Пікірлер
@leoncealex7343
@leoncealex7343 3 күн бұрын
Hii video kidogo niache kuingalia lakini umenifundisha vizuri nimekuelewa vizuri
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 3 күн бұрын
Ahsante sana @leoncealex kwa kusikiliza na zaidi zaidi kwa kutupatia mrejesho. Bless you greatly!!
@ivomatee9966
@ivomatee9966 4 күн бұрын
Very interesting session, swali langu ni taratibu zipi zakufanya ilikuwa sehemu ya block trade katika soko la hisa DSE?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 4 күн бұрын
Inaweza ikatokea kuna mteja anataka kununua kiasi kikubwa sana cha idadi ya hisa, ama kuna kikundi cha watu wanataka kununua kwa pamoja. Katika case hii, inaitwa block trade na huwa na faida ya kuwa na nafasi ya 'negotiation' kwenye bei ya hisa.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 4 күн бұрын
Ili kupata specific ni kwa ukubwa gani, nitaforward hili swali kwa Mr. Ammi na Mr. Fortius.
@ivomatee9966
@ivomatee9966 4 күн бұрын
@@mindsettinginitiative Nilitaka kufahamu kiwango cha chini cha kushiriki block trade
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 4 күн бұрын
Asante sana mnasimu ya whatapp nataka kunuanua bond niko nje nchi nitashukuru
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 4 күн бұрын
Haya ni mawasiliano ya Ammi. Unaweza. Check nae. +255 747 138 101
@ericbalige1781
@ericbalige1781 4 күн бұрын
Asante sana kaka Ezekiel na Orbit securities kwa kipindi kizuri sana,huwa siwezi kulala siku Ijumaa bila kuangalia hii program. Napenda pia kumkumbusha kaka Ammi kuhusu Afriprise idadi ya share ili double baada ya ile rights issue,kwa hiyo ile hesabu ya price to book value ajaribu kuipitia tena
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 4 күн бұрын
Shukrani sana Mr. Eric. Hii ni insight moja muhimu sana.
@LucyStephano-d3l
@LucyStephano-d3l 4 күн бұрын
yangu pia haifunguki
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 4 күн бұрын
Nini haifunguki?
@LucyStephano-d3l
@LucyStephano-d3l 4 күн бұрын
jana acc imefunguka asante
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 8 күн бұрын
Nnajiungaje na group?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 7 күн бұрын
chat.whatsapp.com/EZ8nzHS7BXV1pBCBO4uAww
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 7 күн бұрын
Tumia link hiyo hapo juu kiongozi
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 7 күн бұрын
@@mindsettinginitiative Asante brother
@AZAM_MEDIA
@AZAM_MEDIA 8 күн бұрын
Keep pushing great content brother 👍🏽
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 7 күн бұрын
Shukrani sana nkuu kwa kufuatilia na kunipa moyo.
@echohelpfoundation
@echohelpfoundation 8 күн бұрын
Hongera na Asante kwa kazi nzuri Kaka ya Kutuelimisha. Kwa kuongezea kidogo katika Swali la Mfuko Gani Awekeze ili aweze kupata gawio, Mfuko Mwingine unaotoa Gawio ni Mfuko wa Hati Fungani (Bond Fund). Huu Unatoa Gawio kwa Kila Mwezi kwa Mwekezaji ambaye ameshaweka kufikia Kiasi cha Milioni 10 na kuendelea. Pia Unatoa Gawio kwa Kila Baada ya Miezi 6 kwa Mwekezaji ambaye amefikisha kiasi cha Sh. Milioni 5. Ila, ni unatakiwa uwajulishe lengo hilo kwa njia ya barua au simu.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 8 күн бұрын
Ahsante sana kwa kujazia. Point muhimu sana. Tuendelee kuelimisha na kuelimishana. Hivi ndivyo ambavyo tutavuka
@echohelpfoundation
@echohelpfoundation 8 күн бұрын
@@mindsettinginitiative Ni kweli Kaka.
