Mimi nimefundishwa na ulimwengu na experience niliyoyapitia ndio namfundisha mtoto wangu, sasa sijui namuaribu au namlea kama mama nina hofu wakati mwingine. Ila asante mwalimu unanifungua nakuelewa
@joycelaizer460014 сағат бұрын
Pastor mimi nilibahatika kupata mtoto nikiwa na umri mdogo sn miaka 13 now ni mtu mzima. Nifanye nini nimsaidie afanikiwe na asipatwe na nilichopatwa. Nina hofu sana
@shukurukaheja860516 сағат бұрын
Nashukuru sana Baba
@aliabushiri19 сағат бұрын
Mm nitwa bin sharifi niko Zanzibar nataka nisikie kwa makini hiyo mada halafu nitoe komit
@AmosKipkemei-k5s21 сағат бұрын
Nina hili shida nifanye Nini mwalimu Niko kitale kenya
@ndererimanabirondo3481Күн бұрын
Tunashukuru
@RehemaNtengaКүн бұрын
Fikra ya kustahili Fikra ya kuonewa Fikra ya attachment Fikra ya kupata vitu for free Thank you for this ❤
@BarnabaBuhomaКүн бұрын
Asante mwalimu wangu kwa somo makini sana….
@Vieux-leyNgoyКүн бұрын
Kweli hayo mambo nita kweli, kama mimi nikiwa siwaze menti ninaonaga nguvu nyingi sana
@bakariponda7278Күн бұрын
Nakupata bila chenga nikiwa Mombo Tanga. Ni mimi Bakari Mombo wa Mombo Tanga
@gamalashur5412Күн бұрын
MAZUNGUMZOO MENGI FAIDA N MAELEZO YAKUSAIDIA Haamnaaaa
@FIKIRIAyumba2 күн бұрын
Nakusia niko umarekani nakusia vizuri
@YvesNDAYIZIGA-gg8tv2 күн бұрын
Salama mimi niko bujumbura
@JosephKai-o9h2 күн бұрын
Nakufatilia .ni kiwa msambueani
@hafsahamza98642 күн бұрын
😂 wafinyanzi!!
@mamasaria2 күн бұрын
Ahsante Sana Mwalimu.
@abubakarngenzi79362 күн бұрын
Dr.salama?...Mada zako ni nzuri,ila wewe unasema sana huingiye kwenye point haraka tunachoka macho haraka tuna achat kukufuatilia kwajili hiyo
@rogerabdallah4393 күн бұрын
Mimi naona ni vyakula vyasasaivi ndio chanzo mbona watu wa vijijini wapo vizuri ata mzee anakwanda ata bao 3 .4 mpaka tano wanawake wa 4 na watoto 40 nenda uko una jipya ugeelezea vyakula ningekuelewa kaa kule
@kichaukatanzania43663 күн бұрын
Nipo Biharamulo Nyakanazi.
@bellingtonlyimo15223 күн бұрын
This is more than a university lecture.
@AllenSalewa3 күн бұрын
Be blessed pastor
@PeterMasaka-v8p3 күн бұрын
Kutazama ngono ama picha za ngono zina changia
@PatrickMusyoka1234 күн бұрын
Safi mwalimu
@FatumaAhmed-c9i4 күн бұрын
Mme wanasema eti nitoe pesa nusu tujenge nyumba ambapo majukumu mado hayatimizi
@chrissg40265 күн бұрын
Ukweli mtupu! Mwambie una milioni 10 utakiona cha moto😂
@user-ts4zn1sx7h5 күн бұрын
Asant sana
@ashurarashidi61967 күн бұрын
I appreciate 🙏🏻🔥
@mj.tv.forpeople9928 күн бұрын
Matatizo yote ninayo kwa asilimia 50
@joaquimjohnkaneno1908 күн бұрын
Joaquim from Holly marriage group
@joaquimjohnkaneno1908 күн бұрын
Tuko pamoja Mwalimu. Barikiwa sana
@Norrisnoriega8 күн бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Norrisnoriega8 күн бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@deniszacharia96339 күн бұрын
Denis nipo mwanza
@RaimamomedSaidi-wz1yu9 күн бұрын
Mualim nahitaj namba yako pleease 😢
@DeoSukambi9 күн бұрын
0746104034
@RaimamomedSaidi-wz1yu8 күн бұрын
Samahn teacher,naomba ushauri wako kidogo mimi nimwanamke,nina boy friend wangu ni muhindi tunaishi muzambik sote,yeye ndio kanifata kimapenzi
@RaimamomedSaidi-wz1yu8 күн бұрын
Huko nyuma niliteswa sana kimapenzi,wakat nakutana na huyu wasasa skuwa na mudi yakuwa mahusiano,ila akatumia uwanaume wake mpaka ameniweza nikakubal kuwa na yeye.
@RaimamomedSaidi-wz1yu8 күн бұрын
Hii namba naweza kupiga whatsp?
@RaimamomedSaidi-wz1yu8 күн бұрын
Kiufup niko naye miaka5 sasa ila nikimuongelesha kuhusu ndoa anasema hawezi kuowa sabbu familia yake,ila nikiwa namahusiano na mwanaume mwengine anakasirika na kuuzika na kwakipindi hicho hachek mpaka ahakikishe kuwa sina mtu ndio anaanza kufrah nakuwa na aman.
@benardoor62269 күн бұрын
Too much of speaking try to cat the story short
@ShamimAbdul-tf3fw9 күн бұрын
Dr. Uko vzr
@ShamimAbdul-tf3fw10 күн бұрын
Naitwa shamimu natokea napatikan Kenya
@jamesajod524010 күн бұрын
Boss uko sawa kwa wale na wapenzi wao karimbu je wale wako inchi za ngambo kikazi naumalaya ukipata kana ni jela una wa shauri vipi
@PolyneKhandali-br9gj10 күн бұрын
Very educative,,,thanks 🙏🙏🙏
@Nickbrown12711 күн бұрын
Ukweli mtupu.
@frolaibrahim125711 күн бұрын
Nashukuru sn Mtumishi umenibadirisha mno na umenijenga kifkra sana.
@KayitareEmmanuel-qy8ok11 күн бұрын
Nipo nakusiriza toka nchini Rwanda
@titusmatheka626912 күн бұрын
Shida u talk too much
@debrawilliam753412 күн бұрын
Nimesikiliza hii nimelia sana only to come to realize napitia nachopita cause uwanamke wangu ulipigwa tangu utotoni kwa kweli struggle yake sio rahisi kuelewa unless na wewe ulipitia ivo. Wazazi tuwe makini na malezi ya watoto tuchunge sana maneno ya kuwambia watoto . Trauma nayopitia kama grown up ili niwe kawaida au nipate peace najikuta natumia nguvu nyingi sana. 💔