 2 жыл бұрын
Duuh mihela km yote Khaaaa 😄
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@thejohnsonmbaraka6741
@thejohnsonmbaraka6741 2 жыл бұрын
Kwa hali hii mama akiona ataachia hela kweli.
@rosemuhando6494
@rosemuhando6494 2 жыл бұрын
Hahaha jamani nataka niamie kwao angarau wanipatie mtaji
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
Kweli tafuteni pesa
@maryamtassama494
@maryamtassama494 2 жыл бұрын
Dr chem sijaipenda kazi yako.
@Mary-rv4mg
@Mary-rv4mg 2 жыл бұрын
Jamani
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Million mia moja na 67 elfu?🤔
Performance ya Marioo kwenye harusi ya Billnass na Nandy
9:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 207 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 91 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 41 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 73 МЛН
WEMA SEPETU AFANYA KUFURU KWENYE HARUSI YA NANDY NA BILL NASS
8:46
Billnass Akiwatambulisha Washkaji Zake
4:28
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 447 М.
Alikiba Alivyowaimbisha Billnass, Nandy na Wageni
4:16
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 1,2 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН