IBADA YA IJUMAA TAREHE 26-07-2024
1:01:26
7 сағат бұрын
MHESHIMU BABA YAKO
4:37
7 сағат бұрын
SONG: Yesu Na Kwabudu
4:13
7 сағат бұрын
Ujuzi Na Uzoefu Ni Zaidi Ya Unabii
2:33
7 сағат бұрын
SONG: Jina la Yesu
6:07
7 сағат бұрын
SONG: Nilianza na mungu
3:55
7 сағат бұрын
SONG: Amenibariki
4:59
7 сағат бұрын
Mungu Anampango Na Wewe
2:21
7 сағат бұрын
SONG: Yesu Yuko Hapa
2:10
7 сағат бұрын
SONG: Tuimbe tumepona
2:18
7 сағат бұрын
Mheshimu Aliekufundisha Maisha 2
1:06
7 сағат бұрын
Mheshimu Baba Mkwe
0:23
7 сағат бұрын
Wakati wa mungu hauwahi wala hauchelewi
4:28
Imani Ina Sura Zaidi Ya Tatu
6:15
SONG: MOYO
1:34
Күн бұрын
MIMI BILA YESU NI BURE
2:58
Күн бұрын
Heshimu Haki Za Wengine
4:01
14 күн бұрын
GOSPER MIX
1:03:59
14 күн бұрын
KISIMA CHA HEKIMAA
17:23
14 күн бұрын
kisima cha hekima
24:35
21 күн бұрын
Пікірлер
@meckraudndelwa-jv8co
@meckraudndelwa-jv8co Күн бұрын
@tenzichagaga
@tenzichagaga 2 күн бұрын
Nakuelewa sana bishop wewe ni kiongoz wangu
@NuruMintanga
@NuruMintanga 2 күн бұрын
Amina sana ahsante BABA 👏👏👏
@MTEULETVONLINE
@MTEULETVONLINE 3 күн бұрын
Ulifikiria nini ukawa unaimba pekee yako tu???
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 3 күн бұрын
Wewe Mzee wa upako vaa kanzu na kofia jeupe alafu ungana na wapinga Kristo wenzako waislamu 😢😢😢 nakusikitikia maana unapotea tu ukiona mzee Lusakelo
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 3 күн бұрын
Mzee wa upako wewe ndo haujui kabisa BIBILIA 😢, tubu na uwache chuki ya kuwachukia wazungu
@mosesmwatika5281a
@mosesmwatika5281a 3 күн бұрын
WEWE TAYARI UNAMKATAA MUNGU 😢 JE UTAENDA WAPI SIKU YAKO IKIJA FIKA MWISHOO😢
@fordmasnyenga_kiuyangulyri7409
@fordmasnyenga_kiuyangulyri7409 4 күн бұрын
Ni kweli mzee wa upako Yesu ni kristo
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 4 күн бұрын
Kama wayaudi walikwenda misri,huko misri siwalijaamiana na wenyeji kwa hiyo huko misri kuna wayaudi nikiwa na maana kwamba walichanganya damu siyo? Huko nyumba ulisema kwamba wayaudi Wana elimu kubwa na ujuzi pia,kwahiyo wamisri wamekuwa na ujuzi na maendeleo kwa sababu ya wayaudi?
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 4 күн бұрын
Kwanini misri ilitumika kama sehemu ya kutesa,kuelimisha viongozi na kama sehemu ambayoviongozi wengi walipatiwa uwezo huko?
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 4 күн бұрын
Kwanini misri ilitumika kama sehemu ya kutesa,kuelimisha viongozi na kama sehemu ambayoviongozi wengi walipatiwa uwezo huko?
@ClemenceMushi-d8x
@ClemenceMushi-d8x 4 күн бұрын
Mimi nauliza kwanini Israeli inatumika sana kuelimisha dunia? Sasa kiulemeshaji Israeli ndo 'kinanani Sasa?
@TarqAzizi
@TarqAzizi 5 күн бұрын
Una erim kumzid yey
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 5 күн бұрын
Mimi muislam mafundisho ya mzee wa upako na askofu Hananja nawapenda sana na mafundisho Yao Hawa watu wanajua Bibilia vizur sana pia Wana hekma mkubwa.
