dah asante. mungu- nilikua ni miongoni mwa haooo wanao apa hapoo
@oonyuali7530Күн бұрын
hapa ndo sem ya ujenzi ya makanda...... huyu kamanda wangu 2021
@ThaniaHaji-zx8nn2 күн бұрын
Live au vipi
@sibomanaandrew39332 күн бұрын
Waende Kwa nini wakwepe,
@MgishaBoaz2 күн бұрын
Poreni makamanda wa jwtz nafamilia yake
@johnalexandermushi67203 күн бұрын
RIP Brig Gen.
@andrewmcha-jf3goКүн бұрын
pumzika kwa amani wajina
@FredrickKabura-gd7hg3 күн бұрын
Uturehemu ee bwana
@raphaelmwamakimbula96423 күн бұрын
😢poleni sana makanda wangu! Hakika,kifo kipo na Hana atakayekikwepa maana ni agizo la Mungu kwetu baada ya Babu na bibi yetu Adamu na Hawa kumkwaza kupita kiasi.Mungu atujalie rehema yake😭
@innocentpaulchillu15123 күн бұрын
Rip brg.general
@venancemiyeji68043 күн бұрын
Hongera kwa kutuletea huduma ya Afya kwa Wananchi
@YusuphuMakange3 күн бұрын
Wazi afande
@yoelgohage7 күн бұрын
Mhhhhhhh hii ni nafasi nzuri kwao Mwaka Jana 2023 sisi tulifukuzwa baada ya kuchelewa kuripoti kutokana na sababu zilizokuwa juu ya uwezo wetu na tulikuwa na Nia ya kujenga taifa okay anyway
Jamani mwanangu yuko dalasa la 5 lakni ananiambia anataka akasome shule ya jeshi sababu anapenda kuwa mwanajeshi alafu sijui ni wapi shule iliko
@RamadhanMdumya-ue5rp10 күн бұрын
ii foot drill noma sanaa!!
@MusaVedastus11 күн бұрын
Respect kwako❤
@MusaVedastus11 күн бұрын
Respect to you❤
@MusaVedastus11 күн бұрын
Respect kwanu viongozi❤
@MusaVedastus11 күн бұрын
❤
@MusaVedastus11 күн бұрын
❤
@MusaVedastus12 күн бұрын
One day yes nitakuwa mwanajeshi❤
@MusaVedastus12 күн бұрын
Like sana jeshi la kujenga taifa ❤
@MusaVedastus12 күн бұрын
Respect nguvu kazi ya taifa❤
@MusaVedastus12 күн бұрын
Hongera sana vijana tegemezi la kesho nguvu ya taifa
@user-zq5ld5px6u12 күн бұрын
Congratulations..
@josephlorri43112 күн бұрын
Majeshi ni watu bora sana,hawana baya.. namna yao ya kuongea inafanana..wanachuja maneno
@stephenjonas486611 күн бұрын
That's military language: "umoja"
@user-cn9br7en7w12 күн бұрын
Natamani sana kulitumikia taifa lango katika vyombo vya ulinzi na usalama na bado Nina miaka 21
@JumaLufega14 күн бұрын
Yameiva baba afand ee
@gracemartin337915 күн бұрын
Kwa kweli nimefurahi Sana kuona kukamilika kwa kamandi ya jeshi letu la akiba Kwan mmi piah no mmoja was Askari wa jeshi la akiba lakini nimehuzunishwa kutokuona askari wenzangu hapo wa jeshi la akiba/mgambo katika video picha hii haileti afya kwakua hatuwaoni wenzetu wanao tuwakilisha kwa hili mmetukosea Sana mnapaswa kutuomba msaha kwakweli
@zachariakonyanza225916 күн бұрын
Kazi nzuri sana proud to be among
@AndrewKayombo-wm8bw17 күн бұрын
Hongera sana Kwa viongozi wetu wote kwa Kazi nzuri
@user-zq5ld5px6u17 күн бұрын
Mmi ni mwihitim wa kdato cha nne 2022,, ama kwa majina naitwa Joseph Alex nmemaliza Kizuka High School... nina vgezo vyote,,, nawezaje kujiunga na Chama cha Jeshi
@arafathussein79105 күн бұрын
Jeshi sio chama,kama unataka kujiunga na chama vipo kama CCM,CHADEMA,CUF,ACT N.K..karibu tena kijana.
@georgejoachim141418 күн бұрын
🙏
@PaulFaida-io2zk18 күн бұрын
Mngu awabaliki kwmazoezi mema❤😂😂😢😅😅😅
@HaniferMwiru-wn9wq20 күн бұрын
❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@petromilanzi321922 күн бұрын
Good approach
@innocentrichard294522 күн бұрын
Camera stabilizer bado kiongoz
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp25 күн бұрын
Kazi ya kiume bado sijaiona kwanza tanzania kijesh inatakiwa tuwe juu sfrika masharik tuwe juu sana tusiwe wakilinganiswa makenya wala uganda hao wana uchumi wa kuombaomba
@mvungiqualityproducts147325 күн бұрын
Hongera sana Tanzania samahani Mimi ni fundi viatu je mnauzaga soli za wiatu?
@Esquire26626 күн бұрын
Hawa wanasarakasi,wanajeshi wa mchongo
@umrathhassani27 күн бұрын
Mpo vzr Allah awawekeee wepec
@FakihiAlly-kb7ss27 күн бұрын
GENERAL MBOMA
@FakihiAlly-kb7ss27 күн бұрын
UTAMBUZI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@umrathhassaniАй бұрын
Hongera xana madam mmeendelea
@AllyKafungwaАй бұрын
Nimependa sanaaa kuwepo kwa KAMBI YA KAMANDI YA JESHILETU LA AKIBA ila ninapenda sana namimi ningekuwa mmoja wa jwtz moja kwamoja napenda hata nisipolipwa jamani dah c.r.f oyeeee
@unclegmihale455Ай бұрын
Safi
@TwahaRashidАй бұрын
Ila mungu yupo, tunagalamikia watoto wetu wanaenda kujitolea mafunzo ya awali kijana anamaliza, Tena bila shida yoyote, wanaenda ujasiliamali unakuta kijana anapata shida anawaaga kabisa , haya amefika nyumbani Tena sehemu alipo makambi ya jeshi ni mpaka apande basi haya nyumbani kunachangamoto yakifamilia kuuguliwa mzazi au kufiwa , haya mnajaribu kupiga cm unaambiwa mhusika mkuu hayupo , mwisho wake unafanikisha hata nauli ili aondoke na ni mkoa wa mbali kambi ilipo anafika anaambiwa ameshafukuzwa tayari, umehangaika Kama mzazi , lakini wanashindwa kujua kabisa Kuna familia zinashida kiasi gani, tumeumia sana