Zuchuuuuu Forever Queen ❤️❤️ I love you my DIVA ❤️💯💯👍🏽💋💋🙏🇨🇬
@user-bo5qp9gz8mКүн бұрын
Ntakuwa wamwisho kujibu swali lako😂😂😂😂
@user-yz6ds9hn9l6 күн бұрын
Kwa jezi zipi jamani yanga hizo ni nguo au milembe ya machizi mizombi
@suleymandachi7827 күн бұрын
Chura anarukaruka siifuti Nng'o wewe ndiyo muanzilishi wa muziki wa Singeli,,, usitutie majaribuni kama mzee yusufu
@pascalgabriel12968 күн бұрын
Kibu atumuuzi 😂jamani wana yanga
@DramaMediatz8 күн бұрын
🤣🤣🤣
@JohnKinanda-pw7lq8 күн бұрын
Ya yanga wametisha saan
@DramaMediatz8 күн бұрын
@@JohnKinanda-pw7lq 🤣🤣🤣
@ChrisDieuveux9 күн бұрын
This. Man shees greet incroyable
@WaziriAlly-ng7if9 күн бұрын
🔥 🙌 ❤
@TrinaRoman3459 күн бұрын
Binafsi sijapenda mdomo umemzidi nguvu ila wamekutana wote midomo misurupwete😂😂😂
@DramaMediatz9 күн бұрын
@@TrinaRoman345 🤣
@LameckJunior-b6r10 күн бұрын
Am lameck first to see
@AfricaQueen10 күн бұрын
🤔🤔🤔🤔😳😳🗣️What!and whoooo????😂🤣😂Juice ya matunda Enjoy Na Wifi wa Madam cashhh🤫Anyamaze Kimya amekuwa wife ya mtu ! Alee watoto Wivu wa Nini kama unakula dodo nyamaza Na fyonza kokwaaa wacha nae mwenzio akule jolo rice kwa fufuuuu 🤪Kumbe Bado wampenda huyu demu wifi yako kakupandisha Presha kali sana umeshindwa kujizuia haya sasa tumeanza kuelewa sasa umemchoka Baba watoto😂🤣😂😂Bongo kumenogaaaa Juice ukwaju hashikiki Na wanafunga ndoa🤪🤣😂🥁🥁🗣️🗣️🪇🎷🎺🎷🎹🚑🚑🚑🚑🚑
@user-do9fo3cj5u10 күн бұрын
Wangependana tu iyidunia tunapita
@joycemuhoja472911 күн бұрын
Wakawaida sanaa
@MuznaSaid-hw6kz12 күн бұрын
Si ni kweli kwani uongo??
@user-yi2ng3mr3b12 күн бұрын
😮mukihachana utatuhangusha paula
@HalimaMwidadi-h4g18 күн бұрын
Napenda san mahusiano ya paula
@dorothymutegeki754319 күн бұрын
Hatuwezi kukaa na ujinga bumbavu
@AthumaniRashidi-l3e20 күн бұрын
Si 2nakula 2😅😅😅
@user-cw6jq7cv2k20 күн бұрын
We kweli, if that's true congrats girl, i hope Allah atamsaidia mtoto awe na relationship with his father japokuwa dad mwenyewe mhh. Good luck baby boy, our future star.
@_Jokermaster22 күн бұрын
Ni bora are ili atulie
@ElkanaAndrea22 күн бұрын
Unaitwa nani
@DramaMediatz22 күн бұрын
@@ElkanaAndrea Sweetberth or sweetdrama
@JuliaEspoir-kx3bu22 күн бұрын
Ndiyo wcb ni nyoka
@nifasiha791824 күн бұрын
Oa bwana achana na wazee kama mama zako
@fatumasaid670224 күн бұрын
Sasa Paula tulia lea mwanao
@ThomasKithunga25 күн бұрын
Niaoe atulie
@judithogaya973025 күн бұрын
Kajala na binti yake kishawaramba kwa ujinga wao 😂 from Kenya 🇰🇪 currently Qatar nasikia kwa viusasa 🤣🤣
@judithogaya973025 күн бұрын
😂😂😂tama za mama kwenye vijana wadogo,kisha na maana pesa,mungu nisaidie kwa huu ujinga heri nikale hela yangu kidogo na heshima kwa wanangu 😢😢
@anjelinakasembe84525 күн бұрын
Aachwi poshi Hapa tamaa ya range nanpesa wote wawili mtoto kachezewe kapeleka matapishi kwa Marioo😂😂😂😂 kudadeki mwambino kawapitia wote kudadeki
@judithogaya973025 күн бұрын
Tamaa zao wacha wachanganywe huko mbele mbele kiliwaramba😂😂😂❤
@anjelinakasembe84525 күн бұрын
Msifikiri mtanmuaribia kwanposhi ngowajinga tangujlini mtoto nabmama wKalwa nawaume wawili🤮🤮🤮🤮🤮
@vero5726 күн бұрын
Kwanza hiyo picha, yakushikana mbeleni ni uchafu mtupu wewe shangazi, sasa hivi huna market tena tulia tuu ulee wajukuu, majuto ni mjukuu, tamaa mbaya!!!
@ashaali7154Ай бұрын
Acha umbea wewe mtoto wa kiume yanakuhusu vipi wewe ? Hovyooooo.