ZITTO KABWE KUHUSU DENI LA TAIFA ''ZINAKUWA KWA KASI SANA''

  Рет қаралды 11,356

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

Пікірлер: 74
@adambakari9276
@adambakari9276 4 жыл бұрын
Nakukubali miaka elf kumi...endelea kutufungua masikio bro ww ndo jembe la upizani
@talibsaid8081
@talibsaid8081 4 жыл бұрын
Jamani huyu kalewa nn manake mambo yote yanofanyika Tanzania hayaoni , kisha anasema hakuna democracy
@faridmohamed203
@faridmohamed203 4 жыл бұрын
kwa utajiri tuliokuwa nao sisi tanzania tulikuwa ndo tuwakopeshe bank kuu ya dunia sioni haja ya tanzania kukopa
@meshackmlyuka8499
@meshackmlyuka8499 3 жыл бұрын
MTU akiielewa serikr hap ntamwit mbumbumbu!!!!!
@emmanuelmoshi4938
@emmanuelmoshi4938 4 жыл бұрын
Kam wanapinga watuambia 2015 den lilikuwa kias gan n saiv 2020 n kias gan
@maxgerad5083
@maxgerad5083 4 жыл бұрын
We mwenyewe unadaiwa mkopo huko bungeni lipaa
@tyniertemba1101
@tyniertemba1101 4 жыл бұрын
Nakuona zito ukisoma notc kwa projecta....nani kagundua kama mimi nipe like
@aceotz2579
@aceotz2579 4 жыл бұрын
Tunampenda Rais wetu❤❤
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Matahira nyie
@clintongaspa9268
@clintongaspa9268 4 жыл бұрын
Hujaendaaa shule anaongelea rahis uyo kichaaa
@clintongaspa9268
@clintongaspa9268 4 жыл бұрын
We n kichaaa mpende mama ako pia
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
@@clintongaspa9268 achana nao hao wajinga wasiojua chochote wao kazi kusifia ujinga wanasahau kwamba nchi inaendeshwa kawa misingi ya katiba na sheria sasa uchumi unavyoyumba
@clintongaspa9268
@clintongaspa9268 4 жыл бұрын
@@mataamiry6720 hahaha wanaweka siasa kwnyw Mambo ya kitaifa n kile kilicho andikwa tunaaangamia kwa kukosa maarifa
@torymedia7773
@torymedia7773 4 жыл бұрын
Duuuuh aseee kumbe mm ni wakwanza
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Utajiri mlokuwa nao wapi?? Wanasiasa wanakopa humohumo wanapiga!!! Ndo maana kila kitu siri hawasemi !! Bunge linafichwa!! Mkaguzi wa ukweli prof. Asad alipohoji mapungufu ya pesa nakulitaka bunge lifanye kazi yake lisionekane dhaifu wakamuondoa kijingakijinga!! Hivi watanzania mnapataje ujasiri wa kushabikia serikali kama hii?? Yaani ndani ya miaka mnne wamekopa pesa zaidi ya kiwango kilichokopwa na serikali ya kikwete kw miaka 10. Mbaya zaidi hawatowi maelezo!!! Mtaani pesa hakuna, hajira hakuna!! Bata hatuli!! Sasa hizo pesa ziko wapi?? Mnatuibia!! Mtatuuuwa haki ya Mungu afu unakuta mijitu mingine serikali hii idumu milele!! Duh! Sijui nihamie nchi gani!! Natamani kuwa na raia wenye uwezo wa kuuona ukweli!! Tunauzwa!! Ndo maana serikali kali kama pilipili haitaki kuhojiwa!! Wanaohoji wametishwa vya kutosha!!
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Unaiaminije serikali isiotaka kujiendesha kwa uwazi?? Tutapigwa sana!!! Trillion zaidi ya 58 ?? No Magufuli is going to set a bad and shameful economic destruction!!! Sector binafsi imetengwa!!! Madeni ya ndani hayalipwi!!! Viwanda viko wapi?? Million 50 kila mtaa na kijiji ziko wapi?? Siasa za kijinga hatwezi kuendelea kama nchi!! Huu unafiki watukuza ujinga na wajinga ukome!! Serikali inaua nchi!!!
@anethsubeth9989
@anethsubeth9989 4 жыл бұрын
Nenda huko tumeshakuchoka
@meshackmlyuka8499
@meshackmlyuka8499 3 жыл бұрын
Kwadeni hilo MTU akisem sijui ccm fyoooo ooo!!! Namuona mbumbumbu!!!!
