Пікірлер
@mkubwakasim1470
@mkubwakasim1470 Ай бұрын
Nani timu ipi ilio leta ofa kwa fei
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Ай бұрын
Ina maana simba hainna msemaji maaluum
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
INGEKUWA YANGA UNGEIPONDA
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Ай бұрын
Mbona anaipondaga tu? Leo upepo umeelekea huko.
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Ай бұрын
Yaaan wewe du kweli limeyumba
@user-no7uo4ry7q
@user-no7uo4ry7q Ай бұрын
jamaa fala hili ety nukta tisa point tisa
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t Ай бұрын
Akinachama walikuwa wasalliti hawo fokox
@pelisiuskalikule1345
@pelisiuskalikule1345 Ай бұрын
Yanga kufika Fainali ilichangia pointi 20 kwenye kapu la Taifa na kufikisha 56.
@pelisiuskalikule1345
@pelisiuskalikule1345 Ай бұрын
Hamna B 6 pale wewe Kisugu
@HamadBitesigilwe
@HamadBitesigilwe Ай бұрын
Kweli wew njaa sana
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Ай бұрын
Bado hamjasema!!! Na mwaka huu mtapoteana kabisa
@user-zf3mw3xh7o
@user-zf3mw3xh7o Ай бұрын
❤🎉🎉🎉
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe Ай бұрын
Tatizo nyie wachawi mnamwaga dawa maeneo mbalimbali tumekujuweni makolo
@JumaHUssi
@JumaHUssi Ай бұрын
Anajitoa fahamu, alipoambiwa gari la makolo liliingia uwanja wa taifa kinyumenyume, eti hajui mwaka.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Ай бұрын
Huyu jamaa anaga akili kichwa box tupo
@mabagamendez1156
@mabagamendez1156 Ай бұрын
Kisungu wewe bado sana nimuxhamba wa mpira
@Lominan-g4m
@Lominan-g4m Ай бұрын
Uko sahihi
@user-gd3qz5pe6x
@user-gd3qz5pe6x Ай бұрын
We tk kweli waandishi wakusaidie na hujui asili ya yanga .na Simba point zake peke yake haziwezi kupeleka timu 4 .ukinunua gali ukakosa hera za matairi ukakopa Bado utakuwa na deni
@BeniYaredy
@BeniYaredy Ай бұрын
Hana akili huyo nanyie wandishi mandaz mtakuja kuonekana akili hamna pia uyo poyoyo tunamfaham
@user-ii6sp2nn1m
@user-ii6sp2nn1m Ай бұрын
Acha bange bwege ww hujui mpra
@noelymwakasege2428
@noelymwakasege2428 Ай бұрын
Kisugu muongo billion 6 nitajie mchezaji wazaid ya million 500 kama sio wa million miamia
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 Ай бұрын
We Kisugu una cansa ya ubongo😢😢
@simonndunguru1629
@simonndunguru1629 Ай бұрын
Huyo ni Bendera halafu ni punguani anafahamika anatumiwa. Afadhali Mzaramo ametulia ndio maana wameporomoka. FA walitolewa na Ligi Kuu ya NBC walikuwa wa tatu ktk msimamo wa Ligi Kuu hana Aibu Anacho ongea ni upuuzi
@user-ef5jw6nw4v
@user-ef5jw6nw4v Ай бұрын
Yanga ipo karibu ila show mtaiona trh 8
@dainessmweta3059
@dainessmweta3059 Ай бұрын
Huyu jamaa choko sio bule
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
nkundu mwaka lobo
@MahamuduLiwowa
@MahamuduLiwowa Ай бұрын
Leo nimeamini kweli kisugu ajasoma pia uyu sio mshabiki bali nichawa wa mo wale wachezaji wabukubuku wale Mimi Simba
@YusuphSomo
@YusuphSomo Ай бұрын
Kichwa tenge huyo.
@user-id2md4mp8w
@user-id2md4mp8w Ай бұрын
Simba ni timu nzuri lakini ttzo imekuw ikiptia chnganototo zitapita .
@user-ds5tf2ph5l
@user-ds5tf2ph5l Ай бұрын
Kisugu ni mjinga asie jijua kama yeye ni mjinga ajui kitu kabaki kuuza komo lake tu na ndio maana rage aliwaita mbumbumbu fc 🤡🤡
@JohnReonald-up8zr
@JohnReonald-up8zr Ай бұрын
Kisugu akili huna bwege ww
@user-wl4yo4zp9t
@user-wl4yo4zp9t Ай бұрын
Kisugu Acha ujinga
@HAMIDURAMADHANI-ev5od
@HAMIDURAMADHANI-ev5od Ай бұрын
Akil hauna , Iman za kishirkinaaa
@pontianjohnkahwa
@pontianjohnkahwa Ай бұрын
Mashabiki wa Simba zijui nisemeje, mnajipoteza kwenye ramani ya ushindani wa mpira. Fedha za kuendesha timu haziwezi kutokana na chanzo kimoja. Wanachama ndiyo wamiliki wa timu. MO ni mfanyabiashara anayetoa pesa kwa kutangulíza maslahi yake. Wanachama wanachangia Kwa maslahi ya timu. Kisugu ni Chawa au mchumiatumbo.
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
He just talkz RUBBISH
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
6 billion kwa wachezaji gani?
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Muwe mnamkumbusha ayasemayo huyu
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣huyu jamaa , anasahau ayasemayo🤣🤣
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Ай бұрын
MIMI NACHOONA TAREHE 8 SIMBA WASIPOJIANGALIA WATAFARAKANA. JE HATA MKIFUNGWA 3 MTAJISKIAJE? ACHANA NA HIZO 20!!!!!
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 Ай бұрын
Wewe kweli unafirwa
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Ай бұрын
Kisungu ziro
@jumamakame3978
@jumamakame3978 Ай бұрын
Akina onana ulipandisha sauti kuliko ivo tunasubiri😂😂
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j Ай бұрын
True story
@RomwaldiKazikodi
@RomwaldiKazikodi Ай бұрын
😅
@sickyfigter3274
@sickyfigter3274 Ай бұрын
Kaka ni mchambuz mzur sana apunguze mahaba na simba ya waziwazi
@ummymuya.2060
@ummymuya.2060 Ай бұрын
Unaweza kutumia neno CONTROL sio kupunguza. Hakuna kukisia mahaba/mapenzi ya mtu juu ya kitu fulani. Kinachowezekana ni kucontrol hisia kulingana na mazingira yanayokuzunguka kwa wakati fulani
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
M naona km hamna kitu ..... Kwenye uchambuzi 😂😂😂
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y Ай бұрын
Hee! Ni dhanbi au? Kila mtu anahaki ya kuchagua akipendacho
@hamidu6194
@hamidu6194 Ай бұрын
​@@mwanangusanatxf
@kainkamwagila6046
@kainkamwagila6046 Ай бұрын
Vp feisal
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp Ай бұрын
Mwenye kujua jin la huu wimbo please 🙏
@HamisimerengonyansahoNyansaho
@HamisimerengonyansahoNyansaho Ай бұрын
Chama kwer anaondoka
@ShazymoneyCash
@ShazymoneyCash Ай бұрын
Chama kweli ameenda yanga
@ShazymoneyCash
@ShazymoneyCash Ай бұрын
Chama kweli ameenda yanga
@neemaraphael8732
@neemaraphael8732 Ай бұрын
Mimi sijaelewa kuhusu chama