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 10 күн бұрын
Sorry unaweza ni link na ammi
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 10 күн бұрын
Inawezekana kabisa kiongozi. Mcheki kwa namba hii: +255 747 138 101
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 10 күн бұрын
@@mindsettinginitiative Asante sana,chief ngoja nimcheck japo sijui kama kisharudi Nchi
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 10 күн бұрын
@@sindabahabwoyaanacret660 sawa sawa. Kila la kheri
@sindabahabwoyaanacret660
@sindabahabwoyaanacret660 11 күн бұрын
I'm your funs
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 11 күн бұрын
Nashukuru sana! 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gastoronesphorytarimo9763
@gastoronesphorytarimo9763 13 күн бұрын
Kaka Bado nimekwama, labda kama Kuna njia nyingine ya kunitumia
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 13 күн бұрын
Pole sana. Nitumie email address yako (WhatsApp): +358 417578763
@gastoronesphorytarimo9763
@gastoronesphorytarimo9763 14 күн бұрын
Usisahau kutuma link kaka
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 14 күн бұрын
Ahsante kwa kunikumbusha. Natuma sasa hivi.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 14 күн бұрын
forms.gle/EVbVXmfZRkwMrduVA
@gastoronesphorytarimo9763
@gastoronesphorytarimo9763 14 күн бұрын
​@@mindsettinginitiative Bado napata shida, nimejitahidi mara nyingi bila mafanikio
@judithsawala
@judithsawala 16 күн бұрын
Naomba kujua endapo nimenunua vipande kwa miezi miwili, nitajuaje thamani ya vipande vyangu kwa miezi hii miwili.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 16 күн бұрын
Thamani za vipande kwa mifuko yote huwekwa kwenye website ya UTT Amis, kwenye tablet inaitwa Ufanisi wa mifuko. Ili kupata hizo taarifa za ufanisi angalia hii video tena kuanzia dakika ya 10.
@user-jf7ys7rw1m
@user-jf7ys7rw1m 16 күн бұрын
Iam intrested,but how
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 16 күн бұрын
Thank you so much. I will get in touch🙏🙏
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj 16 күн бұрын
Wow, bro. Imenigusa.....
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 16 күн бұрын
Ahsante sana brother!
@ericbalige1781
@ericbalige1781 18 күн бұрын
asante sana Ammi kwa insights kuhusu nala na amsons. Ningeomba pia utupe madini kuhusu Selcom amboyo iko dse kwenye Endeleza program, hivi karibuni ili acquires access microfinance.Vipi kunaweza kuwa na listing ya hawa jamaa karibuni
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 18 күн бұрын
Ahsante sana Mr. Eric. Nitaforward hili swali kwa Mr. Ammi. Anaweza akajibu hapa ama tukarejea kwenye session ijayo. Endelea kuweka maswali zaidi.
@SAMISAI.
@SAMISAI. 18 күн бұрын
Thanks for this information
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 18 күн бұрын
Ahsante sana kwa kufuatilia na kwa mrejesho
@SAMISAI.
@SAMISAI. 18 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥💯
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 18 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@user-we9ut9ih6m
@user-we9ut9ih6m 19 күн бұрын
Kwanini wachina wana new year yao?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 19 күн бұрын
Nimesikia kumekuwa na kalenda tofauti za mwaka toka muda hadi muda. Hii kalenda ya sasa inayotumika na wengi imeonekana kuwa na dosari fulani. Wao wachina wanatumia kalenda ya tofauti na ile ambayo imekubalika na wengi.
@user-we9ut9ih6m
@user-we9ut9ih6m 19 күн бұрын
Hayo ni masaa yetu ya kiswahili, saa moja inaanza hasubui, na kuna saa moja usiku... my mimi mama yangu saa yake amei set kwa kiswahili
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 19 күн бұрын
Ni kweli siku inaanza asubuhi, lakini kwa nini ukiambiwa useme hiyo saa moja asubuhi kwa kiingereza utasema 7am, badala ya 1am?
