E - HABARI  JULY 29 2024
26:43
2 сағат бұрын
E - HABARI JULY 24 2024
22:47
14 сағат бұрын
E - HABARI JULY 20 2024
28:41
Күн бұрын
E - HABARI  JULY 18 2024
29:56
Күн бұрын
E - HABARI  JULY 17 2024
40:39
Күн бұрын
E - HABARI JULY 15 2024 -B
8:19
14 күн бұрын
E - HABARI JULY 15 2024 - A
25:47
14 күн бұрын
E - HABARI JULY 14 2024
26:53
14 күн бұрын
E   HABARI JULY 13 2024
37:20
14 күн бұрын
E   HABARI JULY 11 2024
29:48
14 күн бұрын
E - HABARI JULY 08 - B
10:34
21 күн бұрын
E - HABARI JULY 08 2024 - A
23:55
21 күн бұрын
E - HABARI  JULY 06 2024
36:02
21 күн бұрын
E - HABARI  JULY 05 2024
22:28
21 күн бұрын
E - HABARI  JULY 04 2024
27:47
21 күн бұрын
E   HABARI BIASHARA JULY 03 2024
8:56
21 күн бұрын
Пікірлер
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 2 сағат бұрын
Duuh wanawake tuwe na subra yaani mtu kakuomba number ushaanza duuh kasimu kazini kwake Kuna kazi kwa kweli
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d 6 сағат бұрын
Sifa na Utukufu ni Kwake Mwenyezi Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi kwa Zawadi Aliyo Itoa Kwa Family ya Mzazi wake Baba Elibaliki kwa Kuwaandalia Mkombozi kwa Maana ya Mtoto wa Hiyali❤
@HasheemRashid-b1h
@HasheemRashid-b1h 6 сағат бұрын
Naitwa Hashim au baba j4 kutoka mwanza sub zero anajua Sana mwambie akaze buti
@HasheemRashid-b1h
@HasheemRashid-b1h 6 сағат бұрын
Naitwa Hashim au baba j4 kutoka mwanza sub zero anajua Sana mwambie akaze buti
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 10 сағат бұрын
Amen akutunze nawe pia
@khorima
@khorima 10 сағат бұрын
Duh, very nice love story. Safi sana.
@fora2009
@fora2009 10 сағат бұрын
Kassim nakuhita mara tatu
@nebartnyika6135
@nebartnyika6135 11 сағат бұрын
Daaah, kassimu weeeh, nd tayari hvyoooo....😢
@naomicharles5444
@naomicharles5444 11 сағат бұрын
Akunaga mkate mgumu kwa chai mwee😅
@janemalongo5417
@janemalongo5417 12 сағат бұрын
Ooh🎉
@ELIAMICHAEL46
@ELIAMICHAEL46 12 сағат бұрын
Good
@gracesuguta
@gracesuguta 12 сағат бұрын
Kasim kwisha habari yake,keshanaswa😢
@user-no4rf5tu3h
@user-no4rf5tu3h 10 сағат бұрын
Yaan me mpaka nimeumia huwenda huyo dada sio mtu mzur ila wacha tuendelee kusikiliza movie inavyokwenda
@JoyceCharles-cs3fu
@JoyceCharles-cs3fu 13 сағат бұрын
Simulizi
@SalumSika-u1p
@SalumSika-u1p 13 сағат бұрын
Mmh uparahuo niwampoki au
@ashelizakaria6306
@ashelizakaria6306 16 сағат бұрын
Sema dunia hii inauchawi wa aina aina huo uchawi ulikuwa Mkubwa sana kwaiyo kuuodoa inatakiwa nguvu ya mungu iliyoimara
@frankmanirambona6628
@frankmanirambona6628 16 сағат бұрын
Jonijo na Almando watu wamana sna music was bongo mutafany wasani wafany kazi Zakwenda
@kemiivani2353
@kemiivani2353 20 сағат бұрын
nakusikiliza da Vero nikiwa Oman 😊
@dearmama4336
@dearmama4336 14 сағат бұрын
Mi pia
@dominicaloyce8327
@dominicaloyce8327 20 сағат бұрын
Its real classic 🎉
@aishatest4451
@aishatest4451 21 сағат бұрын
safi dada Asante
@frankmanirambona6628
@frankmanirambona6628 21 сағат бұрын
Nawapemdag sna Transform 4 life life konde music 🎶 worldwide
@user-pk2du8uj5q
@user-pk2du8uj5q 21 сағат бұрын
Agnolo big up
@DottoDotto-s4n
@DottoDotto-s4n 22 сағат бұрын
Doto Kiki wasalasala efm mnatisha sana
@HamidaZimbwe
@HamidaZimbwe 22 сағат бұрын
Nikiwa na raisi wa kunduchi pwani yahaya kiega tunasikiliza sports hq tukiwa soko la samaki kunduchi pwani sauti ipo juuu ya redio
@livinkalistndege1135
