Пікірлер
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk 2 күн бұрын
Simba sc walibuni kitu kizuri sana maana Simba day imekuwa ni mtoko wa siku. Pongezi nyingi kwa field mashal Hassan Dalali na simba wa Yuda Mwina Kaduguda na wenzao. Kitu walichokianzisha 2009 kimea za kusambaa nje ya Tz. Wapo walokuwa wanatamani nao kufanya ila hawakujua waanzie wp! Kuiga jambo zuri si vibaya
@konderaeriasi6251
@konderaeriasi6251 19 күн бұрын
Nyoko msigwa ww
@user-hi5hi7nt3b
@user-hi5hi7nt3b 24 күн бұрын
Mungu akubaliki sana mkuu nakuomba kuna kijiji kinaitwa mihugwe wilaya ya kisalawe hiki Kijiji mwenyekiti wa kijiji na afisa mtendaji wiki hii wameuza heka 800 kila heka wameuza laki 8 halafu wakawagawia wanakijiji Elfu 10 kila mwanakijiji ili kuwanyamazisha na hiki kijiji hakina maji wala umeme maji kwasasa dum moja linauzwa shilingi mia 700 yani huwezi amini kama kweli ni wilaya hii hii ya kisalawe mkoani pwani natamani nipate namba za mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya ili nimpe ushahidi wote
@user-xh7wy2mi2j
@user-xh7wy2mi2j 29 күн бұрын
Funga hilo domo langu mjinga Mkubwa.
@user-dm7ez2ks9u
@user-dm7ez2ks9u 29 күн бұрын
Dudiduuuu eeeee mungu atusaidie waja wake magonjwa yatulishe
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb Ай бұрын
Wewe chizi
@gangstarmsafi-vz9vs
@gangstarmsafi-vz9vs 29 күн бұрын
😂😂
@janengaga2928
@janengaga2928 Ай бұрын
MUNGU tuepushe na majanga haya.Twaomba Kwa imani
@zakariarantsim1064
@zakariarantsim1064 Ай бұрын
Kwenda Ccm ndo majibu ya ushindi wako aw sioni kuwa ni staha
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Ай бұрын
#NONSENSE
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 Ай бұрын
Kashagawana na wanaokula kwa urefu wa kamba zao
@doctormkulima9474
@doctormkulima9474 Ай бұрын
Karibu sana mchungaji
@MorataUseni
@MorataUseni Ай бұрын
Simba 🎉🎉🎉🎉🎉
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Ай бұрын
Mh; ,..Makonda Heri nyingi sana sana sana...unafanya jambo kubwa sana Hongera sana Mama SAMIA kwa Uteuzi huu juu ya Kijana huyu.. Tunawahitaji akina MAKONDA wengi kwenye Mikoa yote Tanzania. Lakini Mama ikukupendeza Mfanye na Mpe Kibali Makonda azunguke Mikoa yote Tanzania awape Mbinu wakuu wa Mikoa yote..wafanye kama yeye, Maana kusema ukweli wananchi wote nchi nzima wanahitaji huduma ya Makonda...na Ngumu kwa sasa kumtoa Arusha kumuweka Mkoa Mwingine. Ikitokea ukataka kumuhamisha Mpeleke BUKOBA/ KAGERA akakomeshe UTAPELI wa WAHAYA.
@ngurukitv4584
@ngurukitv4584 Ай бұрын
God bless you follow back 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Tumsaidie hasa masheikh wa ujanjaujanja
@user-sf4yu6hl5o
@user-sf4yu6hl5o Ай бұрын
Safi sana❤
@mohamedhamedseifelsawafi8309
@mohamedhamedseifelsawafi8309 Ай бұрын
Uko vizuri. Mungu akusaidie. Pia twakukaribisha katika uisilamu. Mungu kakupa kipaji kizuri sana . Pia kakujaalia khikma kubwa sana. Nimekupenda kwa ajili ya Allaah.
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Limekushuka sn hadi huruma,ukome.
@AngelAbbah-wc5un
@AngelAbbah-wc5un Ай бұрын
Yan huyu ni chiz kwel tena chiz kwelkwel masoud hajamtaja hata sehem moja mbona asijibu dj dommy au hansraphael wangap wamehama na yy ameongelea watu wote yan huyu masoud asimsamehe hata kidogo ye kashazoea kudhalilisha watu masoud asimsamehe iwe fundisho kwake kenge huyu
@user-lt2wb6hb9h
@user-lt2wb6hb9h Ай бұрын
Matola kimeo Simba msimpe Tena uongozi, huyo ni msaliti,
@RehemaKatundu
@RehemaKatundu Ай бұрын
Tujitahidi kua natafakari na subira ,na kuchutama ukijua umekosea ndio uungwana
@mariamidd6508
@mariamidd6508 Ай бұрын
Mmh ok
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Sisi tuliosoma na kusikia ulichokisema tuna paza Sauti na kumshauri KP akupeleke kwenye vyombo vya sheria ili ukathibitishe huko na ukishindwa ukutane na vifungu vinavyokuhusu huko huko. Hatuwezi kuvumilia upumbavu huu wa kuchezea Maisha ya watu. Mwanzo ulimdhihaki Mwalimu wako Chama cha Walimu CWT kikakuonya. Kwanza Jibu barua uliyoandikiwa na mwanasheria wa KP. Mamae bado haijathema.
