SOMO;NGUVU ILIYOMO KATIKA UMOJA
37:00
14 күн бұрын
VIPENGERE VINNE  VYA MAONO YENYE UFANISI
15:15
Пікірлер
@SahraMohamed-gr3et
@SahraMohamed-gr3et 41 минут бұрын
Kweli nimponyaji nimepokea Amina
@IsmailKikas
@IsmailKikas 2 сағат бұрын
Mungu ni mwema kweli
@DrJosephNyakigali
@DrJosephNyakigali 2 сағат бұрын
Kinachonishangaza pamoja na hayo yote watu wetu wataendelea kusongamana kwa Mwamposa na wengine wote wanaouzavitu hivyo, tatizo wengi hatusomi meno
@PASTORPETERMKIPAYAWORDOFLIFE
@PASTORPETERMKIPAYAWORDOFLIFE 3 сағат бұрын
Ni kweli kabisa.
@zawadielisikay
@zawadielisikay 3 сағат бұрын
Mungu aturehemu naona sasahivy wapentecoste kufanya jambo nzr na ya msingi
@leutnatmisana5164
@leutnatmisana5164 3 сағат бұрын
Amen❤
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 3 сағат бұрын
Baraza halijaongea sakata na hofu iliyopo ya watu kutekwa, watoto hasa Zama hizi kuelekea uchaguzi??
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i 4 сағат бұрын
Uchaguzi bila katiba mpya tume huru ya uchaguzi, na CCM kuacha kuwa chama Dola,,, mengine yote ni porojo,utalindaje Taifa ,unahubirije Amani bila kuhubiri haki,,,,
@loserianfrankmoitha235
@loserianfrankmoitha235 4 сағат бұрын
Mungu akuweke much❤️
@AllamyKassy
@AllamyKassy 4 сағат бұрын
Viongozi wetu wa cpct mko vizuri hongereni sana. Dumisheni umoja huo.
@MuyaHappy-j8y
@MuyaHappy-j8y 6 сағат бұрын
Ubarikiwe sn mtumishi wa Mungu
@user-bh2yy6jm6z
@user-bh2yy6jm6z 6 сағат бұрын
Maswala Muhimu kama Bandari, Watu kutekwa, Madini kuchimbwa kwenye hifadhi za wanyama mko kimyaa! Mnahangaika na visaidizi vya upako? Are you serious?
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 7 сағат бұрын
Visaidizi sio viambatisho vya wakati wote,na kwa watu wote bali kwa wakati maalum,na watu maalum kulingana na jambo husika la maombezi na uponyaji wala haviuzwi.
@pastormalitiushuhuda9965
@pastormalitiushuhuda9965 7 сағат бұрын
Mbarikiwe sana kwa sifa
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 7 сағат бұрын
Mwenyekiti wa baraza changa la CPCT kwa niaba ya Kanisa, tunamshukuru sana Mungu kwa hotuba yako nzuri sana uliyoitoa yenye ujumbe mahususi wa kusisitiza haki,na uchaguzi huru kwa serikali,na wajibu wetu wananchi wote tukaboreshe daftari la wapiga kura tukahakiki na kuhuisha ili tukapige kura wote. Mungu akubariki sana katika utumishi wako. Kujiandikisha ndio alama na wajibu wa mpiga kura yeyote ili akafanye maamuzi badala ya kuacha kupiga kura,alafu uanze kulalamika juu ya kiongozi ambaye hukumchagua! Mungu libariki Kanisa, ibariki Tanzania, Ibariki Afrika.
