Hongeleni sana ngoja nitafute Hela hongela sana kakaangu keep it up Mufindi juuuuuu
@GladnessNdelwa2 ай бұрын
Baba angu huyooooo❤
@dsstanzania2 ай бұрын
Na alie shoot nae ni baba mdogo
@LydiaJoseph-eh6li2 ай бұрын
Hakika hichi kikundi Mungu awainue kwa viwango vya juu mna ushirikiano na upendo wa hali ya juu
@farujohn6223 ай бұрын
Wewe ni Jembe unastahili nafasi hiyo endelea kupiga kazi Mungu akusaidie umoja wenu uwe mkubwa zaidi
@user-rg2py2yz4x3 ай бұрын
Upo ungizini..sugu..ederea.kurara
@AliKibo-tq9zz3 ай бұрын
Mungu amutiye nguvu 🎉
@PastorMwakapyanila-sl9cj3 ай бұрын
Hongera mtumishi wa Mungu, kwa hatua hii kubwa Mungu akuzidishe
@rabiamwangoka77553 ай бұрын
Loliiii😅
@rabiamwangoka77553 ай бұрын
Fire🎉
@BWMusicWithEnglishSubtiles3 ай бұрын
I love this from here in Botswana to see my culture being loved and appreciated in places far from home, BUT I will say 2 things. 1. Please make it a habit to acknowledge the owner of the song, since the original composition is not yours. 2. 🤣😂🤣😂On a lighter note, You wouldn't play that 1st song before such a crowd if you knew every word in the lyrics
@reginard_michael2 ай бұрын
what actually those songs were talking about?
@BWMusicWithEnglishSubtiles28 күн бұрын
@@reginard_michael The singer talks about a sister who was too playful with plenty boys. And this time she came home crying coz she was hammered by a "BIG" guy....
@FestolMkumbwa3 ай бұрын
Dont kubhebha
@tomatonyanya67313 ай бұрын
Amina sana hongera waziri kwa kumjua Mungu
@jifunzekuhusuwewe74753 ай бұрын
mzee huna hela wewe unajenga ghorofa hujui utaingilia wap -wanyekyusa bana
@francomwalutende78643 ай бұрын
Ardhi ndo wenye makosa aliyejenga gorofa yuko sshihi, walimuuzia eneo wazi, kuyoka kote kwa ezekiel. Ndiyo super matket yote kwa mbele ni open space
@asiliyetutv3 ай бұрын
Bonge la bwana
@upendoeliya93293 ай бұрын
Yaani Nyie Maofisa wa Ardhi mnapokea rushwa sana tena inaonesha ni rushwa kubwa mpka mnalazimika kumtetea mvamizi. MUNGU awaone
@yassingawaza50973 ай бұрын
Shukrani San broh kwa iki unacho kifanya
@dsstanzania3 ай бұрын
Asante sana
@user-my5yp6xx5s3 ай бұрын
Sifa izo mnataka Nini siujinga huo mungu hapendi ivo visifa vya kijinga
@user-td3py9cv6m3 ай бұрын
Sasa mnajitangaza mnapenda kufiwa ety
@yassingawaza50973 ай бұрын
Ongera broh kwa Kaz nzur
@dsstanzania3 ай бұрын
Asante
@yassingawaza50973 ай бұрын
Karibun San kwaajil ya Hil
@chawamata_tv3 ай бұрын
ASANTE SANA DSS TV
@LydiaJoseph-eh6li4 ай бұрын
Iko tunduma sehem gan
@ebenezatv7654 ай бұрын
hingeren kwa kazi nzuri
@nassrabarwani15484 ай бұрын
Uko sawa Kamanda!
@dsstanzania4 ай бұрын
❤❤
@mifwanyalu45734 ай бұрын
Bibi vivi mamalao
@mifwanyalu45734 ай бұрын
Dsstv habari ya mjini💥
@dsstanzania4 ай бұрын
Asante sana mjomba
@wilsonmsenga64474 ай бұрын
Hakika wewe ni mwalimu, mimi nimekukubali mkuu, sina ubishi.
@wilsonmsenga64474 ай бұрын
Kweli kabisa
@athumanmbelako43174 ай бұрын
Hizoo toa
@SundayZULU-tq7bz4 ай бұрын
Big zeana
@elishamsoviet71594 ай бұрын
Hizoo sauti za back jitaidi kuzitoa zina tukelaaaa pia kiongoziii yupo safy namkubaliii
@dsstanzania4 ай бұрын
Asante
@bantumantz73655 ай бұрын
Emen, hakuna mkamilifu bro kuteleza sio kuanguka tutafika kwa safari
@Worldunite5 ай бұрын
Mbongo hatariiii😮
@Worldunite5 ай бұрын
Mbongo nomaaaaa😂
@jesaminzo5 ай бұрын
Jmn shusheni comments zenu, mbona kimya?
@bishoprev.kennedysimumba55955 ай бұрын
ACT Theopista Mallya huwa namkubali.Ni mweledi sana huyu.Mungu amtangulie kwenye majukumu yake