MIKONO JUU (  Official video  ).
3:43
21 күн бұрын
MWAMI APIGWA COUP D'ETAT.
12:06
TATIZO MAJI  MOVIE
1:03
Ай бұрын
KALEMBELEMBE TEAM.
17:45
2 ай бұрын
PASTOR MAENDA apandishwa cheo.
9:37
Пікірлер
@FideleAmuri
@FideleAmuri 4 сағат бұрын
Uwe unataja kijiji na cl yake
@william.GMJ3887
@william.GMJ3887 6 күн бұрын
Cool
@william.GMJ3887
@william.GMJ3887 6 күн бұрын
😢shida sana kbs
@asesemsango3600
@asesemsango3600 6 күн бұрын
Fizi yetu
@MoreOmari-sk9mc
@MoreOmari-sk9mc 6 күн бұрын
Shida sana fizi
@YusufuEnzo
@YusufuEnzo 7 күн бұрын
Taifa fc
@50092
@50092 8 күн бұрын
Hìka
@50092
@50092 8 күн бұрын
Fire
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 12 күн бұрын
Wewe mtangazaji wewe ni chai sana unashindwa kusema kama huko Sekta gani Bibokobo ahu mtambala ahungandja sasa atukuelewi wewe ahuwezi utangazi
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 11 күн бұрын
Nimekujuwa. Jina unalotumia ?????? Nimetambuwa aliye comment ninani. Wewe sema utakalo tu.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 14 күн бұрын
chanal yetu inatembelea vijiji mbali mbali tarafani fizi ukihitaji uone kwenu kwa asili, manyumba ulio jengesha,mashamba,nakazalika utayaona.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 14 күн бұрын
na wewe ulie namoyo waku saidia matatizo ya kwenu tuma mzigo wako ataikiwa niwembe utahiona nakusema fulani ndio ametuma.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 14 күн бұрын
Asante sana watazamaji wetu wa M'munga ML TV .tuna wasalimu wote. tuna hitaji sapoti yenu ilituboreshe chanal yetu.hapo akuna uongo niutahalamu.
@william.GMJ3887
@william.GMJ3887 15 күн бұрын
Wavuvi poleni sana
@user-fk7rt6rz4i
@user-fk7rt6rz4i 15 күн бұрын
Mimi nawapenda lakini mkianza uongo uongo hivyo eti studio yenu iko hivyo, Mimi niliguswa na video yenu ile ya shule ambayo Haina paa ya juu, hivyo nilitaka kuamisisha watu huku USA tufanye angalau tunachoweza ili angalau tupate bandari kazaa za mabati ili watoto wasome mahali salama ila nimegundua nyie ni waongo waongo tu
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 14 күн бұрын
Asante sana mtazamaji wetu kwaku fatilia Channel yetu M'munga ML TV swahili. kama unania yakusaidia kwenye shule au cho chote.kutoka kwetu fizi kitafika bilashida.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 14 күн бұрын
yote utakayo ya hona nikweli tuko Congo ubembe fizi kazimia atuta kuonyesha hata sikumoja kitu cha uongo.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 14 күн бұрын
na ukituma atawembe Yako kwenye ML TV tutakuonyesha naku sema fulani ndio ametuma.iyo nimambo ya utahalmu baba hamasisha ndugu zetu wasaidie walio manyumbani. sapoti Yako itatusogeza mbele asante. Mtangazaji wako shabaley.
@user-fk7rt6rz4i
@user-fk7rt6rz4i 15 күн бұрын
Acheni ku edit studio za uongo , fanyeni vitu vya uhalisia huko mlipo hamna jengo lipo hivyo
@MmungaMLTV
@MmungaMLTV 14 күн бұрын
Studio 🎙 haina tatitzo yoyote,na haiwezi zuhiya mtu kufanya anachotaka kufanya. Kwahiyo kile ambacho unataka ukione utaonyeshwa nakile kinacho hitaji studio 🎙 yetu kitafanyika ndani ya studio kama unavyo hiyona hapo. Hata zile studio za PRESSE zingine zote wana editi,usifikiri unavyo ziona ndivyo zilivyo hapana. Wewe tekeleza kile unacho fikiria kusaidia ndugu zako. Asante sana kwa moyo mwema wakufikiria jamii yako studio isiwe kizuhizi cha kukuzuhiya hapana. Asante sana nduguyangu na MUNGU akubariki.