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 24 күн бұрын
Mbona mm leo account yangu haifunguk 😢
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 23 күн бұрын
Aisee pole sana. Hakikisha vizuri particulars zako. Ikiwa ziko sahihi, fanya kujaribu tena baadae ama kesho. Ikishindikana kabisa basi itabidi kuwasiliana na ofisi ya UTT AMIS
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 16 күн бұрын
Tayari 😂 ​@@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 16 күн бұрын
@@LULUEZEKIA safiiii.. kila la kheri
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 15 күн бұрын
@@mindsettinginitiative 🙏🙏👋
@edwinmoshi1639
@edwinmoshi1639 24 күн бұрын
Nice brother ungetuambia na ibachukuwa miezi mingapi kwa Kila kipindi
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 24 күн бұрын
@Mr. Edwin kila kipindi cha majira kinachukua miezi mitatu: Winter: December - February Spring: March - May Summer: June - August Autumn: September - November
@seifazizz4160
@seifazizz4160 28 күн бұрын
Name Dalali it’s so dangers Ukosahihi Mr.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 28 күн бұрын
😂😂😃😃
@seifazizz4160
@seifazizz4160 21 күн бұрын
Orbits mm nashkur sana Elim uliyo kuwa n muendlez w Kuitoa ukishikian n kina Ammi na fortunes imenip uelew mkubw sna 🎉🎉🎉
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 21 күн бұрын
@@seifazizz4160 ahsante sana kwa kufuatilia na kwa kutupatia mrejesho. Tunathamini sana hili jambo.
@yusuphmaganga8193
@yusuphmaganga8193 Ай бұрын
@Mr Ammi, kwa nini mashirika ya Serikali kama Tanzania telecommunication company limited hazijawa listed DSE.
@yusuphmaganga8193
@yusuphmaganga8193 Ай бұрын
Swali la 1.Je naweza kuuza hatifungani ya Kampuni binafsi endapo nitakuwa nahitaji fedha? swali la 2. je Kila mtu anaruhusiwa kushiriki katika mnada wa awamu ya kwanza na wapili?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Mr. Yusuph kwa maswali mazuri. Katika session ijayo tutayarejea yote.
@drghuhenmtaita5524
@drghuhenmtaita5524 Ай бұрын
Nilikuwq kwenye AGM ya Twiga mauzo pia yaliadhiriwa na Mvua za Muda mrefu za elnino sababu zingine ni hizo zilizosemwa
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Dr. Mtaita kwa 'insights'. Tafadhali endelea ku'share' more insights katika session zetu zote. Hizi ni insights muhimu sana kwa muwekezaji.
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Ай бұрын
Rejesha tena Maada ya think out the box
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Dr. Alberto, shukrani sana. Hili ni wazo zuri. Safari hii nadhani nitatafuta mwongeaji mwingine na kufanya nae majadiliano.
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Ай бұрын
Big up sana jembe langu
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Shukrani sana..🙏🙏🙏
@gastoronesphorytarimo9763
@gastoronesphorytarimo9763 Ай бұрын
Ni factor gan mwekezaji wa hisa anapaswa kuiangalia katika kuchagua broker?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Swali zuri sana hili. Ninalihifadhi na tutawauliza Ammi na Fortius kwenye session ijayo kama muda ukipatikana.
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 Ай бұрын
Appreciate brother 🙏
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Abdlhaleem kwa kufuatilia session
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast Ай бұрын
ahsante sana kwa elimu ya wali kuhusu uwekezaji wa hisa na hatifungani nimekuelewa vema. naendelelea kupata msasa ili niwe boa eneno hili kiundani na nianze kuwekeza kwenye hisa na hatifungani, tayari nimeanza kufanya uwekezaji utt amis plc
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana na hongera sana. Hilo ni jambo jema sana.
@bronykenzie2322
@bronykenzie2322 Ай бұрын
Can we be taught a little bit kuhusu ways za kukuza portifolio za mtu . Mfano dollar cost averaging and so on. Pia nilituma form zangu za crdb dividend mda ila response sijawahi pata adi sasa hivi. Nimejulisha broker, nimekua nikituma regular kwenye emails lakini no response. Nifanyaje?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Mr. Brony kwa maoni. Hilo ni pendekezo muhimu sana. Nitaliongeza kwenye list ya topics za kujadili. Kuhusiana na dividend, tafadhali wasiliana na Ammi moja kwa moja anaweza kukusaidia njia za kufanya (+255 747 138 101)
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast Ай бұрын
Umeleza vizuri sana
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana @MaishaNiKuthubutuPodcast. Tuendelee kuelimisha watanzania kwa pamoja.
