Kuhusu ndoa bado afundishwe,,idara yao inaongoza kwa talaka.
@MartinMawenya2 сағат бұрын
Kama alikua amechora kabla ya kuokoka ,unajaji vp kuhusu tatoo?,,why,,huoni ukuu wa neema aloipata ,,Iteni wote waje na tatoo zào. Mungu anawapenda.
@JustineCherop17 сағат бұрын
Unanitia nguvu za kuendelea na uimbaji wangu jamani pia nami Sina wazazi wote ila mungu pia amenijalia na kibawa cha uimbaji ninajua kunae mungu mbinguni mwenye neema
@glorygreyson28092 күн бұрын
blessed go viral Kibo wa YESU 4 God's Glory
@LazarobalamLazarobalam4 күн бұрын
Good vector
@LazarobalamLazarobalam4 күн бұрын
Amen Amen
@YonahEmanuel5 күн бұрын
Hongera sana bella kombo mungu akuangazie nuru, lakni mimi pia napenda kuimba so naomba connection yako,
@paschalinahharis96046 күн бұрын
My favorite singer❤❤
@DukeMindali6 күн бұрын
Hongera kabisa
@aljunjaziri7 күн бұрын
Bibi ujue mmetufanya tuokoke kwa nyimbo zenu. Mimi nikiwa bado mdogo nilikuwa nasikiliza nyimbo zenu. mnatuburudisha sana. Mungu awabariki sana
@JaneyChigga7 күн бұрын
Bella ukiendelea na utulivu ulionao ktk kumsikiliza Mungu utafika mbali sana. Utaliishi kusudi la Mungu. Nimekusikiliza una kitu kikubwa cha Mungu. Pambana, ng'ang'ana utamaliza na Kristo. Mungu akutunze.
@user-dv6wz5ql1j8 күн бұрын
Mungu Asifitu
@JacintaMaiyu-ed2mh8 күн бұрын
Pastor Munishi
@user-nl5lg8lx5d8 күн бұрын
Mpambanaji, Mama wa wengi ❣️ 🥰 nakupenda sana
@mattyhappy15818 күн бұрын
Ameen
@qweentz-nb2qc9 күн бұрын
barikiwa mtumishi welcome again Zanzibar🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MaleMakauki10 күн бұрын
it was great good job and god may bless you you are so confident its not an easy job to preach in zanzibar
@aloycendalu686710 күн бұрын
Aiseehuyumdada kweliameokoka kwanza anaujasili wakipekee
@kasimebyarufu338610 күн бұрын
Ule muze Malebo anatutesa sana sisi wa Congomani alafu tumemusamehe 😂😂
@williamnassari959411 күн бұрын
Mungu akutunze sana Madame Bella. Focus!
@emmymshomi889311 күн бұрын
🎉🎉🎉
@mathiasnkini399112 күн бұрын
Aisee ulimfanyia mwenzio hivyo wakati ndiye alikuleta mjini kakupa na mchongo duuuh.
@manyandatimoth714 күн бұрын
Mzee Malebo very charming😂😂
@user-cm5xv7gb2e15 күн бұрын
Hakika ilikuwa nzuri sana sherehe ya maadimisho ya miaka 85 ya uwepo wa kanisa zuri la TAG hapa nchini Kwa kweli Mungu ni mwema tunamshukuru Mungu Kwa matendo yake makuu
@ireneshirima599116 күн бұрын
Watu wengi wanaogopa kukiri kuwa ni walokole…big up brother 🎉
@elizabethchiwamba837218 күн бұрын
Mungu awatunze familia ya Baba yetu wa Kiroho Mzee Kulola, Tujitahidi sana kuingia MBINGUNI, si lelemama ,MUNGU ATUKUMBUKE
@japhetbukuru530018 күн бұрын
Ver very goo
@leahjonathan972618 күн бұрын
My wangu❤
@FurahinAmnken20 күн бұрын
Blessed 🙏✨❤️
@matrida.lunyilija519621 күн бұрын
Dada Lyidia naomba no yako please
@BettyadhiamboAlara22 күн бұрын
MUNGU awabariki
@johnsonmushi453722 күн бұрын
Bella hongera sana unaimba kwa hisia kutoka moyoni, mwamini sana MUNGU, anakuheshimisha, usiumizwe na comment mbaya, that was past life. Ukizaliwa upya MUNGU anasamehe na kufuta yote.
@Africa96tv23 күн бұрын
Mrefu yuko wapi jamani?
@carenhilary806723 күн бұрын
Hallelujah
@VictoriaChepkwurui26 күн бұрын
I thought this was just a song 😂😂
@jastinemwambi230726 күн бұрын
Nafurahi sana kuona malebo ameokokà Hongera Mtumishi wa Mungu Munishi kumzalia Mungu matunda yanayodumu
@jastinemwambi230726 күн бұрын
Aje aimbe na Pastor Munishi
@JohnMadebe26 күн бұрын
John
@ImeldaMyinga27 күн бұрын
Huyu dada hazeeki jamani ubarikiwe dada
@user-jx7xw9ty1i27 күн бұрын
Nafurai sana kusika isitoria nikiwa kenya 🇰🇪 mombasa
@user-jx7xw9ty1i27 күн бұрын
Waoo leo nimejua malebo ninani I remember those days 90s nime furai sana mimi niko mombasa kenya ❤❤
@MaryShukran28 күн бұрын
Ameokoka akiwa tayari na tatoo hivyo usijaribiwe kuhukumu maana Yesu alikuja kuwatafuta hao. Hivyo tusiwavunje moyo
@thebmcblackmiccatcher394918 күн бұрын
Tumia neno ALIKUJA KWA AJIRI YETU, SIYO HAO. UNAHISI HAKUJA KABISA KWA AJILI YA WATU KAMA WEWE, UNA MKATA WA MOJA KWA MOJA UTAFIKA KWAKE SIYO?
@user-nm8vw4eh6m28 күн бұрын
Nice one
@pendomwaiteleke163628 күн бұрын
huyo dada mwingine yupo busy na simu kama hayupo kwenye kipindi ajirekebishe
@ibrahmjohn5661Ай бұрын
Safi SANA
@FurahiniSanga-i4hАй бұрын
Naomba namba ya mtoa ushuhuda jamani
@fadhililazarus9992Ай бұрын
Hongereni sana
@barakamwange-tq2qvАй бұрын
Mungu akuinue
@rulebudodo2301Ай бұрын
Wonderful
@straton37Ай бұрын
Sir John..... Nimejifunza somo kutoka kwenye mazungumzo haya.... Thank you Papa.... Following from Geita katoro Tz... Madam Miriam umebarikiwa