Пікірлер
@omarykigoda
@omarykigoda 4 сағат бұрын
Omm kigoda mko vzur
@yohanamogolo9628
@yohanamogolo9628 8 сағат бұрын
Daa Dunia inamaajabu yake haya nayo anatakiwa apelekwe kwenye record mpya za dunia
@emanuelyntamila9141
@emanuelyntamila9141 12 сағат бұрын
Ila ukwel Mimi mwenyewe nakubaliana nae mana napokaa mudamlefu bila kufanya tendo hua uwezo unashuka
@UpeoMinistryofMedia
@UpeoMinistryofMedia 14 сағат бұрын
Yesu alipataga kansa tezi dume? Mapadre wanakufa kwa kansa za tezi dume? Hivi huyu daktari MCT inamtambua?? Mbona hakuna hatua zozote anachukuliwa huyu
@kassimualli1755
@kassimualli1755 12 сағат бұрын
Aliyekudanganya mapadri hawatombi nani?
@MidssonLabisson
@MidssonLabisson 15 сағат бұрын
uyo wa kamela ameweka mbali san amuonekani vzuli
@AllyKileo-b4y
@AllyKileo-b4y 16 сағат бұрын
😂😂 dkt
@mwalagomwanaisha
@mwalagomwanaisha 21 сағат бұрын
Likaka lizuri 😊
@husseinmgalula5864
@husseinmgalula5864 Күн бұрын
Kipara kama jiwe
@user-hv1gi8lf5n
@user-hv1gi8lf5n Күн бұрын
Nakukubali sana kakayangu
@goromamussatvonline
@goromamussatvonline Күн бұрын
akuna Mtu apo
@NduwimanaDENIS
@NduwimanaDENIS Күн бұрын
Hayo mambo ya michezo wekeni hazalan mtu anavoshinda
@user-kh8tr8xh4v
@user-kh8tr8xh4v Күн бұрын
Namuomba Allah watu hawa wafunge ndoa tu huyu ndiyo mumewe sasa.
@DeokariDani
@DeokariDani Күн бұрын
Jamani huku kwetu loliondo bongo fm haisomi kabisa karibia wiki inaisha tomekosa uhondo wa bongo fm deo pande za wasso loliondo
@user-pj3eb2bo4o
@user-pj3eb2bo4o Күн бұрын
Hako kakaka ebu kaondoke kanatakuwa star apotee
@RahmaAlly-pe2vb
@RahmaAlly-pe2vb Күн бұрын
Waanaume muwe na uaminifu
@ZaitunShaban-vr2vi
@ZaitunShaban-vr2vi Күн бұрын
Siungi mkono uzinifu lkn nataman niwaone wamefunga ndoa...nampenda sana isha!! Inaonekana hii ishu imetengenezwa eidha na x wa mabango au wa isha kwakua wameona mambo yao yanaenda!! Lkn swalin istikhara Allah aamue hatma yenu
@spreadlove5300
@spreadlove5300 Күн бұрын
Yaani huna hata haya eti fulani hafai kuolewa 😮😮😮 sasa si bora wao wazuri 😮😮 wewee mwenyewe unajiona mazuri eeeh 😮😮
@lucykristensen7145
@lucykristensen7145 Күн бұрын
Mstarabu sana Hutu Kama. Pia yuko very handsome. Anayemsema vibaya ni wivu tu. I hope watasolve problems zao warudiane. Ana akili sana huyu kijana na ni muwazi.
@janetngowa
@janetngowa Күн бұрын
Uyu Kaka mstaarabu jamani,
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Күн бұрын
Sana wallah tena
@chuggaboy9877
@chuggaboy9877 Күн бұрын
Wadada hapo ndio mnanasaga pabovu…! 😂
@ennea_tv
@ennea_tv Күн бұрын
Upete 🔥🔥🔥
@OmarMhina-z3c
@OmarMhina-z3c Күн бұрын
Huyu ndiye riziki ya Isha dini haina umri kikweli Isha mfunge ndoa na huyu kaka pia nawe kaka acha kupokea cm za malaya
@chuggaboy9877
@chuggaboy9877 Күн бұрын
Usililojua ni kama usiku wa giza…. We wasikilize na uwaache kama walivyo!
