STORM SOUND RECORDS ni studio bora kabisa na ya kisasa inayozalisha muziki katika ubora wa hali ya juu sana. tunatengeneza beats, tunarecodi sauti, tunafanya mixing pamoja mastering, pia tunatoa huduma ya studio sesion.
STORM SUOND RECORDS Pia tunazalisha video za muziki, na za shughuli nyinginezo tofauti na muziki kama vile harusi, birthday party na matukio mengineyo kama hayo, Pia tunapiga picha za location
tunapatikana KCMC Moshi mjini kilimanjaro
wasiliana nasi kupitia
C.E.O CHUSE GOLD - 0766977991
EMAIL;
[email protected]