Пікірлер
@alkheyfilmohd2561
@alkheyfilmohd2561 13 сағат бұрын
Kila ikienda utamu unazidi wallah uncle kila siku achia vitu
@njirundwiga3631
@njirundwiga3631 20 сағат бұрын
Igizo poa, lapendeza👍
@MukhtarAllyjuma
@MukhtarAllyjuma 21 сағат бұрын
Ba mkwe uko vizur
@SallSalll-g6d
@SallSalll-g6d Күн бұрын
🎉
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Күн бұрын
Hamuna mchezo mulonao ujinga mtupu.mchezo Kwa mganga tu
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 22 сағат бұрын
Mjinga ni wewe kwa maana hujatumwa utazame pumbavu kabisa
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 Күн бұрын
Assallam alleyqum warahmtullah wabarkatuh,,, Shukran sana kwa mwendelezo na poleni pia kwa changamoto munazo pitia maan kla kazi inachangamoto yke kwa mimi shabiki yenu cjui mwapitia changamoto gani ila kikubwa ni kuwaombea kwa Allah kla penye uzito bc atie wepec ili mambo yawe haraka haraka❤🎉❤🎉❤🎉
@qaswidarijalu8177
@qaswidarijalu8177 Күн бұрын
Asante sana kwa pongezi zako tupo pamoja bay maguo hapa
@firstboy
@firstboy Күн бұрын
Nyie mungu awabariki hatujuw changamoto gani mnapitia mpk muna kawia kutupa uhondo kwa wakat ila hongereni Sana kaz imesimama haswaaaaaaa congratulations for all crews
@Dioff20
@Dioff20 7 күн бұрын
Egzoz ya Italy tn😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 7 күн бұрын
Ama kwel mtu hufaliwa n wake😢
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 7 күн бұрын
Kichachuli na hamkorwa kama vile wanamtaka mwanamke mmoja nahisi
@Malikisubetikhamis
@Malikisubetikhamis 7 күн бұрын
hongeran Wana uungwa wenzangu mm MPEMBA mmoja
@njirundwiga3631
@njirundwiga3631 8 күн бұрын
🤓 nawacheki vizuri 👍
@mayaashassan3918
@mayaashassan3918 8 күн бұрын
Ila mnakawiya sana kutuletea hii series aisee jitahidini please tunaelewa kwenye kazi kuna changamoto nyingi bt msikae sana😢
@MauaHamad-l9n
@MauaHamad-l9n 8 күн бұрын
Mganga umetuibia engez uwez au nijenikupe kozi za kigang
@MauaHamad-l9n
@MauaHamad-l9n 8 күн бұрын
Kazi pambe pambe it me hamkorwa mpemba
@MauaHamad-l9n
@MauaHamad-l9n 8 күн бұрын
Wakwanza Leo by hamkorwa mpemb Asante director wetu uncle husein❤❤❤
@user-eg4zn5ih1c
@user-eg4zn5ih1c 15 күн бұрын
Kichachuli. Big up
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 16 күн бұрын
Duuuh mganga tawire 😂😂
@MukhtarAllyjuma
@MukhtarAllyjuma 16 күн бұрын
Ba mkwe ally
@njirundwiga3631
@njirundwiga3631 16 күн бұрын
Sa,hivi mko on time. 👍
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 16 күн бұрын
Hamkorwa kama mtu kweli vile😅
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 17 күн бұрын
Weee hankorwa wee....eti ruhi bara inti zubala😂😂😂
@user-nm7yp3wm9t
@user-nm7yp3wm9t 17 күн бұрын
Munachelewa
@TiffTiff-l3u
@TiffTiff-l3u 17 күн бұрын
Mjinga faki wee ni mjinga sana 😂😂😂😂😂😂😂 mpaka papa
@user-jo7kw3jz6e
@user-jo7kw3jz6e 17 күн бұрын
Kz mzr sheg hasa
@njirundwiga3631
@njirundwiga3631 19 күн бұрын
Linazidi kupendeza ❤❤❤
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 23 күн бұрын
Asnat kunenepa 😢😢
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 23 күн бұрын
Yaani kanenepa sana
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np 23 күн бұрын
Wakanza
@alinassor391
@alinassor391 26 күн бұрын
Kwa hio mpemba ndio hana hadhi ya kukuoa
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 28 күн бұрын
😢nishasahau ata tuliishia wapi mumekaa mno
@qaswidarijalu8177
@qaswidarijalu8177 Ай бұрын
Ipo powa tu kipezi
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 Ай бұрын
Kunenepa asnat mashallah 😍
@jacklinezombo5806
@jacklinezombo5806 Ай бұрын
Yani sainati uo msamaha sio raisi kusamahawa tulijue ilo wanawake
@jacklinezombo5806
@jacklinezombo5806 Ай бұрын
sainati ulifanya BIG mi steck
@bgmozes7500
@bgmozes7500 Ай бұрын
Unyama ni mwingi
@user-nm7yp3wm9t
@user-nm7yp3wm9t Ай бұрын
Muna chelewesha jamani mpaka tunasahau
@njirundwiga3631
@njirundwiga3631 Ай бұрын
Tuko bado.hatujachelewa😂😂😂
@sameraakhf5605
@sameraakhf5605 Ай бұрын
Hasnat hongera unaweza kuhuzunika
@omyhermit-ki1io
@omyhermit-ki1io Ай бұрын
Yaaan mpaka hamu ya kuangalia filamu hatuna tena mnatuweka mwaka mzima filamu gna dah
@mohdhaji550
@mohdhaji550 22 күн бұрын
Huna pekee wewe mm ninayo
@omyhermit-ki1io
@omyhermit-ki1io Ай бұрын
Mnazingua nynyi bn filamu mzuri yaan tangia mwaka jana filamu haijaisha tena mna mda sna leo ndio mnaridi mnazinguaaaaaa
@profesamakame5179
@profesamakame5179 Ай бұрын
Tunaomb like zenu leo wa mwanzo from zanzibar town
@profesamakame5179
@profesamakame5179 Ай бұрын
Maaashaallah
@yahyamaabad9837
@yahyamaabad9837 Ай бұрын
Ahsant sana
@MaryamAli-v1p
@MaryamAli-v1p Ай бұрын
Moris nakubsli kazi zako
@MaryamAli-v1p
@MaryamAli-v1p Ай бұрын
Jamani kwani huyo moris anapesa kweli maana anadharau kweli mume huyo simuwezi mm ila miris nakukubali nafatilia sana move zako
@RukiaSalum-kw8se
@RukiaSalum-kw8se Ай бұрын
❤ Mashaallah
@mosmartshaweji6860
@mosmartshaweji6860 Ай бұрын
Didaah
@mosmartshaweji6860
@mosmartshaweji6860 Ай бұрын
Hahhhh
@mosmartshaweji6860
@mosmartshaweji6860 Ай бұрын
Nimekereka sehemu moja tu vidio nzima