Kwakweli wazee wanapitia wakati mgumu sana kwa muonekano wa mashamba Yao ambapo wanategemea kupata chakula pamekauka kiasi hichi ni vigumu sana kupata chakula na maji na mahitaji mengie maana wakiuza kawaha zao wanajipatia mahitaji muhimu kwakweli tuwaombee haya mabadiliko ya tabia nchi yanaleta shida katika jamii. Niwapongeze shirika la Kwa wazee kwa kuendelea kufatilia kwa ukaribu juu ya maisha ya wazee na kuwasaidia kwa namna moja ama nyingine.
@user-vi2ls8ut2r10 ай бұрын
Na tumai umzima dada baskeli zako zinaonekana nzuri ila Niko mbali
@adelphinusalexander4074 Жыл бұрын
Hongera sana wazee kwa kueleza ukweli kuhusu faida mliyoipata kutokana mbuzi
@HadijaZabroni-pu1lt Жыл бұрын
Bei gani
@adelphinusalexander4074 Жыл бұрын
Hongera kazi nzuri sana
@jofreyizeck32322 жыл бұрын
Masoko KwakuZia sasa
@alexedward77092 жыл бұрын
Hongera shamba zuri. Ni Kagera sehemu gani?
@mwitaibrahim37992 жыл бұрын
Kagera _wilaya ipi Hilo shamba lipo Ili nije kulitembelea
@shumbusho85792 жыл бұрын
Safi sana
@amisahussein50593 жыл бұрын
👏👍🔥😘
@mtetezifoundation76113 жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani mzee wetu/Raisi wetu mpendwa...😭😭😭