@KWAYATV
@KWAYATV 16 күн бұрын
Pole sana kwa wavuvi kuhuziwa vyeti bandiya,
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 16 күн бұрын
Pole sana kwa huo utapeli wa vitambulisho vyauongo na ninafikiria siyo hiyo service tu
@melchiadehishakiye8639
@melchiadehishakiye8639 17 күн бұрын
Jamani naona mambo siyo Sawa hapo zaleka .nawapa msg wa Burundi warudi kwao Burundi mambo ni fresh kabisa
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 17 күн бұрын
Asante sana watazamaji wetu kwaku fatilia chaneli yetu.msaada wako unahitajika kwakusogeza kazimbele. pia weye mkongomani mwenye uchungu saidia ulicho nacho.
@WillyDieudonne-ze9lv
@WillyDieudonne-ze9lv 18 күн бұрын
Vraiment nakumbuka apo kabisa njo niliko someya mimi apo en sixième année des humanités
@MwajumaTanganyika
@MwajumaTanganyika 18 күн бұрын
Pole sana. Serekali isaidie kabisa.
@CONGOINTHEPICTURE
@CONGOINTHEPICTURE 18 күн бұрын
Wapandishe kidogo niveau ya budongo
@user-it5gj7ls8t
@user-it5gj7ls8t 18 күн бұрын
2.uchawi na wivu atuwezi kuendelea kwasababu ya uchawi uliko ndani ya wa bembe akili zetu zipo apo kuhuwana sana .........
@user-it5gj7ls8t
@user-it5gj7ls8t 18 күн бұрын
Was bombe tunashindwa kupendeza kwasababu 1,unzurumati wa pesa wa ndungu Walioko Africa 🌍
@rexricardo573
@rexricardo573 18 күн бұрын
Hiyo Ecole ya Institut Masisa hipo wapi, yaani location yake, mtu anaweza hitafutiya wapi?
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb 17 күн бұрын
kazimia kutoka kanisa katolika kuna Barabara yakushuka site malkia unaikuta hapo.asante.
@musafiriassuman3911
@musafiriassuman3911 18 күн бұрын
Poleni sana
@TangacaVrainzoto
@TangacaVrainzoto 18 күн бұрын
shule kama hii nisawa kabisa
@musafiriassuman3911
@musafiriassuman3911 19 күн бұрын
Tuko pamoja
@CONGOINTHEPICTURE
@CONGOINTHEPICTURE 19 күн бұрын
Wabembe wengi wanafika Marekani walishawekwa akili za ukimbizi. Na wengi wao hawana ujuzi katika maswala ya maendeleo. Utakutana Mubembe anashahuku ya kuendelesha kwao Fizi ila Hana ule ujuzi wa kujuwa namna Gani kuendelesha Fizi. Wabembe wainje ya Fizi wanahitaji kufunzwa zaidi na kutowa zile akili Zaki kimbizi na kujiweka akili za maendeleo
@AbediAmuriPastor-sp2us
@AbediAmuriPastor-sp2us 19 күн бұрын
🤝🤝🤝🤝
@MwajumaTanganyika
@MwajumaTanganyika 19 күн бұрын
Uko sahii kaka wagu.
@kingblack567
@kingblack567 19 күн бұрын
⌚️⌚️
@SuleimanRaymond
@SuleimanRaymond 26 күн бұрын
Saut ya maroc n1 hyo t
@KWAYATV
@KWAYATV 26 күн бұрын
Nice.
@user-ii1ym5fe7j
@user-ii1ym5fe7j 27 күн бұрын
Napaona kbs
@william.GMJ3887
@william.GMJ3887 27 күн бұрын
Poa❤
@KWAYATV
@KWAYATV 29 күн бұрын
Nice.
@Chrisbanzaking-on1cl
@Chrisbanzaking-on1cl Ай бұрын
Beautiful place
@william.GMJ3887
@william.GMJ3887 Ай бұрын
❤kazi nzuri kbs ,tunasubiri full movie
@zalingajoseph9926
@zalingajoseph9926 Ай бұрын
This is nice
@EmmanuelBunoga
@EmmanuelBunoga Ай бұрын
Bnjr chers collègues. Merci pour le travail dur que vous fête. Alors essayer un peu lors d'entretien débat d'augmenter l'espace entre vous et votre visiteur ou inviter.
@CONGOINTHEPICTURE
@CONGOINTHEPICTURE Ай бұрын
Niko intéressé na maendeleo ya Kazimiya
@AmisiHassaniTygo
@AmisiHassaniTygo Ай бұрын
Sakata linaendelea, mwakole
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Pole sana.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Hongreni sana vijana.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Pole sana.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Port nzuri sana hiyo.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Mungu asaidiye kazi ziende vizuri.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Poleni sana kwa soko kutekwa naziwa Tanganyika.
@Shabaleyfb
@Shabaleyfb Ай бұрын
Asante sana MMUNGA ML TV kwakutujuza yanayo jiri ulimwenguni.