@livinkalistndege1135 23 сағат бұрын
Wa kilema pofo, Kilimanjaro, Tuko pamoja
@cocotz1892
@cocotz1892 23 сағат бұрын
Veronica simulizi channel mpya ya kwake tumsapot dada yetu
@johnbenben
@johnbenben Күн бұрын
Velo jambo simulizi ya hamza imeishaje
@complex7582
@complex7582 17 сағат бұрын
Mama white alivyo kufa na nyumba ilivyopata mteja
@adamumshely
@adamumshely Күн бұрын
Kwa upande wangu mimi midahalo haisaidii kwani uongozi si kuongea tuu uongozi ni matendo mahusiano na jamii iliyokuzunguka pia kujitoa na kuwajibika swala la kuongea wapo watu wanajua kuongea ila ukiwapeleka kwenye vitengo sifuri na kuna mtu kuongea hajui ila ní mchakazi mazuri tuu kwangu mimi kiongozi si mpimi kwa kuongea kwake mimi nitampima kwa utendaji wake wa kazi...na kiongozi anaanzia nyumbani
@jacklinechuga2569
@jacklinechuga2569 Күн бұрын
Atapigwa kitu kizito uyu maisha nayo ayataki ujuwaji sana😂😂
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 Күн бұрын
Malaika huyo katumwa na Mungu 😅
@ataamansi8941
@ataamansi8941 Күн бұрын
😁😃😁😜 nimeoa jamani nimeona Veronica Frank alipoiangalia 🍰 ilipoletwa alimeza mate jamani, hata mie nimemeza jamani 😜😁🤣🤣
@user-gb2zy1ym8x
@user-gb2zy1ym8x Күн бұрын
Da V umewaka
@fora2009
@fora2009 Күн бұрын
Mmh mbona hatuja maliza
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi Күн бұрын
Amemaliza sema ya mwisho aliiandika Hasan badala ya Hamza
@naomicharles5444
@naomicharles5444 Күн бұрын
Awa watu.kama Kasium n wakuwapiga vipapai😂😂😂
@jacklinechuga2569
@jacklinechuga2569 Күн бұрын
Kabisa kama mm sipendi wajuwaji sana na watu wenye viherehere maisha ayataki hasira😅😅
@user-uu6ei1ys3k
@user-uu6ei1ys3k Күн бұрын
IMEAZA VINZURIIII ILA ITAISHA VIBAYAAA💔💔💔💔💔
@claramboya2018
@claramboya2018 Күн бұрын
😂😂😂😂😊
@ZenaTz-b2o
@ZenaTz-b2o Күн бұрын
Nawakubali sana wanangu wa genge mnaliwasha vizuri Sana na misso Dickson Niko mbwen dar es salaam tanzania
@daudm1558
@daudm1558 Күн бұрын
Imeanza na msisimko hii simulizi da Vero
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Күн бұрын
Mh Paul C Makonda, yuko wapi?
@latifasemindu5538
@latifasemindu5538 Күн бұрын
😊
@simonbanks6315
@simonbanks6315 17 сағат бұрын
@@latifasemindu5538 mbona hii simlizi ya kasim.hatuoni mwendelezo wake hapa ni mombasa kenya
@IbrahimMohamed-eq4ek
@IbrahimMohamed-eq4ek Күн бұрын
💯💯💯💯💯💯💯💯
@zennasuddi1254
@zennasuddi1254 Күн бұрын
🤑🤑🤑
@TumainiNdumbalo
@TumainiNdumbalo Күн бұрын
Tishasana
@janemalongo5417
@janemalongo5417 Күн бұрын
🎉
@janemalongo5417
@janemalongo5417 Күн бұрын
No.1🎉
@user-so9wh1lu8x
@user-so9wh1lu8x Күн бұрын
Tupo pamoja ❤ jr
@MariamMsuya-n6y
@MariamMsuya-n6y Күн бұрын
Dada Vero jaman mbna mkasa wa kijana (nmemsahau jina)na mama white umeishaje Sasa kwasabab mwisho tulisikia mama white kafarik
@NicholausMjema
@NicholausMjema Күн бұрын
dada vero love u so much story hizi za real life zinafundisha sana na sauti yako dada vero na muonekano wako ni tofauti sana
@RaymondMaliwanga
@RaymondMaliwanga Күн бұрын
NIMECHEKA SANA DADA VERO
@dafamanula-qi5zl
@dafamanula-qi5zl Күн бұрын
Emf mbona kwenye radio huku morgoro haishiki?
@gracelouis358
@gracelouis358 Күн бұрын
Team ya Tanzania wa kumi waliokuwa pale ni swimming Sophia, Collins na Coach wao Alex Mwaipas, Mshiriki wa Judo na trainer wake, Daktari wa team na Wazazi wa Collin na Sophia
@user-fb7tv1xw9q
@user-fb7tv1xw9q Күн бұрын
Yanga ya moto sana. msim huuu hadi fainali ya ligi ya mabingwa