@PaulNgalomba
@PaulNgalomba 6 күн бұрын
AMEEEN BABA
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 6 күн бұрын
2 Wakorintho 6:14-18 14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? 15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? 16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. 17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. 18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 6 күн бұрын
Yohana 17:3-12 3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. 4 Mimi nimekutukuza duniani, hali nimeimaliza kazi ile uliyonipa niifanye. 5 Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako. 6 Jina lako nimewadhihirishia watu wale ulionipa katika ulimwengu; walikuwa wako, ukanipa mimi, na neno lako wamelishika. 7 Sasa wamejua ya kuwa yote uliyonipa yatoka kwako. 8 Kwa kuwa maneno uliyonipa nimewapa wao; nao wakayapokea, wakajua hakika ya kuwa nalitoka kwako, wakasadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. 9 Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako; 10 na wote walio wangu ni wako, na walio wako ni wangu; nami nimetukuzwa ndani yao. 11 Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo. 12 Nilipokuwapo pamoja nao, mimi naliwalinda kwa jina lako ulilonipa, nikawatunza; wala hapana mmojawapo wao aliyepotea, ila yule mwana wa upotevu, ili andiko litimie.
@MassaweHamisi
@MassaweHamisi 6 күн бұрын
MUNGU ni WA watu wote Hana ubaguzi na ameweka tofauti kati ya tajiri na maskini Ili upendo udhihirishwe kati ya wanadamu Tudumu imara katika IMANI.
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 6 күн бұрын
Yesu ndiye njia kweli na uzima, mtu haendi kwa Mungu bila kupitia kwa Yesu, so Imani ya wakristo imejengwa kwenye msingi mwamba Yesu, mtu asipojenga juu ya mwamba uchukuliwa na kila aina ya elimu
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 6 күн бұрын
Wagalatia 5:19-21 19 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, 20 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, 21 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
@ErnestLule-z7t
@ErnestLule-z7t 6 күн бұрын
1 Timotheo 3:16 Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu. Mungu alidhihirishwa katika mwili, Akajulika kuwa na haki katika roho, Akaonekana na malaika, Akahubiriwa katika mataifa, Akaaminiwa katika ulimwengu, Akachukuliwa juu katika utukufu.
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 7 күн бұрын
Anapingana na Mungu
@mbejmukadi3890
@mbejmukadi3890 7 күн бұрын
To begin the topic is not proper , its like you are saying the mango tree is not a mango while mango has a mango tree seed within it , let us preach what is important
@stevenialbert5033
@stevenialbert5033 7 күн бұрын
Pepo huyu anatimiza mandko kwel biblia n kitabu cha kwl
@user-gx3jp6uk2f
@user-gx3jp6uk2f 7 күн бұрын
Wakati wa Yesu hapakuwa na misikiti. Yesu hakuingia msikitini. Uislamu ulikuja miaka 600 baadaye
@EliazariFrank
@EliazariFrank 7 күн бұрын
Uko vizr na unaijua biblia
@eunicekiilu7485
@eunicekiilu7485 9 күн бұрын
Baba muombee nabii Dominick kanisa lifunguliwe😭😭😭😭🙆🙆🙆🙆
@MaombiIshmaeli
@MaombiIshmaeli 10 күн бұрын
Jaman msitow sadaka mtajiunganisha na namiugu
@NgebaSumahili
@NgebaSumahili 10 күн бұрын
Mbona ampigi makofi tena
@user-gr8sh5hl1m
@user-gr8sh5hl1m 10 күн бұрын
Watu wangu wamekua kondoo waliopotea wana wachungaji wao wamewapoteza
@godlovemalekela17
@godlovemalekela17 10 күн бұрын
YESU Ni MUNGU
@PaulNgalomba
@PaulNgalomba 11 күн бұрын
AMEEEN BABA
@judithkinyoni3893
@judithkinyoni3893 12 күн бұрын
Mungu akutunze baba
@lukafbbwebelof3874
@lukafbbwebelof3874 12 күн бұрын
Uwongo mtupu 😂😂
@gerkombo6512
@gerkombo6512 12 күн бұрын
Kwa kweli sisi hatuna la kusema zaidi tushikeni jembe tukalime. Well said
@BenjaminKabebo
@BenjaminKabebo 12 күн бұрын
Hata shetani alikuwa mbinguni na hakumjua Yesu ni nani . Kwa kweli pole sana. Mi nakushangaa sana tena sana. Huwa najiuliza tangu miaka ya 80 mpaka leo huna makanisa mangapi Tanzania uo upako wa mtu mmoja kwa nini usisambae nchi nzima? Kumbukumbu la Torati 8:10-11 [10]Nawe utakula ushibe, utamshukuru BWANA, Mungu wako, kwa nchi nzuri aliyokupa. [11]Jihadhari, usije ukamsahau BWANA
@lilyg2134
@lilyg2134 12 күн бұрын
MPINGA KRISTO HUYU
@user-fq1pl7nt1s
@user-fq1pl7nt1s 13 күн бұрын
Amen
@Jenestabenedkitor
@Jenestabenedkitor 15 күн бұрын
naitwa mosses bingileki niko bukoba kagera mzee nakukubali sana waambiee hao matapeli mungu akupe maisha malefu katkika jina la yesu kristo mwana wa mungu aliye ahi
@JoshuaMutesa
@JoshuaMutesa 15 күн бұрын
Mzee huyu tuwe nae Makin Sana
@AnthonyKiwango
@AnthonyKiwango 15 күн бұрын
SO YUKO MUNGU NA PIA YUKO YESU MWANA WA BABA
@AnthonyKiwango
@AnthonyKiwango 15 күн бұрын
YESU NI MUNGU KWA SABABU AMETOKA KWA MUNGU ILA KWA ASILI YESU NI MWANA MZALIWA PEKEE WA MUNGU NI SAWA NA MTU ALIYEZALIWA NA MTU SI MTU: ILA MUNGU AMBAYE NI MMOJA MWENYE NAFSI MOJA NI BABA(YEHOVA)
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x 15 күн бұрын
Huyu Mzee anaongea ukweli ndiyomaana wengi hawamkubali
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 15 күн бұрын
Uko sahihi Sana mzee
@ndolepeter2770
@ndolepeter2770 16 күн бұрын
mhh achen utapeli jaman mnawakamua waumin hadi basi kuen na huruma.
