LET'S MAKE SAFE MENSTRUATION A PRIORITY
0:53
HEDHI SALAMA NI MUHIMU KWA AFYA
0:29
14 сағат бұрын
WAZAZI NA WAJIBU WAO KWA HEDHI SALAMA
0:48
16 сағат бұрын
HAMJAMBO?
1:11
14 күн бұрын
NAPE AMESAIDIA WAPINZANI. WAJIPANGE!
8:35
HAWAJUI, HAWAJALI, HAWAWEZI
14:53
21 күн бұрын
TUMECHAGUA KUDHARAU HOFU - LEMA
16:19
21 күн бұрын
TUKUTANE BUKOBA  - 1
3:07
21 күн бұрын
CHAWA RASMI WA SAMIA NI NANI?
1:00
TULIONA YA GIZANI
12:32
Ай бұрын
TUMEJIFUNZA NINI KUTOKA KENYA?
16:03
UNAPOSIKIA HAYA UNAWAZA NINI?
4:27
NI NENO JEMA KUSHUKURU
7:12
Ай бұрын
Пікірлер
@markojames7855
@markojames7855 8 сағат бұрын
Acha ujinga
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 8 сағат бұрын
@@markojames7855Karibu!
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 10 сағат бұрын
Asante baba kwa makala nzuri, umetufungua macho kile ambacho tulikuwa hatukijui ,ila kwa Tz tulikuwa tumefungwa kwenye gereza la giza la sheria na kufungwa kamba humu , Mungu tuinulie wengine wengi wataosaidiana na Kaka yetu Mwambukusi ili tufike sehemu nzuri ya kujikomboa kutoka kwenye giza hili . Ee Mwenyezi Mungu tusaidie
@eunicemligo5290
@eunicemligo5290 16 сағат бұрын
Hongera sana Mr . Ngurumo! Maneno ya Zaburi hii yananibariki sana daima na kunitia nguvu for real! Melodia imetulia mno!! You are talented! Mungu akutunze sana🙏🙏
@viaurfk
@viaurfk 17 сағат бұрын
Asante kwa mwaliko.
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 18 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@user-kl8xf1yk2b
@user-kl8xf1yk2b 18 сағат бұрын
Leo wa wakwanza ngurumo
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 20 сағат бұрын
Nduguyangu ulouliza mbendera ya tanganyika. Nihiyo ya tanzania ndo bendera yenu angalia pale nyerere alipopata uhuru panabendera gani ukiangalia nihiyo ya tanzania ndobendera yenu tafuteni tanganyika yenu mana ss wazanzibari hatuutaki mungano mnatulazimisha tumechoka ss simasikini bali mnatutia umasikini
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 20 сағат бұрын
Act haipo madarakani nisawa na wabunge wa chadema waliokuepo bungeni bali esitii tunataka madaraka ili kila nchi iwe huru kila mmoja andeshe mamboyake mwenyewe na sio zanziba tukitaka kitu twende tukaombe ruhusa tanganyika kivuli tanzania tunataka zanziba huru jina lisiwe tanzania
@MathiasSongoyi
@MathiasSongoyi Күн бұрын
Mwambukusi anaaminika kwani kunakundi lilikuwa linafanyadhuruma,kumbe walikuwa hawajui kuwa wanamtengenezea nji ya ushindi Sasa wanabwabwaja na midomo kuwa wazi,mwambukusi anasimamia ukweli na apindishi Sheria,ndio maana walimunyofolea uwakili na wameshindwa.
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o 2 күн бұрын
USHINDI WA MWABUKUSI NI USHINDI WA MUNGU MWENYE HAKI.MENYE KUPINGA WATAAIBIKA MCHANA KWEUPE.
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o 2 күн бұрын
USHINDI WA MWABUKUSI NI USHINDI WAUMMA NI USHINDI WA WATANGANYIKA.
@user-qe5cb7vy6o
@user-qe5cb7vy6o 2 күн бұрын
NKUBA NENDA KAKATE RUFAA MAKAMANI UAIBIKE MWIZI NA HAKI MUNGU ANASIMAMIA HAKI.WACHA INYESHE TUONE PANAPOVUJA. MWABUKUSI OYEEEE3
@user-zn7vw3pj6p
@user-zn7vw3pj6p 2 күн бұрын
Hongera mwambukusi.hakika tusiojua sheria tunaimaninawewe.tumepatamtuwauhakika ninyotayetu watanzaniawote.
@ZabronJonathan-b5s
@ZabronJonathan-b5s 2 күн бұрын
Mungu ambarikina kumlinda.
@Kwarasi
@Kwarasi 2 күн бұрын
Katiba yetu inapiga marufuku kuuza aidhi Kwa watu wa nje
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q 2 күн бұрын
Mi naamn waliotufikisha apa tulipo ni viongozi wa dini kukaka upande wa ccm wote. Kwa sababu ya matumbo yao
@Gahii-s5q
@Gahii-s5q 2 күн бұрын
Viongoz, wa dini ni machawa ccm, cjui we shee umeweza je kuchomoka uko!
@AbuuMtamike
@AbuuMtamike 2 күн бұрын
Hakuna giza lililo shinda nuru hata waludie mara 10 Mungu yupo pamoja na Mwabukusi(Musa dhidi ya farao)
@Joseph-lu4yj
@Joseph-lu4yj 3 күн бұрын
Mwambukusi ni mtu na nusu Taifa linaenda kukombolewa tunakuamini 100%
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 3 күн бұрын
Utamu wa madaraka umeipofusha CCM, umeyafisha masikio yao. CCM haioni, haisikii tena. Ni kama maiti. Sasa inanuka. Lazima izikwe.