@mathewmbukwa9731
@mathewmbukwa9731 7 сағат бұрын
Good
@shadymoses5813
@shadymoses5813 8 сағат бұрын
Naomba Muundo wa kutambua na kusajili kanisa uwe hapa nchini uwe kama inavyokuwa kwa viongozi wa kisiasa (Yaani wawe wanachama wa chama husika ndo aruhusiwe kugombea nafasi ya kisiasa)hivyo, Sharti la msingi la kusajiliwa kanisa, kuwe ni lazima kanisa husika liwe mwanachama haya mabaraza CCT, TEC, CPCT, then haya mabaraza yasimamie practices za haya makanisa. Na yeyote anayekiuka, aonywe au ikiwezekana kusistishiwa uanachama na hivyo kupoteza sifa ya kusajiliwa hapa nchini. Hii itasaidia kukuza jamii inayopata mafundisho sahihi kwa utukufu wa Kristo Yesu. Muumini
@FridaLisu
@FridaLisu 9 сағат бұрын
Ameeeen,katazeni hii maana linakua kama ni upentecoste kumbe sio kweli
@FridaLisu
@FridaLisu 9 сағат бұрын
Mungu awape hekima zaidii
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 9 сағат бұрын
Hapa naomba kutoa ushauri, watumishi wa Mungu wa kweli hawa watumishi wa uongo washitaki kwa Mungu sio kwa serikali alafu tafuta nguvu za Mungu muache kula sadaka Bila kuifanyia kazi ili hata hawa wanaotafuta viambata wapate kufurahishwa au kuuona ukuu wa Mungu mnayemtumikia
@asherimtonga6335
@asherimtonga6335 4 сағат бұрын
Nimeipenda hii ubarikiwe saana Wana KAZI ya kusema tuu hawaoneshi njia
@josephineruttashobya
@josephineruttashobya 10 сағат бұрын
Amen, mtumishi wa Mungu. Umenibariki sana. Jiwe walilo likataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembe!
@kauyemhando107
@kauyemhando107 10 сағат бұрын
Hizi ni siku za mwisho mwenye masikio wasikie mwenzetu kakimbia kuzimu wengine wa natamani kwenda hatuelewi?
@ChapChap-z2s
@ChapChap-z2s 10 сағат бұрын
Barikiwa Sanaa Baba , klb songwe pia
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj 11 сағат бұрын
Khasim majaliwa man of God with higher fear of God. God bless you too. Eimen
@gabriellyadam9415
@gabriellyadam9415 11 сағат бұрын
Kwakwel Biblia kichaka. Wasaidieni watu sasa
@Theironrod9373
@Theironrod9373 11 сағат бұрын
Mwenye akili anashitaki kwa mungu, na sio kwa wanadamu..AMELAANIWA KILA ANAYEMTEGEMEA MWANADAMU…Nabii Eliya alipeleka malalamiko kwa mungu sio kwa mfalme Ahabu.. sasa nyie cpct kwa nini mnalalamika kwa serekali.. mmenikasirisha sana!! HUO NI UDHAIFU WA KIIMANI
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 13 сағат бұрын
ASANTE SANA VIONGOZI WETU WA BARAZA KWA MWONGOZO NA TAMKO HILI LA KULIPONYA KANISA LA YESU KRISTO. KANISA LAZIMA LIREJEE KWENYE MAFUNDISHO YA KANISA LA KWANZA KARNE YA KWANZA NA YA PILI KABLA YA CONSTANTINE ALIPOLIPOTOSHA KANISA NA KUONDOA UONGOZI WA ROHO MTAKATIFU. MUNGU AJITETEE
@peterkaji7552
@peterkaji7552 13 сағат бұрын
Safi sana sana tumechoka na hayo mambo ya uzushi wa manabii feki.
@user-et9wm7vq4l
@user-et9wm7vq4l 15 сағат бұрын
Mbarikiwe sanaaaaa Mungu wa mbinguni awe nanyi
@princessprecious6995
@princessprecious6995 16 сағат бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu
@DastanDisimas
@DastanDisimas 17 сағат бұрын
Hakika MUNGU akubaliki kwakusema ukweri MUNGU akupe siku nyingi
@fredmyinga9007
@fredmyinga9007 18 сағат бұрын
This far God have helped us. Mungu asimame na kanisa hili la mwisho
@ThomasNghwani-nw6rx
@ThomasNghwani-nw6rx 18 сағат бұрын
Hotuba njema sana. Mungu awabariki.
@kitwanajohn8237
@kitwanajohn8237 20 сағат бұрын
Mbarikiwe sana watumishi wa BWANA
@deniskimario9288
@deniskimario9288 20 сағат бұрын
Kulizungumza hili jambo mbele ya viongozi wa kisiasa ni uchawi mwingine.
