Ouh ouhhhh jaman, I see by my self 😅😅😅Jesus is My Lord 😅🥰❤️
@YustinaPangaАй бұрын
Tutakukumba sana baba wataifa letu
@borisloris2 ай бұрын
#Mocares #moodewji #modewjifoundation
@ridhiwankanja82562 ай бұрын
😢😢
@williardkinabo68272 ай бұрын
Nakulewa sn mdogo wangu!
@DMMVisualChannel2 ай бұрын
ASante sana Daah Kipindi Cha Muda mrefu Sanaa sana naona umekisaka kwa KZfaq 😅...please subscribe and comment more ..Asante sana
@ATHUMANNYAMUNGA-kc7zq3 ай бұрын
Toka moro kilosa, mbona hampatikani
@Mapenzi26353 ай бұрын
Bado hajazaliwa DUNIANI kama Nyerere.
@onelovetz79352 ай бұрын
Kazaliwa Magufuli tu
@Mapenzi26352 ай бұрын
@@onelovetz7935, MJOMBA Magu alikuwa na Nia njema ila hakuwa na umahiri wa kuendesha Serikali. Hakujua Serikali ni nini.
@tonnyford57823 ай бұрын
Hii ningeipata mp3 ningetamba sana
@tonnyford57823 ай бұрын
Rip mwl Julius kambarage Nyerere
@samwelmkufya36943 ай бұрын
Nakubali kaka asante kwa kutuletea Elimu hiyo
@DMMVisualChannel3 ай бұрын
Asante Mdau tupo Pamoja na tuendelee KUSHIRIKIANA
@zonko048810 ай бұрын
Safi sana Baba wa Taifa
@johnmuro9915 Жыл бұрын
HUYU MZEE ALIISHI KWA FIKRA ZA HATARI SANA
@redeemer06Newsalerttz Жыл бұрын
Kwenye suala la mbolea nawasihi wakulima wajisajili kwenye mfumo wa mbolea ya ruzuku ili iwe rahis kupata pembejeo ya mbolea kwa bei ya ruzuku...nusu ya bei elekezi
@khadijaahmed6420 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿❤️
@nyamarungusakara-or9ek Жыл бұрын
Nimeipenda sn hotuba hiy fupi tutamkumbuka sn Babu yetu mpendwa
@harunaabdalah7067 Жыл бұрын
Asante kwa wosia wako teacher
@Udindigwa Жыл бұрын
Point Tupu
@rommyshabby3959 Жыл бұрын
Big up sana mwalimu
@jeremiahkavakule8354 Жыл бұрын
Jpm & putin oyeeeee
@joackimnyandindi5746 Жыл бұрын
mzazi ahsante sana
@johnmahu5060 Жыл бұрын
Asnt sana ubarikiwe na mungu
@daylightmushi2552 Жыл бұрын
Imekaa poah sanaa.
@thebetimojahalisi9837 Жыл бұрын
MUNGU BABA Ambaye Ni CHANZO HALISI Cha MEMA NA MAZURI PEKE YAKE awabariki Mnoo Kwa upendo uliopitiliza.
@samwelmkufya3694 Жыл бұрын
Nakupata mno Chief
@dawysandu63535 жыл бұрын
Kaka Denis ulikuwa mbunifu ktk RFA naomba urudi tena mshikaj wetu tumekumiss sana
@DMMVisualChannel5 жыл бұрын
Asante sana kwa maoni yako Ndugu yangu, nina majukumu mengi nje ya studio, lakini najitahidi Jumamosi na Jumapili kuwa na wadau wangu Hewani