@yohanemagesa5448
@yohanemagesa5448 Ай бұрын
Hongera kwa kuiwakilisha Tanzania. BIg up!
@user-ip2we5uc7n
@user-ip2we5uc7n Ай бұрын
Hakika Mwenyekiti wetu Umenena Vema ni Bora Mtandao huu Ufungiwe tu hapa nchini
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 Ай бұрын
Simba au wabongo bila ukali na maamuzi magumu .UWE mkali,kemea na bench la ufundi NI tatizo hao viongozi baadhi wanawatu wao pale ili kulinda baadhi ya wachezaji wao,au usajili WA kimadili
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Ай бұрын
Mo hakika wewe ni Simba Damu, tunakuomba usibabaike na mamruki wanaotumwa wakukashifu wewe Ili uiache Simba Ili wao wanufaike Simba Nguvu Moja.
@CharifoAliabdalaAbdala
@CharifoAliabdalaAbdala Ай бұрын
Asante xan boss iokoe Simba yet
@user-ue3jx3by9i
@user-ue3jx3by9i Ай бұрын
Boss tunaiman na ww
@user-gn4cp2vq2y
@user-gn4cp2vq2y Ай бұрын
Mungu asikupungukie kwa lolote boss wetu
@user-gn4cp2vq2y
@user-gn4cp2vq2y Ай бұрын
Wawoooooo 😂😂...simba nguvu (1)
@edwardaugustino7177
@edwardaugustino7177 Ай бұрын
Kumbukeni Kila kocha akija Matola ni msaidizi unakuaje apo..????????????.
@edwardaugustino7177
@edwardaugustino7177 Ай бұрын
Msimpe Tena Matola kama kocha msaidizi kwani yeye ni Bora zaidi?
@edwardaugustino7177
@edwardaugustino7177 Ай бұрын
Mo msimpe Tena Matola kocha msaidizi. Naomba sana.
@edwardaugustino7177
@edwardaugustino7177 Ай бұрын
Matola asipewe kuwa kocha msaidizi .
@edwardaugustino7177
@edwardaugustino7177 Ай бұрын
🎉Matola mtoeni asiwe Tena kama msaidizi wa Benchi la ufundi.
@frankphiri9132
@frankphiri9132 Ай бұрын
Mimi SI mwanasimba Ningeshamgaa usingemrudisha Try again kuwa mjumbe WA Board yule ni Simba mpk nyama yake siyo Damu TU
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Ай бұрын
Very good Mo
@bakaryally3518
@bakaryally3518 Ай бұрын
Mbona simba inarudi upya
@EvadeusGonge
@EvadeusGonge Ай бұрын
Safiii xaana nimefrah xaana kuxikia hivyo
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p Ай бұрын
Togwa keshalitia maji, yaani Try Again anarudi tena kwenye Board?
@gerowadamwandika669
@gerowadamwandika669 Ай бұрын
Asante Bosi wetu, mungu akubariki sana, Rudi kwa kishindo baba, Simba oyeeeeeee
@AtupeleNjella-cc2xi
@AtupeleNjella-cc2xi Ай бұрын
Jipe moyo.5 zingine zaja
@DM_15
@DM_15 Ай бұрын
Ile cpa inas3ma itasajili wachezaji wanaopitishwa na bord yao wana hela gani zakusajili wao wenyewe wana njaa halafu wana mpaka matope tajiri 😂 tajiri hasemwihovyo hebu Ile CPA ikauze gengelake huko mbwinde
@Eliaskasanya-hm5yk
@Eliaskasanya-hm5yk Ай бұрын
Maamuzi kama hayo ndo wana Simba walikuwa wanayasubiri kwa hamu sana. Babra naye arejee maana timu ilikuwa vzr enzi za uongozi wake
@emmanuelHugo-eo1vf
@emmanuelHugo-eo1vf Ай бұрын
ushaharibu leo unatufanya mafala weka bi zetu kwanza
@POWERMANGWANA
@POWERMANGWANA Ай бұрын
Kimya wewe utpolo bi za wapi
@GaspaMwamlima
@GaspaMwamlima Ай бұрын
Bosiiiiiiiiiiiiiiiiii
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Simba oyeeeee mooooo oyeeee mashabiki wa simba oyeeee
@lahauonline217
@lahauonline217 Ай бұрын
Safi sana mkuu karibu Tena tupo pamoja na tutakupa ushirikiano wote kila sehemu y Simba yetu inshallah Allah atupe afya njema na umri mrefu na uwezo wa kufanikisha hayo aaamin Simba oooyeeeeee....
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y Ай бұрын
Asante sana boss