Yaani Imani kuiweka Kwa vijana bila msingi wa uongozi kusimamiwa na wazee AMINI kwamba, mafanikio ni zero. Maana hata mataifa makubwa msingi wa uongozi upo Kwa wazee. Afrika imedanganywa kuwa vijana na wanawake ndo maendeleo. Lakini wa ok huoni vijana Wala wanawake
@josephkajinga6967Ай бұрын
Kama timu yenu ni nzuri basi ibakize hivyo hivyo tuone.
@user-to6vr1ct1kАй бұрын
Hongera sana big mungu akubariki akuongezee hata uipo towa
@user-ep3fx1xy2qАй бұрын
Chapa kazi Mkuu wangu
@esterndiga4983Ай бұрын
Wow nice
@LearnToServeTVChannelcom2 ай бұрын
Great
@user-ep3fx1xy2q2 ай бұрын
Amina MNEC wetu
@jameslukosi17352 ай бұрын
Kutoa ni moyo Hongera sana Mr Aliko Mwaiteleke
@gregorymhanze2 ай бұрын
Mheshimiwa mchengelwa . Wakulima wilaya ya mbarali kata ya itamboleo Kijiji Cha mapogolo/kapunga . Tunanyanyasika na ofisi ya wilaya hasa mkurugenzi . Wanatoza kosi kwa mkulima wakiwa na askali . Mbaya zaidi wafata mpaka kwenye maghara . Tunaomba ufafanuzi
@juliuslyimo21622 ай бұрын
Hongera sana
@user-bp9rb3id3f2 ай бұрын
Duh Vijana bwana
@frankngajilo71373 ай бұрын
Ujinga mtupu
@gabrielemanuel55833 ай бұрын
Polen sana wenzetu wa itezi
@gabrielemanuel55833 ай бұрын
KAZI IENDELEE
@rungweconnection78163 ай бұрын
Mhe. Mwantona kazi ya Ubunge tuliyokupa unaitendea haki kwa asilimia kubwa sana Asante Mungu akutunze
@iddimhenga75953 ай бұрын
Huyu mbunge hafai kabisa
@user-xm3zk8wk9d3 ай бұрын
Tukumbuke wenyeviti wa vitongoji
@franciskawana1744 ай бұрын
Wameteseka sana Hawa vijana
@user-lu1qo1ij2z5 ай бұрын
Tuangaliwe wote, wengine tunasa sota
@Wamoyothenumberone5 ай бұрын
Siongei neno ila nimesikia
@mashakambugi67305 ай бұрын
Big up comred Ibrahim
@daudimchileg3075 ай бұрын
Uongo
@OdiloMagungu-uf5is5 ай бұрын
Huyu ni mwongo na mtu wa hovyo
@bonabonala55595 ай бұрын
kweli wewe ni bashite akili huna wewe uwa niwakutumwa tumwa kumbe mjinga kiasi hicho???
@kosherasengasu50935 ай бұрын
😂😂
@kosherasengasu50935 ай бұрын
😂😂
@amanimakombe71415 ай бұрын
Mbowe next level
@philemonnestory42395 ай бұрын
Hili jinga kwelii kweli
@daudkondo40695 ай бұрын
Muongo watanzania si mbumbumbu wa akili
@humphreynyiti5165 ай бұрын
Huyu jamaa ni Fala sana
@user-uh3eg5cj2r5 ай бұрын
Hivi huyu jamaa anaakiri kweli?
@HijaSaid-xd7fg5 ай бұрын
Danganya hao hao,
@shuarimbaruku79395 ай бұрын
Watanzania bado sanaaa
@user-ht6wt6kt5f5 ай бұрын
Uyu mbona hafai kua mwanasiasa sasa jamn sababu ni comedian kabisa
@user-mj6oe7ur7t5 ай бұрын
Makonda aachae unafki Mbowe amuombe yeye kwa lipi?Prison at home next.
@geofreywayesu56385 ай бұрын
Jambo jema
@TWINAH1235 ай бұрын
Asante sana. Hapa uganda tunatamani kutumia kiswahili.