Пікірлер
@SiteHunter-m5e
@SiteHunter-m5e 2 сағат бұрын
Ahaa nakubali sana familia❤
@SiteHunter-m5e
@SiteHunter-m5e 2 сағат бұрын
Ahaa nakubali sana familia❤
@SiteHunter-m5e
@SiteHunter-m5e 2 сағат бұрын
@erickkimatta772
@erickkimatta772 2 күн бұрын
💥
@malcomg1004
@malcomg1004 2 күн бұрын
Madavoo oyeee!
@josephngaila2583
@josephngaila2583 3 күн бұрын
Uyu big anaatariii sanaaa 😂😂😂
@Erick-v8t
@Erick-v8t 11 күн бұрын
Joseph kama Joseph
@josephngaila2583
@josephngaila2583 12 күн бұрын
Pamoj pamoja sana MSN tanzania mnatufanya tunaenjoy popote tulipo
@josephngaila2583
@josephngaila2583 12 күн бұрын
Mwalimu tuko pamoja
@Mashwishwitv-q6x
@Mashwishwitv-q6x 12 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@josephngaila2583
@josephngaila2583 15 күн бұрын
Atariii sana
@HusnaJoseph-s5s
@HusnaJoseph-s5s 17 күн бұрын
Apo Joseph 👍👍
@HusnaJoseph-s5s
@HusnaJoseph-s5s 17 күн бұрын
MSN 🔥🔥🔥🔥
@HusnaJoseph-s5s
@HusnaJoseph-s5s 17 күн бұрын
Joseph aongeze juhud ❤
@HusnaJoseph-s5s
@HusnaJoseph-s5s 17 күн бұрын
Joseph anaongea point sana ila anaongea mda mfupi aongeza juhudi atakua vizuri
@josephngaila2583
@josephngaila2583 17 күн бұрын
Koch katishaaa sanaaa
@SimonBaran-q4n
@SimonBaran-q4n 24 күн бұрын
Hatariiii
@JessieJustine
@JessieJustine Ай бұрын
Mungu awapandishe zaidi viwango vya utukufu...,nice song❤😇mmebarikiwaa
@mussamtewele4844
@mussamtewele4844 Ай бұрын
Mgodi unaotembea
@erickprotace9463
@erickprotace9463 Ай бұрын
Waandishi mnajadili tukio lilivyoenda kuhusu LAMECK LAWI, inajulikana makubaliano yalikuwepo mnashindwa kuelimisha na kuelezea juu ya njia za kusitisha makubaliano kama zilifatwa kwa mashabiki. Kama walivyofanya coastal ndo hivyo haina haja ya kujadili mengi. Elimisha mwisho wa makubaliano na si walizingumza vipi.
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Ай бұрын
Usiwe unaojiwa na midia za kisenge kama hzo ambazo Wala hazjulikani tz hapa
@AmidaNdeu
@AmidaNdeu Ай бұрын
Duh!
@AmidaNdeu
@AmidaNdeu Ай бұрын
Duh!
@AmidaNdeu
@AmidaNdeu Ай бұрын
Duh!