@jichofoundationtv6893
@jichofoundationtv6893 Ай бұрын
Hongera sana UTTAMIS, nimeona mfuko wa UKWASI umepaa sanaaa mpka billion 🎉
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Kwa kweli hongera nyingi kwao UTT Amis. Hii inaonesha ubora wa usimamizi wao juu ya hii dhamana, lakini pia kwa watanzania wawekezaji wanaoonesha imani zaidi kwa uongozi wa UTT Amis. Ila zaidi, hongera kwa waelimishaji wa elimu ya uwekezaji. Hivi ndivyo taifa linaweza kusonga mbele.
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast Ай бұрын
Mpaka trillion moja ni mfuko ambao unafanya vizuri pamoja na ule wa umoja. Mfuko wa kujikimu na wenyewe unakuja kwa kasi na ule wa wtoto maana thamani ya kipande inakuwa siku hadi siku
@gilbertmani9432
@gilbertmani9432 Ай бұрын
Je Kama mtu sio mtanzania anaruhusiwa kuwekeza?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
@@gilbertmani9432 swali zuri sana. Katika maelezo yao hawasema, ila ninalihifadhi na nitauliza. Endelea kufuatilia pamoja na mimi.
@AcrusioraymondmakombeRaymond
@AcrusioraymondmakombeRaymond 29 күн бұрын
Tatizo wanachelewesha malipo pale unapokuwa umeuza vipande kwa mfano mfuko huu wa ukwasi wanakuambia siku tatu za kazi baada ya maombi yako ya kuuza kupokelewa siyo kweli hadi wiki inapita
@rehemawalters8226
@rehemawalters8226 Ай бұрын
This channel should go viral aseeee Haya ni madini matupu Hongeren sana waandaaji
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Rehema ❤️❤️❤️
@BusinessOne-mf5dj
@BusinessOne-mf5dj Ай бұрын
Ofcourse.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Kabisa. Na ni bahati mbaya wale wachache walioingia mapema hawafunguki kuhusu fursa zilizopo pande hizi.
@eddyology7304
@eddyology7304 Ай бұрын
Asante sana kwa hizi sessions wakuu. Elimu ya bure kabisa hii. Ni sisi tu kuitumia katika kuwekeza
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Nashukuru sana Mr. Eddy kwanza kwa kufuatilia session, ila zaidi kwa kutambua mchango wetu. Ubarikiwe! Na ukafanikiwe!
@francismlotemalekela2029
@francismlotemalekela2029 Ай бұрын
Thank you bro
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana brother Francis
@DOCTORSINGANO
@DOCTORSINGANO Ай бұрын
Nikitak kubadili broker nafanyaje
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Habari Dr. Singano. Ili kubadili broker, wasiliana na broker wako wa sasa na umweleze hiyo nia. Utachopaswa kufanya ni kuandika barua kwa huyo broker wako wa sasa kuelezea nia ya kuamia kwa broker mpya., na kuelezea hapo jina la broker mpya. Ukihitaji msaada zaidi nijulishe nikuunganishe na Orbit Securities kwa maelekezo zaidi.
@rehemawalters8226
@rehemawalters8226 Ай бұрын
Asante sana kwa elimu brother
@rehemawalters8226
@rehemawalters8226 Ай бұрын
Na mimi naomba nikutafute Kwa namba yako
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Nashukuru sana Rehema kwa kufuatilia session na zaidi kwa mrejesho.
@user-we9ut9ih6m
@user-we9ut9ih6m Ай бұрын
Pesa ya shule ungeiweka utt amis mfuko wa ukwasi, ukihitaji ndani ya siku tatu unaipata...
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana kwa hii taarifa. Ni muhimu sana.
@bronykenzie2322
@bronykenzie2322 Ай бұрын
Tell us more about DCB bank mr proches, nimeanzia kWa CEO history na cv kwa kwely ni promising lakin tell us more about the bank. Your thoughts in general
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana kwa comment Brony Kenzie. Anaitwa Mr. Fortius. Nitafikisha swali lako kwake, na anaweza akajibu hapa ama tukajibu kwenye session ijayo.
@ditrickluhaga8764
@ditrickluhaga8764 Ай бұрын
Awesome , kweli hii ni mind setting
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Nashukuru sana Ditrick kwa kuwa supporter wetu wa karibu sana.