@salmadalaquimane2364
@salmadalaquimane2364 4 жыл бұрын
We mzee wa utopolo una ongea kwa maslahi yako binafs una llote
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 жыл бұрын
Wanaokutukana sijui wanafikili nini kwadababu kila unachoongea kipo wazi, yeye mwanzo aligoma kwamba hataki misaada sasa nashangaa deni la taifa linaoanda kulikohata wakat wa kikwete,
@ahmadnassor7375
@ahmadnassor7375 4 жыл бұрын
Wacha tu Deni likue . Maana hao wanaotudai na wao wanadaiwa
@shabanfitnesstv3977
@shabanfitnesstv3977 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Napita kusoma comments jaman ila hii imenifurahisha
@nikhatkhan8362
@nikhatkhan8362 4 жыл бұрын
Tz inakopa duh ila tumezidi sisi Tz halafu wanasema kuna maendeleo Tz
@meshackmlyuka8499
@meshackmlyuka8499 3 жыл бұрын
Huu ni ujinga kabisa halaf utaskia kimtu kiko kiko ccm fyooooooo,kipumbavu hicho loo!!!!!
@maryrweyemamu7825
@maryrweyemamu7825 4 жыл бұрын
Jesus coming spoon.
@mtakamaonline7748
@mtakamaonline7748 4 жыл бұрын
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
@salimliemba3458
@salimliemba3458 4 жыл бұрын
Kwa mjomba magu hiyo trn 55 ndogo tutalipa Sema jengine
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
lipeni,
@meshackmlyuka8499
@meshackmlyuka8499 3 жыл бұрын
Akil huna kama kiongz fulan hiv alivo tairaaaaaaaaa
@edgarkibas9427
@edgarkibas9427 4 жыл бұрын
Hatar
@SonofNyanda
@SonofNyanda 4 жыл бұрын
What zitto Kabwe doesn’t understand is the end justifies the means so and an economist the benefits are tangible second is he is making this person and him as a politician is losing followers and finally magufuli’s method works so if it’s not broken don’t fix it.
@ashasaidi1895
@ashasaidi1895 4 жыл бұрын
Unaposema deni la taifa limeongezeka useme na ongezeko la hospital vituo vya afya na zahanat namashule pia serikali kuhamia dodoma
@bahatidavid810
@bahatidavid810 4 жыл бұрын
Kwahiyo kama wamekopa tusiseme🤷🏻‍♀️🤷🏻‍♀️ kisa wamejenga huo uchafu🤣🤣🤣
@pharespuma1105
@pharespuma1105 4 жыл бұрын
Kama Sheria zinaruhusu basi mshitaki
@johannesmaloda8209
@johannesmaloda8209 4 жыл бұрын
Ukiwa raisi tunaomba ulipunguze
@torymedia7773
@torymedia7773 4 жыл бұрын
Kutazama video zngu bofya hapa👇👇👇👇 kzfaq.info/get/bejne/as2WlM2fmNqriHk.html
@yuzzomoro5306
@yuzzomoro5306 4 жыл бұрын
Mh ..
@eliezereliot1048
@eliezereliot1048 4 жыл бұрын
Ivi kigoma unaisaidia nini wewe
@gilbertmtoshu4334
@gilbertmtoshu4334 4 жыл бұрын
Nakwelewa mtanzania mwenzangu
@universalcliptv4871
@universalcliptv4871 4 жыл бұрын
King wa wanafiq huyo!
@masoudsalum9514
@masoudsalum9514 4 жыл бұрын
watu wanapinga kwa hoja sio matusi
@sawayangoma315
@sawayangoma315 4 жыл бұрын
Yes, pinga kwa hoja nac vihoja heshimu watu jiheshimu pia.
@universalcliptv4871
@universalcliptv4871 4 жыл бұрын
Ukweli una choma haswa!....nuneni mpaka mpasuke!.....CCM OYOOOOO!!!
