DAAAAAAH BEST SONG KWELIIIII ZINANIKUMBUSHA ENZI HIZO NATUMIKIA KANISANI 🤩🤩🤩🤩🤩
@MoureenMagret2 күн бұрын
Mimi kama mkatoliki najifunia kuwa mkatoliki milele na milele♥️💕❤️
@doriskimathi57923 күн бұрын
Nice melodies ❤❤🎉
@TeddyFelix-g3l3 күн бұрын
❤❤
@TheresiaMbiduka3 күн бұрын
Nina Kila sababu ya kushukuru MUNGU wangu ,hapa nilipofika si Kwa akili yangu ,Mimi na familia yangu tunakuabudu milele
@marianamichael54063 күн бұрын
Asante Mungu kwa neema na baraka zako unazonijalia siku zote za maisha yangu🙏🙏
@Josephinelatin3 күн бұрын
Asate sana mungu asindi kuwalinda pia awape nguvu muendee hivo msikate tamaa na msirundi nyuma
@vincentmboti4 күн бұрын
Asante.Wonderful catholic songs.
@michaelnzyoka87024 күн бұрын
Tumsifu Yesu Kristo. Mama Maria Asante
@leoncenduka77565 күн бұрын
Nyimbo nzuri inanifariji
@user-to3em8cl8i5 күн бұрын
Nyimbo za catholic Sina nibamba sana pia naipenda sana 🙏🙏
@MachupaJapheth6 күн бұрын
Melody nzuri jaman ZA katoliki
@RobertKisengewa6 күн бұрын
Safari sana, tunaendelea kumtukuza Mungu
@norbertjosephat78317 күн бұрын
Mbarikiwe sana kwa nyimbo hizi nzuri zenye tafakari ya kina
@AlfredWafula-id3oj7 күн бұрын
Good morning song like ❤
@EmmaKagesh7 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@evalynekibutit62677 күн бұрын
Asante Mungu kwa neema na baraka zote . Sifa na utukufu ni vyako.
@clarenaliaka75738 күн бұрын
Asante Mungu Baba kwa wema wako ulio nijalia manake kama siyo wewe sijuwi Mimi ningekuwa wapi asante 🙏 na Uhimidiwe milele yote 🙏🙏🙏
@ImaniKuu8 күн бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@user-tl9oz4se6w9 күн бұрын
Amen , Thanks God for your bless
@ImaniKuu8 күн бұрын
Amen. My the Almighty God bless you abundantly
@sophiahmayaka94549 күн бұрын
Mkatolik Daima na Daima Amina🙏🙏🙏🙏 Nice combination ❤🙏🙏.Nabarikiwa kutoka nchi za nje.Kingdom of Saudi Arabia 🙏🙏
@ImaniKuu8 күн бұрын
Asante sana. Mungu akubariki sana.
@josephmeinradhyera76729 күн бұрын
Hallelujah to Jesus forever
@ImaniKuu8 күн бұрын
Amen. My the Almighty God bless you abundantly
@josephmeinradhyera76729 күн бұрын
Hallelujah to Jesus forever 🙏
@ImaniKuu8 күн бұрын
Amen. My the Almighty God bless you abundantly
@avelinabaluhya28049 күн бұрын
Kwa wingi wa baraka alizonijalia Mungu sina lugha ya kutosha na kufaa kuweza kumshukuru 🙏
@ImaniKuu8 күн бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@IssaSalimu-pz5co10 күн бұрын
Amina kila ni sikia nyimbo za dini Nasikia kububujikwa machozi amina❤❤
@GabrielPeter-oy7oe11 күн бұрын
❤❤❤ god bless 🙏🙏
@LeahMahizi11 күн бұрын
Asante Sana Mungu wangu Kwa kunijaria watoto nakushukuru❤
@ImaniKuu8 күн бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@ALESIACHIJOKA11 күн бұрын
Hongera kwa nyimbo mzuri zinanifariji mno jamani nimefurahi sana ❤
@ImaniKuu11 күн бұрын
Asante sana kwa pongezi. Mungu akubariki sana.
@DativaMarandu12 күн бұрын
Hakika wewe nimwema nafadhili zako zadumu milele
@DativaMarandu12 күн бұрын
Mungu nimwema Kila wakati usgukuriwe mwenyezi mungu kunipa pumzi nyingine tena pokea sifa Mungu wangu mbingini
@AnjelaMkilindi12 күн бұрын
0:51 audio
@user-cz5qh2um4k13 күн бұрын
NINAKILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA YALE ALIYOTENDA KWANGU.
@ImaniKuu11 күн бұрын
Amina. Mungu akubariki sana.
@user-jf5cu2xb5w14 күн бұрын
Nimesoma comments nimegudua wengi wanakosea kuandika hili linanza na herufi kubwa Roho Mtakatifu ukiandika herufi ndogo umemaanisha kitu kingine jamani
@user-jf5cu2xb5w14 күн бұрын
Amina nimejezwa na Roho Mtakatifu
@josephlorri43114 күн бұрын
Hongera jimbo la Kigoma..nimependa ufundi wa kupiga ngoma.
@JustinaBukwimba-sc1vz14 күн бұрын
asante sana kwa nyimbo zuri zinafulahisha sana❤❤❤
@ImaniKuu11 күн бұрын
Asante sana kwa kushukuru. Mungu akubariki sana.
@muokiluvai983315 күн бұрын
Ain't liturgical
@BenitoKweya15 күн бұрын
Powaaa sana flash yake napata?
@lydia269615 күн бұрын
Asante kwa kutubarikisha na nyimbo nzuri
@ReubenAmos-v1x15 күн бұрын
Hongeraa sana kocha wetu kazi ni nzur mno mungu aendelee kukulinda