Nina itajisana sana uhamusho wa rohomutakatifu, Mungu anipe uhamusho wa rohomutakatifu
@ImeldaMyingaКүн бұрын
Ninasumbuliwa na haya mambo Ila kwa jila yesu naenda kufunguliwa
@LIGHTDIGITAL-t3vКүн бұрын
Utukufu kwa Bwana
@Neema-wy4mh2 күн бұрын
Mungu tusaidie maana hili ni jambo la wahanga wengi sana. Mungu mtunze mtumishi wako atulishe tena ilitukombolewe.
@ErneusNdunguru-gu5hf2 күн бұрын
Amen
@ErneusNdunguru-gu5hf2 күн бұрын
Amen
@ErneusNdunguru-gu5hf2 күн бұрын
blessed Sana na Hii
@neemasanga53332 күн бұрын
AMEEN❤❤.
@neemamwambaja18563 күн бұрын
Mungu akutunze Mchungaji
@alinedushimirimana-ei7jh3 күн бұрын
Asant san Mtumish wa Mungu nimeelew san Mungu akufunguliye milang mingi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hanielmngodo82763 күн бұрын
I felt a burning sensation in my chest. Thank you Jesus I'm free😊
@ChristineSavai3 күн бұрын
Amen
@NeemaMgaya-ez9un3 күн бұрын
Amina
@doricekeepgoingdesmond34733 күн бұрын
Bwana YESU asifiwe... Wakati wa maombi nilikuwa nabanwa kifua na nikawa kama navua Pete kwenye kidole cha Pete.... naamini MUNGU ametenda kwenye lango langu la mahusiano na ndoa
@catherineayako6933 күн бұрын
😢😢😢 God you are great aaaah
@EvelynJeremiah4 күн бұрын
🙏🤲🙌👏AMEN,,THANK YOU LORD JESUS,,GLORY TO GOD,,AMEN👏🙌🤲🙏
@ananileameshack61774 күн бұрын
Amen🙏
@justingeorge24514 күн бұрын
Amen 🙏
@ErneusNdunguru-gu5hf4 күн бұрын
Blessed Sana Roc
@ImeldaMyinga4 күн бұрын
Hapa mtaanani kwetu kunabinti anavaa kama mwanaume mungu amsaidie afunguliwe mtumishi barikiwa sana
@kilimba6874 күн бұрын
Amen, Ubarikiwe Sana Baba
@bigblessedvoices4 күн бұрын
🌟🙌🙌🙌🙌
@user-cq8vr4uk4m4 күн бұрын
Baba Asante kwa maombi yako
@InnocentDeer-zt1ls5 күн бұрын
Amen
@NeemaMgaya-ez9un5 күн бұрын
Amina
@user-on4sb9fn5t5 күн бұрын
Sehemu ya NAFSI kipengele Cha UTASHI umeshakiongelea mtumishi?
@modestamalima99534 күн бұрын
Shalom Baba
@vicentkilonzo9245 күн бұрын
🙏
@fedrickyohana74335 күн бұрын
🙌🙌🙌🙌
@flobad.mhubiri5 күн бұрын
Baba Amina.
@gabriellafaith61285 күн бұрын
Isaya : 55 : 8 - Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana. ❤🙏
@ayubumkwizu22836 күн бұрын
Mdogo wangu Mungu akubariki mno
@scholafelix71676 күн бұрын
Naomba namna ya kuonana na wewe baba..
@scholafelix71676 күн бұрын
Naomba namna ya kuonana na wewe baba..
@scholafelix71676 күн бұрын
Baba ubarikiwe,, samahan .. mm nkikusikia sauti iliniambia omba.. nikaomba wakati ule,,,asubuh nmenda kanisan nkaambiwa niwaambie kanisa waombe.. .Sikufanya hvyo... Kumbe mume wangu alikuwa hocptalin anaumwa n sikufahamu kutokana na mazingira aliyokuwepo ,,. Bada ya siku moja nikapata taarifa ya kuugua kwake nkaenda kumwona alafu baada y siku 7 akafa. Je baba mm ndye niliyesababisha akafa kwa kwa kutotii saut ya roho mtakatifu.? Naomba unisaidie baba. Huwa inaniumiza sana babangu..
@flobad.mhubiri6 күн бұрын
Amina
@veronikaaugustino22587 күн бұрын
AMINA mbele naendelea mm na nyumba yangu
@deborahmakwega64207 күн бұрын
Always GOD is Good
@jacquelinekamachira51277 күн бұрын
Kubariki pastoral sunbella
@enoceruganga54357 күн бұрын
Nakuelewa sana mtumishi since Clouds tv From kasulu
@LengereriLogistics7 күн бұрын
Naitwa Richard ni mtoto wa reality church,nabarikiwa sana na mafundisho baba
@RoseneemaMassawe7 күн бұрын
Amina
@veronikaaugustino22588 күн бұрын
AMINA
@veronikaaugustino22588 күн бұрын
AMINA
@KoletaMab8 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@KoletaMab8 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@KoletaMab8 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@KoletaMab8 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wamungu
@christinecredo79458 күн бұрын
Ubarikiwe Sana Pastor
@monicahmwalozi8 күн бұрын
Amen Amen hallelujah mtumishi Mungu akubariki kuna maarifa ya kiroho nimepata .