@workmantiktok
@workmantiktok 3 күн бұрын
yani we kondoo nakuchukia kama kinyesi kila kitu unajifanya unajua kenge wewe kama akili yako
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 3 күн бұрын
@@workmantiktok Karibu! Asante kwa maoni yako. Kutojua kwako si sifa ya kujivunia. Tuendelee kujielimisha.
@workmantiktok
@workmantiktok 3 күн бұрын
@@AnsbertNgurumo wazee matahira
@ChristerKoku
@ChristerKoku 3 күн бұрын
Kusoma,sio kuelimika.
@AlphaMagomba
@AlphaMagomba 3 күн бұрын
Mungu awape nguvu za kuelimisha watanzania na awape afya njema
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x 3 күн бұрын
Gd sana
@user-jc1do5gf3w
@user-jc1do5gf3w 3 күн бұрын
Hongera sana Mwabukusi,ushindi wako ni wa Watanzania wote,piga kazi Taifa hili tunahitaji kiongozi kama wewe.Hongera sana,sana
@jimmymushi2357
@jimmymushi2357 3 күн бұрын
Mtu wa maana sana ww
@dbamwenzaki
@dbamwenzaki 3 күн бұрын
Sasa tunaomba katiba mpya ya Jaji Warioba.
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 3 күн бұрын
Sijapiga kura ila naona nimeshinda, maana niliyekuwa natamani na kumuombea kwa Mungu ashinde ameshinda . ASANTE SANA MUNGU
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 3 күн бұрын
Hongera SK media kwa kutoa Elimu. Tutakukumbuka kama Lucky Dube wa Tanzanian, keep it up!!
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 3 күн бұрын
Kwaiyo raisi wa tls ni chadomo patachimbika mwaka huu
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 3 күн бұрын
@@ibrahimaziz7158 Aliyekwambia hivyo ni nani? Tafiti upya.
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 4 күн бұрын
Asante baba
@AnteloSanga
@AnteloSanga 4 күн бұрын
Mungu yu mwema tumepokwa vyakutosha wameona aibu hadharani.
@EzekiaKabuje
@EzekiaKabuje 4 күн бұрын
Nimemuona mungu hapa kweli ametenda yale yamoyoni unajua mungu anaongea naloho zake ushindihuu mungu ameanza moja badae lingine hutashindana namngu binadam ww unyang.anyae haki zawatu
@karolinchimani5316
@karolinchimani5316 4 күн бұрын
Congratulations Mwabukusi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 4 күн бұрын
Mmh ipo tofauti kubwa sana kati ya taaluma ya Sheria na taaluma ya Wahandisi Makandarasi
@RebeccaKamwela
@RebeccaKamwela 4 күн бұрын
😅😅😅kuna mmoja wao hapo kakaaa kichawa kabisa
@user-su3zd6mz6d
@user-su3zd6mz6d 4 күн бұрын
Huyu mpumbavu anaekataa matokeo waende kwenye uchaguzi wakiwa wawili aone huo moto
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 күн бұрын
👊👍✌️.
@user-pf2qk8fz9o
@user-pf2qk8fz9o 4 күн бұрын
Simba kashinda kuwongoza Simba wenzake 😊😊😊 Mwabukusi oyeeeeee........
@Anoldi-yj7mf
@Anoldi-yj7mf 4 күн бұрын
Kaka mungu akulinde sana
@LissaJonas
@LissaJonas 4 күн бұрын
HII NI KUMBU KUMBU AMBAYO MHE AIDA AMEIWEKA.
@user-vi1ds6gw9g
@user-vi1ds6gw9g 4 күн бұрын
Wanasheria wa nchi hii wakisimama kizalendo, hakutakuwa mikataba mibaya kwa sirikali hata mingine inavunjwa kiholela nchi inalipa mapesa kibao kwa wazungu huko, inauma sana kwangu mtanzania mvuja jasho, ninayekatwa tozo kila pahali katika kuuza na kununua kila kitu.😭😭😭🇹🇿
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo 4 күн бұрын
VIVA MWABUKUSI VIVA TANZANIA
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo 4 күн бұрын
KWELI USHINDI WA MWABUKUSI NI USHINDI WA UMA WOTE WA WATANZANIA HASA WANYONGE AMBAO WAMEBANWA NA MFUMO MBOVU WA HILA ZA WADAU WA CHAMA KIMOJA WANAONG'ANG'ANIA UTAWALA KWA MBINU ZOTE LAKINI WAJUE PIA UKOMBOZI UTAKUJA KWA NJIA ZOTE NA TUTASHINDA TU
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 күн бұрын
Mungu baba, popote Mwabukusi aliyo naiomba uwe mlinzi wake, tunakuomba MUNGU.
@majutojohn5598
@majutojohn5598 4 күн бұрын
😢Hakika Mungu Ameona na Kuonesha Haki
@TampeBra
@TampeBra 4 күн бұрын
Hongera sana Mwabukusi boniface. Kapige kazi kwa weledi
@TampeBra
@TampeBra 4 күн бұрын
Nkuba tulia
@isayaerasto7550
@isayaerasto7550 4 күн бұрын
Tunataka, vyama vya madaktari,ma engineer, waalim,na vingine wakatae kutumika na serikali
@nicholaussizya8054
@nicholaussizya8054 4 күн бұрын
Uchaguzi sahihi kwa Wanasheria wote 1274/941. Hongereni !