Пікірлер
@Nailaty564
@Nailaty564 51 минут бұрын
Zuhura kilio mpaka lini si urudi kwenu
@Kalidvalid-v7i
@Kalidvalid-v7i Сағат бұрын
Pole da zuu nayajua maumivu aunayo pitia maana na mm ndio nnayo ayo ayo kama mmenitungia mm uwo muvi
@maimuna9132
@maimuna9132 Сағат бұрын
Mnaalibu move kila wakati amuishi kukumbuka yaliyopita
@Fatema-n8x
@Fatema-n8x Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂❤😂😂😂
@BahatiNshimirimana
@BahatiNshimirimana Сағат бұрын
Nikumvulitu hamnadawa
@maimuna9132
@maimuna9132 Сағат бұрын
Uyu anajikuta nani kwani anakula wake wa ostadh
@Mustykhan
@Mustykhan 2 сағат бұрын
Zuhura futa machozi mke Wangu😢😢Namuomba Mjomba Mwanjara aje kwenye Harusi yangu😂❤🥰🙏🙏
@user-vo7yb6wp1m
@user-vo7yb6wp1m 2 сағат бұрын
Nzuri sana lakini muda muchache next plz 🎉🎉🎉❤
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 2 сағат бұрын
Mama mkwe umezidi usihukumu mtu bila hujajua shida zake
@MariamObote
@MariamObote 2 сағат бұрын
Ichi kimariam kinaonekana kichawi kweli wara sio kuigiza tu
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 2 сағат бұрын
Congratulations jmn❤❤❤❤
@abudhabiimarat8622
@abudhabiimarat8622 2 сағат бұрын
Wa nne leo
@aminafadhili4392
@aminafadhili4392 2 сағат бұрын
Zuhura macho yako mazuli Masha Allah
@E_pictures
@E_pictures 3 сағат бұрын
Jaman mm zuhura mama mkwe nae hanipendi nifanye nn naomba ushauri
@AmnaAmna-l3u
@AmnaAmna-l3u 3 сағат бұрын
Wakwanza nipen like japo 10
@jamilaathman1474
@jamilaathman1474 19 сағат бұрын
Zuhura pole sana ddngu ila simama kwa Allah
@aishaomar9621
@aishaomar9621 21 сағат бұрын
Muendelezo ntka kujuwa mbivu mbichi kuhusu mke mdogo ataolewa😅
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 21 сағат бұрын
Daaah huyu masudi si mgonganishi wallah😂😂😂any way congratulations kwa san
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Күн бұрын
Pole zuhura simama n swala huyo mke mdogo n mshirikina mbaya 😢 nyie hamuogopi kuingia ndoa za watu n shirki juu 😢
@aishaomar9621
@aishaomar9621 Күн бұрын
Zuhura mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake miwili kuwa n subra usijitie kwnye kichaka chnye Simba wakali huyo mvulana hna malengo yyte n wewe Bora utulie kwenye ndoa yako😢
@user-wc9vd7dg9o
@user-wc9vd7dg9o Күн бұрын
Nisheria ya kiislam dada unatakiwa usitahamili tuu
@user-wo5es9vn5w
@user-wo5es9vn5w 2 күн бұрын
Kwahy Kofi moja pombe zimeisha😂
@Bahatidjasmini
@Bahatidjasmini 3 күн бұрын
Mimi ndo mana ni meshindwa uislamu,poleni bi zura
@richardsalala9147
@richardsalala9147 23 сағат бұрын
Tunaungana pamoja tulioshindwa uislam😅
@mamufunganeza
@mamufunganeza 3 күн бұрын
❤❤
@mamufunganeza
@mamufunganeza 3 күн бұрын
mmejitaid
@hamadiweko3567
@hamadiweko3567 3 күн бұрын
Matutu umepigaje apo......😂. Zuhura msamehe masud alipitiw na shetan tuuu👌😍💞💞
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 3 күн бұрын
Mm wanaume km Hawa nawaon maboya San mtu msamehe kwa makosa yanayostahiki kusamehewa sio Hilo alilofanya huyo
@hamadKhamis-p6k
@hamadKhamis-p6k 3 күн бұрын
Kwa mjomba huyo hee ni hatar hakupi mia huyo
@alphashow919
@alphashow919 4 күн бұрын
Mke wa masud pombe imetolewa na kofi moja mpaka anatembea vizuri 😅😅😅
@user-cj9pe5ts6c
@user-cj9pe5ts6c 4 күн бұрын
Mjomba amekula pesa😂
@ifrahabi4834
@ifrahabi4834 4 күн бұрын
How can you forgive when you don’t know why she slept outside or who did she with.
@ifrahabi4834
@ifrahabi4834 4 күн бұрын
It’s true, no man on his right mind can tolerate that woman. Nonsense
@ifrahabi4834
@ifrahabi4834 4 күн бұрын
Huyu manamuke haku pendi.
@ifrahabi4834
@ifrahabi4834 4 күн бұрын
Good that women with red clothes deserves what she gets. She has no respect for her husband . Who is the wife in that houseI was asking myself. He is such a good husband but she took him for granted.
@bakirimariam8983
@bakirimariam8983 4 күн бұрын
Yani uyu matutu kuonesha kote msimamo na bado akarudi kwa kichaa wake.......
@ifrahabi4834
@ifrahabi4834 4 күн бұрын
Good that women with red clothes deserves what she gets. She has no respect for her husband . Who is the wife in that houseI was asking myself. He is such a good husband but she took him for granted.
@Khadijah-eq2oe
@Khadijah-eq2oe 4 күн бұрын
Mjomba nae nmroho nae
@user-xr6xk9lb5c
@user-xr6xk9lb5c 4 күн бұрын
Kenya Watching
@masoudkissinger
@masoudkissinger 4 күн бұрын
Kazi ni nzuri Sana
@user-jn8nm9kh3m
@user-jn8nm9kh3m 4 күн бұрын
Jamani masudi kijogoo vibaya kila mwanamke anamtaka yy
@Riziki143
@Riziki143 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