@user-db4cg5mh5b
@user-db4cg5mh5b Ай бұрын
Namkumbuka sana uyo jitu ra mabana hilo kacheza sana dumila magole pia walikuwa wana elewana sana na EDGA CHAZ MFUMAKULE BONGE LA STEKA NAMKUMBUKA SANA SANA UYO
@user-ek7tp2fg8t
@user-ek7tp2fg8t Ай бұрын
Tatizo LA simba ndiy mahana wanatolew wachesaji
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 2 ай бұрын
mtanagazaji unaulizaaswali ya kitoto sana jezi nini sasa kwenye ishu ya utambulisho
@muddsaid-kn2dq
@muddsaid-kn2dq 2 ай бұрын
pesa tarehe 10 barua tarehe 17 tumesha yakanyaga tuangalieni mambo mengine mkataba umeisha iyo ni mali ya simba
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 2 ай бұрын
Yes pambana tu uongeze juudi
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts 2 ай бұрын
Uyu kaka nimukeli sana juu ayo majini waliya nunuwa kwake ndio sababu anajuwa vyote kuusu mayele
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 ай бұрын
Sisi simba tuna akili kubwa huwezi linganisha na yanga kikwete ni yanga miaka kumi alifanya nini angalia magufuli NI simba miaka mitano kazi kubwA simba tuna akili kubwa
@seydouside4081
@seydouside4081 2 ай бұрын
Mchezsji wako tena..Jamaa anaota chama ni mwanamchi bro..imeisha hiyo
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
😂😆
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j 2 ай бұрын
Muuliza maswali huna taaluma ya kutengeneza maudhui! Uliza je kama simba ndio waliokiuka makubaliano ya muda wa MALIPO huoni kama simba ndio waliovunja mkataba?? Na je baada ya kuona hawajaoata pesa za kulipa kwa wakati waliuandikia uongizi wa coast kuomba waongezewe muda??? Ili nasi tujifunze jambo,dada wewe imekaa unaongozwa na yeye bila mwongozo wako wa maswali.Rudi shule
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
Big up
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 2 ай бұрын
Ndio tutachukua club bingwa kwa wachezaji ao
@GEORGEMsigara
@GEORGEMsigara 2 ай бұрын
Hongera Mourinho
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
😂😂😂 hiv hawa mashabiki wa ubuntu wanakula chakula gani ?? Maana ukiwasililiza kwa umakini utagundua ni wapiga kelele sanaa 😂😂😂
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
😂😆
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 2 ай бұрын
mkubwa kuliko aziz ki matakooi
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 2 ай бұрын
Kama mlikubaliana tarehe 31 why mlipe tarehe 10??? Klabu kubwa kama Simba kiliwashinda nn?? SIMBA MMETAWALIWA NA VIONGOZI WAHUNI 😂😂😂😂
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 2 ай бұрын
Godfrey mwamnyeto alipochelewa kulipwa mbona hapakuwa na malumbano Haya we yamekuzidi funga domo lako
@saidalbakry1990
@saidalbakry1990 2 ай бұрын
😮​@@ismailhassan5209r800
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 2 ай бұрын
Huyo naye wakuhojiwa kweli?.
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 ай бұрын
MANENO HAYO YOTE YA NN ? YANGA AINAGA WATU WAJINGA
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
😂
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 2 ай бұрын
ndo nashangaa kelele za chura 2 izo 2muige makolo kwa lipi
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 2 ай бұрын
weee chama sio ws shirikisho weee
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
​@@user-iz3hs8jl5p😂😂😂 chama kubwa
@wimranpatrick
@wimranpatrick 2 ай бұрын
Huuu mongoli kae kimya we mfungwa
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
😂
@msangya60manyanki27
@msangya60manyanki27 2 ай бұрын
kwann cmba hawakutii mkataba wa kulipa kwa wakati trh 31/5/24?
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
😂😆
@marymoshi572
@marymoshi572 2 ай бұрын
Captain la boli
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
🙏
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 2 ай бұрын
Kumbe MDA mwingine unahakili eee
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 2 ай бұрын
Kumbe MDA mwingine unahakili eee
@CharlesNdaki-mb5kt
@CharlesNdaki-mb5kt 2 ай бұрын
Sasa leyo ndo umezungumza 😂😂😂
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
🤣😂
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 2 ай бұрын
Walasiyo muhanga unimwana Simba kindaki ndaki
@msntanzania
@msntanzania 2 ай бұрын
🙏🙏
@ismailmohamed502
@ismailmohamed502 2 ай бұрын
Bakari walifanya makubaliano na siyo janja janja
@NassibuMussa-lu3vf
@NassibuMussa-lu3vf 2 ай бұрын
Usajiri wa kijanjajanja lawi sio beki wa kihivyo kiki 2
@jumanakamo5503
@jumanakamo5503 2 ай бұрын
KWA NINI WALIPOKEA HIYO PESA TAREHE 30 HUKU WAKIJUA WAMECHELEWA MDA WA KULIPA? KWA NINI WASINGEKATAA?