Wewe ni miongoni mwa walimu bora kabisa mfano wa kuigwa.
@ClaudeMugisha-ec7cbАй бұрын
Ahitaj uju ukanifunza kutengeneza mashini ya sola kupitia WhatsApp hata kamalipo Niko tayali
@ClaudeMugisha-ec7cbАй бұрын
Ubalikiwe sana mze?
@ClaudeMugisha-ec7cbАй бұрын
Nimekubali sana mze mi Niko Burundi unaweza kunifinza kupitia WhatsApp shli'gi ngap?mafunzo?
@SauliNdamboАй бұрын
Asante by ndambo
@SalumKissuu-il1hv2 ай бұрын
Great ancle
@AlainMatabaro-bc2po2 ай бұрын
Asante sana
@babahilimollel52542 ай бұрын
Asante kwa Mafunfunzo mazuri
@Munirakombo3 ай бұрын
Jamani habaru za jioni na hongereni sana naaombeni mafunzo
@ramadhanntandu9943 ай бұрын
Unaudha shingap hiy mashin kaka
@agnesamani96815 ай бұрын
Aksanti papa Zakaria .Toka RDC Goma
@user-ty5mt2vt5w6 ай бұрын
Ubarikiwe na mashine bej gani
@mohammedabubakar79246 ай бұрын
HABARIYAKO MWALIMU KWA MAJINA MM NI MOHAMED ABUBAKAR KUTOKA KENYA KWA KWELI NAFANYA DARASA ZURI SANA KIYASI CHA KUFAHAKA KWA HARAKA ASANTE SANA NA MUNGU AKUBARIKI AKUPE AFYA NJEMA NA UMRI MREFU TUZIDI KUPATA ELIMU MM NAOMBA NO, YAKO YA Whatsapp ILI UNISOMESHE KWA UNDANI COZ MM NIFUGAJI MGENI NATAKA UNIFUZE MENGI PLZ ASANTE
@Fabianrichard-fb2jn7 ай бұрын
Ubarikiwe
@user-ex2cj9lt6j7 ай бұрын
Naitaji iyo mashine naipataje ?
@halimanyumba33958 ай бұрын
weka Bei
@user-wg1vr9dx4f9 ай бұрын
Unapatikana wapi
@pedroestrada5690 Жыл бұрын
andaa bañarte no teemtiemdo nada
@simonmsafiri7972 Жыл бұрын
naomba namba
@jeandesiremumba513 Жыл бұрын
Bwana Zakaria,djambo,hunapo fasiriya sana kwa kusema mafundicho hayo haifayi wende nayo kwa mungu vema hupate kwifundicha kwa wengine dunihani,ni vizuri sana n'a merci kubwa kwako,Sawa kwa Nini hahupati kuhonecha vidéo lako kwa Lamuna ya kuweka vitu ndani ya beseni un Lamuna ya kutiya taa ya mafuta chini ya beseni,Lamuna ya kuweka bulangeti etc,kwa Nini
@koffipaul7265 Жыл бұрын
Greetings Sir! Thanks a lot d'or this demo, particularly the transformations of the kerosene lamp! I really appreciate even if I do not understand the language! Thanks!!!
@martinmukono9777 Жыл бұрын
Asante sana MUNGU akulinde
@martinmukono9777 Жыл бұрын
Shukrani sana Jamaa
@oneworldonesun9146 Жыл бұрын
2022 October nimepata somo
@oneworldonesun9146 Жыл бұрын
Nashukuru sana
@suleimanenzimbali2647 Жыл бұрын
Samahan kaka naomba unionyeshe mashine inayotumia mafuta taa na bei yake
@suleimanenzimbali2647 Жыл бұрын
Kaka naomba utuoneshe mashine inayotumia mafuta taa na bei yake pia
@ramadhanikanwata8722 Жыл бұрын
Unapatkana mkoa gan,mm niko mafinga iringa gharama ni kiasi gan
@desiregakufi12202 жыл бұрын
hatuoni kitu ulituficha
@desiregakufi12202 жыл бұрын
asante
@desiregakufi12202 жыл бұрын
mungu akuongezeye mwaka nakupenda sana
@desiregakufi12202 жыл бұрын
nafurahi sans Nino drc
@desiregakufi12202 жыл бұрын
j'aime
@havertzclement6892 жыл бұрын
Inatmia muda Gani iyo mashne kulangua ao vifaranga
@havertzclement6892 жыл бұрын
Nice Fadher
@omariaciza88782 жыл бұрын
Nzuri sana
@havertzclement6892 жыл бұрын
Apo bdo ujasaidia chochote baada uonyeshe Jins ulibyotengenza
@mariethamushy88612 жыл бұрын
Hizimashine hamuuz?
@christopherinnocent15242 жыл бұрын
Endelea kutuweka mjini
@davisisote48882 жыл бұрын
P0
@theharmonysingers7772 жыл бұрын
Barikiwa sana
@ashrazzubery15892 жыл бұрын
Sh ngap unauza
@wemasitta58602 жыл бұрын
Ndg.mtaram naomba msaada Wa kifaa hiki.
@leedsoldat29612 жыл бұрын
Unaweza nipa mafunzo nije kwako bro..kupata ufundi
@ericmaombi24352 жыл бұрын
Nafarahia vipindi vyako kuhusu utengenezaji wa machine, vipi naweza pata machine hi na kwa garama gani?ni Éric toka Rdcongo
@jacklinewesonga72672 жыл бұрын
Vifaraga vikiwa ndani ya mashini viweza kupumuwa ama haviwezi
@jacklinewesonga72672 жыл бұрын
Joto Lina fa liwe kiwango ganani
@samuelnjoroge82642 жыл бұрын
Can you send me video on how to make one plz
@yasiniberbatov63772 жыл бұрын
naitaji hii elimu kwakweli
@yasiniberbatov63772 жыл бұрын
mm nipo kenya naitaji number yako ya wtsp ilituwasiliane