@welluschiwanga8445
@welluschiwanga8445 Ай бұрын
Vizur
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Shukrani sana
@Anti-socialSocialClub
@Anti-socialSocialClub Ай бұрын
Habari wadau. Kwanza Biggup yourselves for the awesome work, i follow ALL your sessions. Lakini bado natafuta link ya WhatsApp group lenu. Naomba mshare link. Asanteni sana.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana kwa kuwa supporter wetu. Link ya group la WhatsApp hii hapa: chat.whatsapp.com/C6PxbFI1K6jHAizMaMVNa7 Ikikupa shida, nenda eneo la description na utaona contact details za Fortius na Ammi. Zitumie zile kuwasiliana nao moja kwa moja.
@Anti-socialSocialClub
@Anti-socialSocialClub Ай бұрын
@@mindsettinginitiative when i click the link it says "you can't join this group because this invite link has been reset"... Maybe you should create a new invite link, if that link is an old one Alafu hakuna eneo la description wala nini
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
​@@Anti-socialSocialClub Haya ni mawasiliano ya Fortius na Ammi: +255 620 650 616; [email protected]; [email protected]: Fanya kuwacheck.
@Anti-socialSocialClub
@Anti-socialSocialClub Ай бұрын
@@mindsettinginitiative asante sana chief !
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
@@Anti-socialSocialClub pamoja sana mkuu!
@Squash20
@Squash20 Ай бұрын
Interview nyingine mwachie mgeni awe anapresent alichokuja nacho.... Bernard alikua na notes zake alikua ameandaa, lakini hukumpa muda wa kuzipresent, alivyorudi mara ya pili umemuuliza za kwako tu.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Shukrani sana Squash kwa kufuatilia session na ushauri. Nimeupokea na nitaufanyia kazi.
@samsonswere2405
@samsonswere2405 Ай бұрын
I also noticed that and didn't like it, I believe atasahihisha for the upcoming sessions interaction with guests.
@ditrickluhaga8764
@ditrickluhaga8764 Ай бұрын
Maswali: 1. Platform gani ya kununua share za kimataifa mfano hisa za EABL, KCB? 2. Dip ya share za BRK-A waren buffet company by 99%, WHY this fall? 3. Who is roaring kitty vs GME SHARES? Effect yake kwenye Newyork stock exchange na masoko mengine?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Ditrick kwa maswali. Nitayafikisha kwa wataalamu watupatie majibu. Wasipoweza kujibu hapa basi kwenye session ijayo, kipindi cha maswali tutaanza na haya.
@Squash20
@Squash20 Ай бұрын
Jibu la swali la pili, ilikua ni technical problem tu, ila NYSE wameshaitatua, na walionunua shares kwa bei ya chini kabisa, trades zao zimesitishwa na watarudishwa pesa zao
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
​@@Squash20ahsante sana kwa contribution. Please, endelea kufuatilia na kutoa mchango pale unapoona inafaa na inawezekana. Tunathamini mchango wako.
@noelashoo6043
@noelashoo6043 Ай бұрын
Kwanini share za CRDB zinapanda ila gawio lao ni dogo sana
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Ай бұрын
Ahsante sana Noela kwa kufuatilia mjadala na kwa swali moja muhimu sana. Nitajibu kifupi, ila pia kwenye session ijayo nitajitajidi kukumbuka kuwauliza wataalamu wetu waongezee. Ulipaji wa dividend unazingatia mambo mengi ikiwemo, uzaaji wa faida wa kampuni husika, mikakati ya ukuzaji wa kampuni, ama sera za kampuni ili kutoa nafasi ya kampuni kuwa na mtaji mkubwa zaidi ili kuongeza kiwango cha faida. Kwa CRDB, imekuwa ikitanua wigo wake kijeografia na hii yawezekana imepelekea wao kuwa na sera ya kutotoa kiwango kikubwa cha dividends.
@ditrickluhaga8764
@ditrickluhaga8764 2 ай бұрын
shukrani sana
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 ай бұрын
Karibu sana Ditrick, na ahsante kwa kufuatilia session.
@FamotaEnterprises
@FamotaEnterprises 2 ай бұрын
Shukran sana
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 ай бұрын
Ahsante sana kwa kufuatilia.