Пікірлер
@raphaelikisaka3259
@raphaelikisaka3259 7 күн бұрын
🎉
@mirajiramadhani3318
@mirajiramadhani3318 10 күн бұрын
Weka namba ya simu
@msevenfokoro94
@msevenfokoro94 19 күн бұрын
Nitapataje mbegu unapatikana wapi
@raymondfrancis7921
@raymondfrancis7921 20 күн бұрын
Ramani ya banda naijua, lkn nmependa material mlizotumia mnenifunza cheap options.
@hemedhussein2045
@hemedhussein2045 Ай бұрын
Mnapatikana wapi?
@ahmadnyamwelu5597
@ahmadnyamwelu5597 Ай бұрын
Mie nataka kuanza Na mbuzi Mia tano Kwa heka Mia mbili itatosha heka hizo
@user-kd8ys3xp3b
@user-kd8ys3xp3b Ай бұрын
Naomba no zako nahitaji mbuzi Idiolo au galla
@ismailbatenga5115
@ismailbatenga5115 Ай бұрын
Asante sana bro..pamoja ktk ufugaji
@ismailbatenga5115
@ismailbatenga5115 Ай бұрын
Hilo banda lina ukubwa gani? pia kama nafugia Dar linaweza kunigharimu shs ngapi.. Asante
@cresensiankwera1776
@cresensiankwera1776 Ай бұрын
Amina Naombakuuliza mimi natakakulima hao mbuzi wa nyama unaitwaje?
@MohamedRajab-im6zv
@MohamedRajab-im6zv Ай бұрын
Kiongoz naomba ututumie no ya sim
@Mohamed-md7pl
@Mohamed-md7pl 2 ай бұрын
Asante Kwa elimu 👍
@jumbemkilla9556
@jumbemkilla9556 2 ай бұрын
Huwezi kuchanganya ukafuga pamoja kondoo na mbuzi?
@user-gj5nv8sj6l
@user-gj5nv8sj6l 2 ай бұрын
Asante sana kwa elimu yenu na hiyo ndio ndoto yangu ya 2025
@mebumohammed6844
@mebumohammed6844 2 ай бұрын
Kaka nipe number tufanye mawasiliano
@nkwabimagembe5286
@nkwabimagembe5286 3 ай бұрын
Maua yko dokta
@jumbemkilla9556
@jumbemkilla9556 3 ай бұрын
Naomba vipimo vya banda hilo lakini kama hutojali namba namba ya fundi wako shukran.
@SayyidAhmadBaalawy
@SayyidAhmadBaalawy 2 ай бұрын
Vipimo nikujikisia tu mwenyewe urefu upana wake. Hilo ukiangalia nikama miguu 15kwa 7 na urefu wajuu 15"
@eradolyamuya3929
@eradolyamuya3929 3 ай бұрын
Asante sana kwa elimu nzuri ya ufugaji na mbegu bora za mbuzi
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 3 ай бұрын
Asante kwa elimu
@esthermasunga1602
@esthermasunga1602 3 ай бұрын
naomba kujuwa bei ya kondoo aina ya Dopper kwa TZ .wanapatikana wapi kaka? me nipo mwanza
@RosemaryKasuka
@RosemaryKasuka 3 ай бұрын
Safi sana Tajiri
@eustacemgawe5454
@eustacemgawe5454 4 ай бұрын
Nashukuru kwa darasa lenye hamasa kwa sisi tusio na asili ya ufugaji.
@MakeleleAboubakarr
@MakeleleAboubakarr 4 ай бұрын
asante sana kwaushauri Na Mimi napenda sana ufugaji mbuzi nanimiongoni mwandoto zangu
@emanuelyohana3049
@emanuelyohana3049 4 ай бұрын
docto naomba namba zako
@user-em5fo1wh5n
@user-em5fo1wh5n 4 ай бұрын
Nataka kununua mbuzi bora kwa ajili ya kufuga naomba namba yenu
@williamkishiva9446
@williamkishiva9446 5 ай бұрын
Natafuta kitabu cha Muongozo wa ufugaji wa mbuzi
@GoodchanceMamuya
@GoodchanceMamuya 5 ай бұрын
Nitafika nkuranga
@AHMADYANICHANNEL-fy2kv
@AHMADYANICHANNEL-fy2kv 6 ай бұрын
mantap
@user-ks6xb9yc6d
@user-ks6xb9yc6d 6 ай бұрын
Naitaji mamba zako docta
@esthermasunga1602
@esthermasunga1602 6 ай бұрын
Napenda sana kufuga kondoo. je kondoo anazaa mara ngapi kwa mwaka. na kondoo aliyezaliwa anachukuwa mda gani nayeye kuzaa?
@esthermasunga1602
@esthermasunga1602 6 ай бұрын
Asante sana kwa somo nzuri, nimeelewa na ninapenda ufugaji wa kondoo. Je kondoo wana zaa mara ngapi kwa mwaka ? (within 12 months)
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 Ай бұрын
Mara mbili ndan ya miezi kumi na tatu
@user-oh9pl9bw3n
@user-oh9pl9bw3n 6 ай бұрын
Asante Sana kweli nimefurahi
@chazy7ya216
@chazy7ya216 7 ай бұрын
Nataka boa goat
@priscashairock2679
@priscashairock2679 7 ай бұрын
Nimejifunza Zaid ..see me at the top😂
@shaaharzard5611
@shaaharzard5611 7 ай бұрын
Vp hao Boer mnauza
@AredFered
@AredFered 7 ай бұрын
Tupe contact bas
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 8 ай бұрын
Number yako daktar utuandikie Please
@user-gj4jy7gy9v
@user-gj4jy7gy9v 9 ай бұрын
Ili mfugo uingie katika orodha ya mifugo bora mfugo huo uwe na sifa zipi?
@user-kh9sy9jk7m
@user-kh9sy9jk7m 10 ай бұрын
Gala goat dume kwako unauza kiasi gan kaka ?
@gasukasombokasultanmasuga8792
@gasukasombokasultanmasuga8792 10 ай бұрын
❤ kaz zuli sana niwapata mm kutoka bunda mara
@QueenLega
@QueenLega 10 ай бұрын
Asante sana ❤
@chakandoro8243
@chakandoro8243 11 ай бұрын
Mbuzi wanahema nakufura tumbo ni dawa gani nawe wapa
@musafirbaba2100
@musafirbaba2100 11 ай бұрын
Inamana mbuz anapata stress 😂
@user-km9yx1or9o
@user-km9yx1or9o Жыл бұрын
nimeipenda hii, wingi wa mifugo haimaanishi wewe mfugaji mzuri lkn Ubora wa mifugo ndio kitu cha msingi
@christophermwageni2026
@christophermwageni2026 Жыл бұрын
Yes mkuu. Definetly 😀
@kaittheleast
@kaittheleast Жыл бұрын
Interested with Kalahari na boer goats
@ahmadkimwaga6645
@ahmadkimwaga6645 Жыл бұрын
Sawa kiongozi
@leonardkabadi3981
@leonardkabadi3981 Жыл бұрын
Kwa mbuzi anayetoa kg10 baada ya kuchinjwa unamuuza sh ngapi kiongozi?
@amiriamosi1713
@amiriamosi1713 Жыл бұрын
👏👏👏
@thommatinda4584
@thommatinda4584 Жыл бұрын
Namba yenu ya sim
@SinzotumaNoah-cu8el
@SinzotumaNoah-cu8el Жыл бұрын
Asante sana kwa ufunzo wako❤🎉