@AziziPonera
@AziziPonera 16 күн бұрын
Karibu kwenye dini ya kweli Uislam ndio dini ya Allah
@ErastoNzibonera
@ErastoNzibonera 16 күн бұрын
Nimekuelewa
@gdswai4479
@gdswai4479 17 күн бұрын
NIWASAIDIE MUSLIM'S ZINGATIENI HILI :- BIBLE HAIKUTOKANA NA HADITH NA HATUSOMI KWA UWEZO WA AKILI AU ELIMU YA DARASANI. INAITAJI KWANZA UWE NA [ROHO MTAKATIFU ] NDIPO UELEWE NENO LA MUNGU SO HAKUNA MTU ANAYESEMA AMWAMINI YESU KRISTO NA KUSEMA KUWA ANAHOJA ZA KUPINGA UKRISTO IMPOSSIBLE. WATU WA DINI ISIYO YA KRISTO LAZIMA KUNYAMAZA KIMYA KABISAA --- KWASABABU HAMNA NGUVU YAKULIJUA NENO. Ukitaka kupata hii nguvu lazima. UZALIWE MARA YA PILI(KUOKOKA) = KUZALIWA KATIKA NENO NA KUZALIWA KATIKA ROHO WA KRISTO. UKIFANYA HIVI UTAKUWA NA LEGITIMACY YAKULISEMA NENO NA KUWASAIDIA WATU. NB :_ BIBLE IS NOT A STORY BOOK that anyone can read and speak you must have sufficient power of the spirit of Jesus christ then you can talk.
@gdswai4479
@gdswai4479 17 күн бұрын
Kama una roho mtakatifu utaweza kujua kuwa jina la Yesu ni (Kristo Yesu or YESU KRISTO) Hivi ndivyo ukamilifu wa jina Hilo ikimaanisha kuwa Jina Yesu = ni mwili alioupata kutoka kwa Mariamu ambao ndio ulimpa kristo uwezo na uwalali wakufanya kazi duniani na ndio uliotumika kumshinda Dunia na mambo dhambi zake. Kristo ni roho iliyotoka kwa BABA NA YANI NAFSI YA MWANA. Ambapo hii nafsi inayoitwa Kristo sasa ndio iliyokuwa ikitenda kazi ndani ya mwili unaoitwa Yesu. Sasa. NB: kwakuwa ni nafsi ya MUNGU (Kristo) iliyokuwa inatenda KAZI ndani ya mwili unaoitwa (Yesu) sasa YESU KRISTO NI MUNGU. UKISOMA BIBLE NAYO INASEMA WAZI HAPA 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; Tito 2:13
@gdswai4479
@gdswai4479 17 күн бұрын
Ukileta hoja yoyote inayomhusu Yesu kristo lazima huwe na ushahidi kamili wa kwenye Bible sio kusema vile unavyowaza hiyo nimbaya na upotoshaji wa Neno la Mungu. ANGALIA = 13 tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu; (Tito 2:13)
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 17 күн бұрын
Hapa hakuna kushinda maana yeye mwenyewe ameshashindwa, ukimkana Yesu kuwa si mwana wa Mungu maana yake mahubiri yako yoote ni bure. 😢😢 Kweli nyakati za mwisho kuna mambo. Ila hili ni fundisho kwa waumini wake , wanatakiwa kuchukua hatua maana kiongozi wao anahubiri mafundisho ya uongo je wameshadanganywa kwa kiasi gani? Pole wenye imani haba mliacha makanisa yenu mkaja kwa mfilisti huyu sasa ameanza kujiweka wazi kwamba hana upako zaidi ya ulevi na kuwarubuni achukue pesa zenu kama sadaka tu. Bado mapema amueni kabla mlango haujafungwa mtaangamia pamoja nae.😅😅😅