@stevenmfumbilwa2109
@stevenmfumbilwa2109 21 сағат бұрын
Powerful MSG got you be blessed indeed with your ministry
@kennedysiyame4087
@kennedysiyame4087 Күн бұрын
Tunakua Chumvi vipi na ulinzi uko wapi kama watu wanatekwa, wanauawa, wanapotezwa halafu viongozi hamkemei. Waziri amekiri kwamba ushindi haupatikani kwenye Sanduku la kura na viongozi hamjakemea hilo. Tunaelekea wapi?. Mbona mnaleta Siasa kwenye Kanisa?. Hii sio sawa.
@EvarineMdaki
@EvarineMdaki Күн бұрын
Be blessed.
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q Күн бұрын
AMENI MT.WA MUNGU
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Күн бұрын
Duh 🙄 taasisi kubwa kama CPCT hilo jambo muhimu sana la kuieleza serikali? Wakati mambo haya yangeweza kusomwa kwenye vya habari. Kuna vitu vya msingi kama vile makanisa ya CPCT kutengwa kwenye shughuli za uapisho wa viongozi wa nchi, kuna swala TBC kutumiwa na baadhi ya makanisa kurusha ibada ibada huku wapentekosti tukiwa tumenyimwa fursa hiyo. Kuna wimbi kubwa la mmonyoko wa maadili kama vile mambo ya ushoga na usagaji hayo hamhayaona? Hao wanaofanya hayo ya kuuza vifaa vya upako asilimia kubwa ni watoto wenu wa kiroho ambao mna uwezo wa kuwaita na kuwaonya kuhusu mambo wanayoyafanya kuliko kuiambia serikali serikali itafanya nini? Tanzania haina Ila watu wake ndiyo wanadini.
@winnifridasimba7257
@winnifridasimba7257 Күн бұрын
Mungu akubariki sana Mch
@user-be2dm9zf9w
@user-be2dm9zf9w Күн бұрын
Amen, Mungu awabariki.
@YustongaoLosero
@YustongaoLosero Күн бұрын
Mungu atosha visaidizi vipotelee kwa waganga wa kienyeji
@JonathanMahela
@JonathanMahela Күн бұрын
Wivu unawasumbua.Umoja wenu hautoi. Viwango vya kwenda mbinguni Hubirini injili tu na sio kuwahubir watu.
@user-ic8od4el4c
@user-ic8od4el4c Күн бұрын
Wivu wa injili
@mwessamkala8051
@mwessamkala8051 Күн бұрын
Mmeshikwa pabaya hamuna inshu mungemuuliza yesu kwanini alitema mate na kufinyanga udongo na akamuponya bathromeo nyinyi hangaikeni tu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
Havifanani na Kuuza Visaidizi ,Yesu alifanya mara moja tu kuonyesha Anaweza kukitumiq chochote ,Na si kila Siku Yesu hakuvitumia wakati wote
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Күн бұрын
nafikiri wewe ni mtumia hivyo visaidizi
@alfrednyamnini7352
@alfrednyamnini7352 3 сағат бұрын
Wapi uliiona ESU alitema. Mate akatengeneza tope akamuuzia Yule kipofu?
@LeventinaNyamya
@LeventinaNyamya Күн бұрын
MUNGU awabariki sana wabeba maono wetu kwa tamko nzito hii ni sauti ya MUNGU kabisa
@mwessamkala8051
@mwessamkala8051 Күн бұрын
Hawa cpct bangi nyingi kwa kuwa mmezidiwa mbinu koo mumeamua kutoa sauti hakuna aliye kuja na imani amini unachokiaamini mandiko mmeyaona nia wapi neno kujirudia kwa visaidizi ka mfano nyakati za elia,na mengine
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Күн бұрын
@@mwessamkala8051 wambie wajinga hao Hana mbinu wanataka huruma ya serikali acha tuwanyooshe waumin wao wote wajinga hao na mahubili Yao ya kishamba
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Күн бұрын
@@mwessamkala8051 Tena mbichi bangi
@damasmkisi1835
@damasmkisi1835 Күн бұрын
🙏🙏🙏📌
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Күн бұрын
Acha ujinga wako ww na waliokutuma usome hujielewi hata usemaje Mwaposa baba yao fitina na chuki inawatesa nyie
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Күн бұрын
Kwa hiyo nyie mafuta na maji na chumvi ndio mnaona dhambi hamjielewi kabisaa