Tiba ya Ugumba kwa kutumia Lishe Bora
0:44
Mvurugiko wa homoni na Ugumba
1:09:37
14 күн бұрын
Faida za kufanya mazoezi
43:27
2 ай бұрын
Lishe Bora na Dr Boaz Kitchen
14:06
Kliniki ya magonjwa yasioambukiza
18:26
Пікірлер
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 31 минут бұрын
Uparikiwe sana hakusoma ili upate maisha ,upo kwa ajili ya kusaidia maisha ya watu Mungu akupe umri mrefu uendelee kusaidia watu❤
@batulimrisha9883
@batulimrisha9883 33 минут бұрын
Huo UNGA unapatikana wapi?
@blessedggithinji6192
@blessedggithinji6192 12 сағат бұрын
Mimi nimetumwa vipimo vya goita inapimwa aje😢nimefanyiwa upasuaji mara mbili tumbo major stomach surgery 😢 naogopa ya shingo😭nitahisi uchungu kupimwa goita
@SuleimanKaoneka
@SuleimanKaoneka Күн бұрын
Tunapataje nguvu kama Kila chakula
@princemimi2090
@princemimi2090 Күн бұрын
huyoo jamaa mwenye kasuti kamchongo kabluee ana ubinafsi, sio kiingozii boraa
@joycekerenge3605
@joycekerenge3605 Күн бұрын
Daktari...nitakipataje kitabu cha sayansi ya mapishi na ni bei gani
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan Күн бұрын
Je dr kama una matamanio halafu huna mtu wa kumuondolea hiyo shida unaweza kuwa na shida gani kiafya
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 2 күн бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri,dr,tindikali ikizidi mwilini ni asili ya sukari?
@SarahMushi-v9y
@SarahMushi-v9y 2 күн бұрын
thank you so much doctor kwa maelezo mazuri ya video zako zote unatusaidia sana tumeshazunguka hosp nyingi na kuambiwa kuwa hatuumwi kumbe shida ni mfumo wa chakula
@SarahMushi-v9y
@SarahMushi-v9y 2 күн бұрын
thank you so much doctor kwa maelezo mazuri ya video zako zote unatusaidia sana tumeshazunguka hosp nyingi na kuambiwa kuwa hatuumwi
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 2 күн бұрын
Shukrani kwa mafunzo mazuri endelea kutoa elimu
@FunnyRainbowTrout-ul6iw
@FunnyRainbowTrout-ul6iw 2 күн бұрын
Sasa Dr nimejifunza lakin sasa tutakula mboga Tu.
@kudratabuu1103
@kudratabuu1103 3 күн бұрын
Mtu mwenye sukari umetaja aina za mboga je maharage,chorizo, dengu mbaazi je unaruhusiwa kula
@RachelNicolao
@RachelNicolao 3 күн бұрын
Mi mwenyewe nina miez 6 tumbo bado haliishi.dah hadi nguo zangu hazinitoshi tena
@user-yy9fc2bd5b
@user-yy9fc2bd5b 3 күн бұрын
Jamn naomba msahada jamn. Ninatuwa na dam mda mrefu san jamn
@HajrahRamadan
@HajrahRamadan 3 күн бұрын
Ahsante dr tunaomba utuambie vyakula vya kula
@CarolineMwahu
@CarolineMwahu 4 күн бұрын
Nafatilia mafunzo yako
@user-eg8el3bm4k
@user-eg8el3bm4k 5 күн бұрын
Kitabu tunapataje
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 5 күн бұрын
Ahsante Kwa maelezo mazuri
@michelkibwe5881
@michelkibwe5881 5 күн бұрын
Naitwa Michel kibwe
@michelkibwe5881
@michelkibwe5881 5 күн бұрын
Doctor Jambo nataka number yako
@user-tv9gm7yz7w
@user-tv9gm7yz7w 5 күн бұрын
😢Dr Mkumbo. MUNGU akubaliki.
@user-zx9zz3cc4i
@user-zx9zz3cc4i 6 күн бұрын
Natoa harufu mbaya sana na gesi inajaa na akutoka mara kwa mara hadi napata aibu kukakaa katikati ya watu. Nisaidie Daktari.