@mosog5171
@mosog5171 4 жыл бұрын
@@universalcliptv4871 Mnafiki ni baba na mama Ako walikuzaa kizazi cha nyoka matako wewe umetmwa
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 жыл бұрын
Wewe zito ni mkongo ya tanzania hayakusu. Umekuja tanzania kama mkimbizi ukapewa urai Leo unaka kuvurunga tanzania . Rudi kwenu kongo usituhalibia nchi nyooo
@bashibashiphotographer3874
@bashibashiphotographer3874 4 жыл бұрын
Na bado tutakoma maana watanzania tunajifanya hatuelewi
@mathewtwimanye92
@mathewtwimanye92 4 жыл бұрын
Ha ha ha sasa unaishitaki serikali kwa nani naona kama upunguani vile serikali ipi haikopi? Mtu binafsi anakopa sembuse serikali zito so unataka tufanyenini sasa tuandamane au tuishitaki serikali wewe binafsi hudaiwi? Ulisoma uchumi wapi? Huo ni ushamba ulio na chuki binafsi serikali zote duniani zinakopa, bro sasa kichwani huna kitu kisisa umeferi sana these days kila Kiki inakataa watu washasahau we ni mbunge wa jimbo lipi pia mie sijui naomba mnisaidie kujua jimbo lake au ni mbunge wa jimbo la tanzania, rudi ktk biashara tu
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 4 жыл бұрын
Huyu jamaa Ni Mwizi Atatumaliza Awamu Ya 5 imetopea Ufisadi
@mosog5171
@mosog5171 4 жыл бұрын
@@mathewtwimanye92 Upeo umeishia hapo kfikiri ndio maana huoni cha kfanya nikwasababu2 Akiri zako zimejificha kama mkundu kati kati ya matako
@anethsubeth9989
@anethsubeth9989 4 жыл бұрын
Kafie mbele wewe,kwenda huko
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 жыл бұрын
Wewe inakuhusu nini wewe ndo utalipa au!!umeaibika kule benk ya dunia umeanza kulopoka tena hilo domo huwa linawasha?duh
@bashibashiphotographer3874
@bashibashiphotographer3874 4 жыл бұрын
Faustine mavere,,zitto kabwe ni msomi tena wa uchumi na hicho anachokiongea ndio somo lake anajaribu kukuonesha wewe ili ujue km pesa zako za kodi haziingii ktk ujenzi wa inch bali inch inajengwa kwa mikopo.
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
Anaupenda URAIS huyu Muha / Mbembe hatari , hapo anaigiza na anajipima sauti itapendeza akiwa anahutubia kama Rais ?? Anataka atekenywe na jeshi la Polisi aitangazie dunia kapigwa tunyimwe mikopo , Zitto huna nyota tena , watu washachoka mikelele yenu , kwanza tuko busy na CORONA hebu tupumzisheni basi . Tuna maumivu ya CORONA unatuletea stress za " Deni la Taifa "" ?? Uliona nani kafungwa sababu anadaiwa ?? Tutalipa taratibu bana usituchoshe , Kwani tungekuchagua wewe usingekopa Benki ya Dunia au taasisi nyingine za fedha ?? hebu tuache tuangalie hii CORONA kwanza , kama huwezi kuishi nchi inayodaiwa hama nchi , nenda kwa wazungu wanaokulipa ubwabwaje kila kukicha , utekenywe uitangazie dunia Tanzania hakuna utawala wa sheria . Hebu Kaa chiniiii .
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 жыл бұрын
@@bashibashiphotographer3874 kumbe unajua nchi inajengwa kwa mikopo ana bwabwaja nini hana lolote msomi akiwa mjinga wa kuisemea mabaya nchi yake hata aongee zuri ni mpuuzi tu na usomi wake tumechoka na domo lake
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@bashibashiphotographer3874 Hana lolote mnafiki tu huyo , mpe yeye Urais tuone ataleta maajabu gani , Ni Nyerere na Mzee Mandela tu waliimaanisha wanayoyasema , hawa wengine wa miaka hii ni wachumia tumbo tu , usidanganyike .
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 4 жыл бұрын
@@faustinemavere1450 Sijawahi kusikia anapayuka Serikali inapofanya vizuri , yeye katumwa na wazungu kusema mabaya tu ya Tanzania yetu , huyu M- bembe / Muha ana roho mbayaaaa .
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 4 жыл бұрын
Huyu kibaka ninani
@titonkwabi7430
@titonkwabi7430 4 жыл бұрын
Kubwa la waongo hilo!
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 4 жыл бұрын
Uongo Wake Upi? Wakati Hiyo Ni Report ya CAG
@anethsubeth9989
@anethsubeth9989 4 жыл бұрын
Mwehu wewe
@maxgerad5083
@maxgerad5083 4 жыл бұрын
We mwenyewe unadaiwa mkopo huko bungeni lipaa
@meshackmlyuka8499
@meshackmlyuka8499 3 жыл бұрын
Ccm fyoooooooo kwio
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
Raila aelezea Rais Ruto alivyotaka msaada kwake
3:29
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 56 М.
POLEPOLE ALIVYOFAFANUA KUHUSU DENI LA TAIFA
9:30
Millard Ayo
Рет қаралды 13 М.
Zitto azidi kumng'ang'ania Magufuli takwimu za uchumi
9:30
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 6 М.
HESABU ZA DENI LA TAIFA ZAMCHANGANYA MBUNGE CCM
6:13
Mwananchi Digital
Рет қаралды 681