SUNNA ZA SWALA NO: 09 (SUNNA KATIKA RUKUU)
9:22
AKHLAQ NO: 05 ( USHUJAA )
8:23
14 сағат бұрын
AKHLAK NO: 4  (ARRAHMA -  HURUMA)
6:37
Пікірлер
@fatumakale7004
@fatumakale7004 2 сағат бұрын
Maashallah
@MuradiJuma
@MuradiJuma 4 сағат бұрын
Maashaa Allaahu Allah awasaidiye na kukuongozen ktk kuutangaza Uislaam.
@IdrisuMabuda
@IdrisuMabuda 16 сағат бұрын
Uknth ,ASALAAM ALAIKHUM, Tulifanikiwa kupata mtoto 2012 ndani ya ndoa ya kiislaam 2015 nilimfumania live kwa maana nilikuwa safari niliporudi sikumkuta ndani,Tulifanya taratibu zote za kuacchana ila yule mtto niliambiwa nibaki naye kwa sababu kulala nje na kuacha mtoto ndani ni hatari. Basi nikarudi zangu mikoani kwa ajili ya shughuli zangu,Baadaye alienda dawati jinsia polis akaja kumchukua wakati huo kulikuwa na mtu anamlea .Nikaona ngoja tu akaye naye wakati huo aliolewa na huyo jamaa,mtoto nilikuwa na mawasiliano naye na nilikuwa nampa pesa yeye kama yeye wakati mwingine naenda kumuona hapo shuleni,Mpaka alipo fika std V11 mwaka jana nilkuwa na mawasiliano naye .Mtoto alifaulu lakini cha ajabu alimtafutia shule za private bila kunishirikisha na nilipomuuliza anajibu ameamua mwenyewe na ada atalipa ,Kwa hiyo sina mawasiliano na mtoto tokea 2023 na kwa maumivu niliyokuwa nayo nilimwambi kama uliamua kufanya hivyo basi na jina la babake nenda kabadilishe tukaishia hapo.NB Siongei na mtoto wala huko shule sijaitwa kama baba mtoto ,,NINI HUKMU YA YA MTU ANAYEFANYA HUJUMA KWA MTOTO ,Naomba jibu, [email protected] or 0768165367
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 20 сағат бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaki llahu khairan
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 Күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaka llahu khairan
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z Күн бұрын
جزاك الله خيرا
@rashiditembo1574
@rashiditembo1574 2 күн бұрын
Unaongea haraka haraka sana,ongea kwa pozi
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 2 күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaka llahu khairan
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 2 күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaka llahu khairan
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 3 күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaki llahu khairan
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z 3 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z 4 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 4 күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaka llahu khairan
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 4 күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, jazaaka Allahu khairan
@abdurahmanmohamed6835
@abdurahmanmohamed6835 5 күн бұрын
Maa shaa Allah, taabaraka Allah. Tumefaidika, shukran wa jazaki llahu khairan
@abdulkarimsalum356
@abdulkarimsalum356 5 күн бұрын
Hongera sana upo vzri masha allah. huogop camera wala hutetereki masha allah aleek
@abdulkarimsalum356
@abdulkarimsalum356 5 күн бұрын
wain tarak TA huu nasio wain tarak TU huu (sabakatki llisaan)
@jamaalali4564
@jamaalali4564 5 күн бұрын
Maa shaa Allah tabaaraka Rahmaan shukran habibty
@Mbaraka-m8c
@Mbaraka-m8c 5 күн бұрын
Allah akuwezeshe uzidi kutuzindua
@khadijasalum33
@khadijasalum33 5 күн бұрын
Wàalykum salam warahtullahi wabarakatuh. Ahsante kwa nasaha
@ummusalim1991
@ummusalim1991 5 күн бұрын
Waaleykum ssalaam Warahmatullahy Wabarakatuh dear Ukhty Shuweikha 😊❤
@SalumHilali
@SalumHilali 5 күн бұрын
Masha Allah
@aishamohamed487
@aishamohamed487 5 күн бұрын
MashaaAllah
@imraankhalid5984
@imraankhalid5984 6 күн бұрын
Je wanawake hawana sifa ya uoga ??