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Күн бұрын
Huyu jamaa bado mtoto.haendani na isha
@AshaStephen-q3n
@AshaStephen-q3n 2 күн бұрын
Wew uendane na zali ndugu yko mbona unachekesha umbwa
@JANUARYNSHASHIMPANDUJI
@JANUARYNSHASHIMPANDUJI 2 күн бұрын
huyo shabiki wa yanga 😂😂😂
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 күн бұрын
Na kwann mpigane mapicha jamanii
@OfficialElishamaMulokozi
@OfficialElishamaMulokozi 2 күн бұрын
Habari kazi.Azam hasira zote kwa JKT.
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 2 күн бұрын
Ilakumbukeni Ethiopia niwazoefu kwenye michezo hihi
@ennea_tv
@ennea_tv 2 күн бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@rachyboy270
@rachyboy270 2 күн бұрын
Nakubali my friend❤
@marjanmohamed5727
@marjanmohamed5727 2 күн бұрын
Asalaam aleikum Naomba number ya simu
@AlonLameck
@AlonLameck 2 күн бұрын
Mwayombo mbon geita redio imekata Toka Jana jamn
@user-yk5ck2eo1p
@user-yk5ck2eo1p 3 күн бұрын
Suke john wa Geita kwa sasa nipo jijini mbeya pongezi kwa simbasc kwa ushindi wa jana mbele ya Foutain Gate.
@user-yk5ck2eo1p
@user-yk5ck2eo1p 3 күн бұрын
Geita kwa sasa nipo jijini mbeya pongezi kwa simbasc kwa ushindi wa jana mbele ya Foutain Gate.
@JosephMakoa-u9n
@JosephMakoa-u9n 3 күн бұрын
wa morogoro tanzania kwa walima mpunga kikweli tumpongeze rais wetu kwa kaz kubwa anaefanya kwa soka letu limepiga atua kubwa san
@MedicineLove-wi5ql
@MedicineLove-wi5ql 4 күн бұрын
Wakwanza Leo nipeni maauwa yangu
@kylesmeight4837
@kylesmeight4837 4 күн бұрын
Big up
@NaaKipingu
@NaaKipingu 4 күн бұрын
I love you nikiza
@Rajamwamba
@Rajamwamba 5 күн бұрын
Mwayombo no kupinga hiyo hatoki mtu
@zainaburashidi3639
@zainaburashidi3639 5 күн бұрын
Yes
@NEEMACHAULA-u1t
@NEEMACHAULA-u1t 5 күн бұрын
yanii hiij kaz yakiredio nikama kuuza bangii aisee
@Davidmalunga-1992
@Davidmalunga-1992 5 күн бұрын
Kati ya mabwanazake anaeweza kwenda kwenye midia ni kiredio pekee. Kwaiyo iyo ni simpo sana kwa uyo mliempigia
@EmanuelaMunishi
@EmanuelaMunishi 5 күн бұрын
Win Manchester united
@AlfonceNtenga
@AlfonceNtenga 5 күн бұрын
Naitwa alfonse ntenga . Nikiwa Sumba wanga hakika Simba kwees wanatuwakilisha sana Wana msimbazi🙏🙏🙏
@essammanyologa3934
@essammanyologa3934 6 күн бұрын
Endelea kusikitika
@GidionThomas-z2h
@GidionThomas-z2h 6 күн бұрын
Mwenye studio una hasara waandishi wanaboa sana
@NovatiusMujuni
@NovatiusMujuni 6 күн бұрын
Watangazaji wajimga amko serious wapuuzi nyie
@LapulgaDreammaker-t3o
@LapulgaDreammaker-t3o 6 күн бұрын
Nawaomba comasava ibaki no 1 on trending miezi 2
@SamwelLuharibla
@SamwelLuharibla 6 күн бұрын
Tim zet zitumie nafas hiyo ya kutaftiwa wafadhiri vizuri
@SAMWELJAMES-e3z
@SAMWELJAMES-e3z 6 күн бұрын
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 күн бұрын
Kaka mshenzi hyu😂😂😂