@user-zd5je5wp7o
@user-zd5je5wp7o 6 күн бұрын
Naomba muniunge na group
@user-zd5je5wp7o
@user-zd5je5wp7o 6 күн бұрын
Nashukuru sana kwa elimi hii lakini sasa kwa mimi niliyeko Burundi naweza kukipataje hicho kitabu
@princeatanasia-ti4np
@princeatanasia-ti4np 6 күн бұрын
Dactr mm namtt mmja ana miaka ila saiv na miez3 namtafuta mtt si conceive ila maziwa yanatoka kdg nifanyj niconceve
@HawaSwalehe-vc3qx
@HawaSwalehe-vc3qx 6 күн бұрын
Doctor mm nateseka sana jaman mpaka naona kufa kufa
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d 7 күн бұрын
Mimi naumwa mwili mzima yaani mwili mzito mifupa inauma naumwa nasikia kama nataka kufa
@MeshackMwalukomo
@MeshackMwalukomo 7 күн бұрын
Nataka uniambie namna ya kupunguza dam mwilini
@Nambeyebeauty
@Nambeyebeauty 8 күн бұрын
Asante doctor
@anna494
@anna494 8 күн бұрын
Je kuvujiana damu ndani ya viugo vya mwili usababishwa nanini
@joycekerenge3605
@joycekerenge3605 8 күн бұрын
Dr unaongea ki hekima sana yaani kwa upendo mkubwa asante sana
@user-bf1mu2rv8f
@user-bf1mu2rv8f 9 күн бұрын
doctor ninashida naomba msaada nilikuwa sipati hedh ndani ya miezi mitatu nimekuja kupata mwezi mwengine je naweza kupata ujauzito
@user-bf1mu2rv8f
@user-bf1mu2rv8f 9 күн бұрын
abari doctor
@EdinaTito
@EdinaTito 9 күн бұрын
Mm nilikuwa nafanya mzoez mfupa uka vunjika nifanyeje iliniludi kawaida
@hasinaaljabri1502
@hasinaaljabri1502 11 күн бұрын
Dr kwanini mtu kukosa usigezi sababu yake nini😴😴😴
@munyeshemaedouard7764
@munyeshemaedouard7764 11 күн бұрын
Asante Doctor
@thadeombani7869
@thadeombani7869 13 күн бұрын
Dar umenitamanisha wewe jamaa mpaka nimesikia njaa
@universalbodyfitness2803
@universalbodyfitness2803 13 күн бұрын
Dr nashukuru sana kwa elimu Yako nzuri
@GraceMlemeta
@GraceMlemeta 15 күн бұрын
Hongera Dr
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 15 күн бұрын
Dr Boaz please tunakuomba uje na Geita maana mwezi wa 9/ 2024 tutakuwa na maonesho ya dhahabu.please Dr tunakuomba ufike na taasisi yko.
@aminasaid6555
@aminasaid6555 15 күн бұрын
Mtangazi nawe unachekacheka tu hata kwenye moment ya huzuni
@joycekerenge3605
@joycekerenge3605 Күн бұрын
😂
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 15 күн бұрын
Hongera sana Dr Boaz.karibu Geita/Kasamwa.
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 15 күн бұрын
Natamani nikuone uso kwa uso siku ukija Geita,hivo vijiji vyote navijua😅😅😅
@MaryAloyce-z6d
@MaryAloyce-z6d 16 күн бұрын
Huo unga unapatikana wapi?
@patriciamakunge5432
@patriciamakunge5432 16 күн бұрын
Asante Leo nimekuelewa sana nitakuja bei Gani hiyo Adk
@Tariq-r2i
@Tariq-r2i 16 күн бұрын
Tyler nini asubuh mahanadi na usku nisaidie
@trishanngowi2274
@trishanngowi2274 17 күн бұрын
Dokta kwa mtu anaenyonyesha anaweza kufuatilia mpangolio huu wa lishe?
@l.sifaaimerancentakobajira7808
@l.sifaaimerancentakobajira7808 18 күн бұрын
Barikiwa sana ila nina swali mpaka hapo
@l.sifaaimerancentakobajira7808
@l.sifaaimerancentakobajira7808 18 күн бұрын
Hi doctor
@DeusThomas-x7d
@DeusThomas-x7d 18 күн бұрын
mwalimu wa bung'wangoko.