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 6 күн бұрын
الله أعلم
@imraankhalid5984
@imraankhalid5984 6 күн бұрын
@@mudrickbachan2442 haya sawa 👍
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 6 күн бұрын
muhmu faham ni sifa za kimaumbile
@imraankhalid5984
@imraankhalid5984 6 күн бұрын
@@mudrickbachan2442 sawa
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 6 күн бұрын
shkran
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 6 күн бұрын
@abusuheyba
@abusuheyba 6 күн бұрын
Allahu akbar
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 8 күн бұрын
tumefaidka mashaallah
@SalumHilali
@SalumHilali 9 күн бұрын
بارك الله فيك
@SalumHilali
@SalumHilali 9 күн бұрын
Masha Allah
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z 9 күн бұрын
Mashallah 🎉
@user-sd1up5lk1m
@user-sd1up5lk1m 18 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤slm
@user-sd1up5lk1m
@user-sd1up5lk1m 18 күн бұрын
❤❤❤ Masha Allah
@user-zr1dv2tb5k
@user-zr1dv2tb5k 23 күн бұрын
Allah akuongoze
@user-zr1dv2tb5k
@user-zr1dv2tb5k 23 күн бұрын
Ukhty tafadhal unalingania watu wee mwenyeo hujavaa hijabu ya ask kisheria kwanza sema na nafsi yako juu ya kujistiri kwako km kwel unafuata qur an na sunna
@hassankichondo7718
@hassankichondo7718 4 күн бұрын
Kama yupo bakwata na sunna haifuati afanye nn? Amedhihirisha matamanio yake wanaume mpite tu darasa la akina mama hili au Kama mwana umme sikiliza tu mada acha kuangalia matamanio yake yà uso hususwan mada inawahusu wanawake
@aishamohamed487
@aishamohamed487 24 күн бұрын
MashaaAllah
@TawhidaOmar-vv5le
@TawhidaOmar-vv5le 27 күн бұрын
Uo mtandio ungechagua ulokua mrefu,watu watakuiga kuvaa mtandio mfupi
@TawhidaOmar-vv5le
@TawhidaOmar-vv5le 27 күн бұрын
Ukht mbona umevaa kitandio kidogo na Alla ametwambia tushushe shungi zetu mpk chini ya vifua vyetu,
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z 28 күн бұрын
جزاك الله خيرا
@user-qv8uo3bc6o
@user-qv8uo3bc6o 28 күн бұрын
Ebu tufungulie hili ustadhat IKIWA MUME NI MWENYE KUHANGAIKA SANA NA MICHEPUKO HATA UMFANYIE NINI AMEZAMA KTK TABIIA HIO JE LAKUFANYA NILIPI ? HAPO
@SalumHilali
@SalumHilali 28 күн бұрын
Masha Allah
@selemankishema5780
@selemankishema5780 29 күн бұрын
Jamani someni namba za huyu mama mnataka za nini huyu sio kina shilole soma pata elimu tembea 😂😂😂
@user-ok5yh6yr1n
@user-ok5yh6yr1n 29 күн бұрын
Je yafaa mwanamke kutoa mawaidha hivi kwa mitandao?!
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z Ай бұрын
جزاك الله خيرا
@RamlaSalum-uc4ql
@RamlaSalum-uc4ql Ай бұрын
MashaaAllah
@mudrickbachan2442
@mudrickbachan2442 Ай бұрын
Shkran sana akhy
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Mashallah naomba mawsialino tafadhali
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Ukhty tafadhali muwe mnaelezea nimume wa aina ipi! Waume wapo lakini" wapo waume aina tofauti tofauti'ukituambia hivyo tuambie na waume wenye tabia hii na hii! Kuna waume mradi jina tu mume! lkn tabia zake hazitofautiani na firauun,sasa nawapa taabu wake kuitafuta pepo kwa mume kama huyu mpaka mke anakufa hatoiona pepo kupitia mume huyu!toeni hadithi na darsa tafadhali
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 15 күн бұрын
Ni kweli kabisa wanaume wengine ni mzigo jamn
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 15 күн бұрын
@@LeilaWilfred-zc7gn umeona eee!wao wazungumzia mume wa aina ipi? Maana kuna waume wewe waitafuta pepo yako kupitia wao lkn" wao wakuforse kukupeleka mke jahannam! Sasa wafundishwe pia kuwaepuka waume wa aina hio maana hata itafika kufa hutoiona pepo na wao ndo sababu kukupitisha ktk misukosuko hekaheka bila kutegemea kesho yako! Subuhanah Allah itakuwaje? Je wake waanze kuwaepuka mapema kabla ya vifo vyao?
@user-vb9fr4no7z
@user-vb9fr4no7z Ай бұрын
جزاك الله خيرا
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Ай бұрын