Пікірлер
@AWADHIHEMED-y1c
@AWADHIHEMED-y1c 23 минут бұрын
Mbona saidi chino kazeeeka
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Сағат бұрын
Mes wangumi mbona hayupo na Ibrahim mawe
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb Сағат бұрын
Mbona Salim mtango hayupo
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 9 сағат бұрын
Tony alimzidi kivingi sana Richard…
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 9 сағат бұрын
Hahahahaha!!!! Hamna Tony alikuja kivingine sana…
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg Күн бұрын
Niko makini ❤❤
@Qs3557
@Qs3557 Күн бұрын
Oscar bado Sana upo slow Mno na hauwez kumsoma mpinzan ulingon unaendaenda tu
@benjamachimo6424
@benjamachimo6424 Күн бұрын
Nakubal mwanangu dragon
@UKCTV
@UKCTV Күн бұрын
Kazkaz ndugu yangu banjamin
@davidkwisi8231
@davidkwisi8231 Күн бұрын
Kamanda anajua kuongea vizuri sana.my support.
@UKCTV
@UKCTV Күн бұрын
Kweli kaka mkubwa kwisi
@saiddgsmg
@saiddgsmg Күн бұрын
Acha unafiki ,roho mbaya tu ndo imekujaa yani ibra crass awe juu kuliko mwakinyo,roho mbaya itakuangamiza.
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Күн бұрын
Halafu we jamaa unawashobokea Nakozi au kuna Bwana yako hapo
@user-it2yv8dl4b
@user-it2yv8dl4b Күн бұрын
Nakoz Chama kubwa ❤
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Күн бұрын
Kumbe nawew umeona,ni Mke wa mfaume huyo
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Күн бұрын
@@emmanuelmayunga1518 atakuwa mke mke wa mfaume kweli
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Күн бұрын
Sasa wewe unamuuliza eti anaridhika na maamuzi ya Majaji kwahiyo unataka aseme hajaamini wakati amepigwa bondia wako
@nassorosaid-rp4dn
@nassorosaid-rp4dn Күн бұрын
Huyu bado sana yaani huyo Bwanga anamzungumzia lakini hamuezi hata majiha au juma choki bado sio level zake ajipange sana
@ogenylaurent7961
@ogenylaurent7961 Күн бұрын
Wewe ngumi umeza kuzijua jana bwanga bondia wa kawaida sana
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg 4 күн бұрын
Nipo mm
@Jumajumanne292
@Jumajumanne292 6 күн бұрын
Msenge maneno mengi alaph i fait mbona haipo you tube
@YusuphSemvua
@YusuphSemvua 8 күн бұрын
Bado tunamtambua Kiongozi wetu Chaurembo Palasa...ametufikisha mbali ktk ngumi za kulipwa Tz
@CharlesMbise-hc2sz
@CharlesMbise-hc2sz 8 күн бұрын
Tatizo lako wew una wivu na mwakinyo sana lkn atarudi kwenye top 1 mda c mrefu
@BESTMOVIES-fz8dt
@BESTMOVIES-fz8dt 8 күн бұрын
Pigano la abeid zugo na kimario video inapatikana wapi
@selemanismail4241
@selemanismail4241 Күн бұрын
Hawataki kuiposti 😅
@user-ch8ly8lq8w
@user-ch8ly8lq8w 8 күн бұрын
Tanzania bad sana
@philiphokoson1272
@philiphokoson1272 8 күн бұрын
UKC upo vizuri sana uchawi sio vitu vya kuviamini wanao amini ni wao safi sana
@UKCTV
@UKCTV 8 күн бұрын
Ahsante ndugu kwa kunielewa
@newfacie
@newfacie 8 күн бұрын
🔥🔥🔥 interview kali Sana
@mwlpierre
@mwlpierre 12 күн бұрын
Safi sana Champion Attanas
@user-pr5is9jb9f
@user-pr5is9jb9f 13 күн бұрын
Tutaingea
@user-md5bu5md2c
@user-md5bu5md2c 13 күн бұрын
Umeshinda mapambano 15 alafu unaanguka kama boya ww zugo jau tu
@amisiSalumu-u2q
@amisiSalumu-u2q 13 күн бұрын
Nakubali champion
@EagleShotokanTz
@EagleShotokanTz 14 күн бұрын
Ongela sana UKC Tv kwa Habari za Uwakika 👊
@UKCTV
@UKCTV 14 күн бұрын
Ahsante
@user-ih7nl5nv3c
@user-ih7nl5nv3c 14 күн бұрын
Kama auja smamia aki yako bongo hakuna wakukusmamia na ukiismamia wanakuona jeuli
@user-ih7nl5nv3c
@user-ih7nl5nv3c 14 күн бұрын
Mwakinyo akiongeaga mnamuonaga afai
@user-ih7nl5nv3c
@user-ih7nl5nv3c 14 күн бұрын
Bongo bado sana
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 14 күн бұрын
Hao jamaa waache tamaa dogo kauza uhai wake ulingoni wao wanaleta tamaa wapande wao ulingoni wapigane wasipende vyabure
@UKCTV
@UKCTV 14 күн бұрын
Kweli kabisaa
@user-ff7ls1xj1q
@user-ff7ls1xj1q 14 күн бұрын
Naqubal sana champion mdudu,tunaelewa uwezo wako nenda katuwakilishe vyema ngome boxing 🥊 na Tz nzima,Kwa mazoezin Yale phiri lazima apigike
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 14 күн бұрын
Kanifurahisha Sana kocha yatakikana hivyo
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 14 күн бұрын
Tz wajinga Kwann wasimpe mkanda wake
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 14 күн бұрын
Manjiha,manjia ndo nan??
@ramadhankhatwib8561
@ramadhankhatwib8561 14 күн бұрын
Zugo kumbe ni maneno tu huyu kimario alipigana na bwanabucha na pambano lilikuwa nzur mno
@AWADHIHEMED-y1c
@AWADHIHEMED-y1c 14 күн бұрын
Shelia ifwate mkondo wake
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 14 күн бұрын
Hii weight kweli ni yake?
@UKCTV
@UKCTV 14 күн бұрын
Alishuka na alipungua sana
@saididuri3518
@saididuri3518 14 күн бұрын
km kuna watu wameekeza ela zao kwako hawajui wanachotaka wew huwez kuwa bondia maybe km mtaendelea ku edit ngumi km unavofanya kiukwel kwa uwezo wako huna uwezo wa kumpiga bondio yyte wa uzito wako hapa nchini acheni drama kwenye boxing na km utaendelea wallah utakuja kufa kwenye ringi
@davidkwisi8231
@davidkwisi8231 14 күн бұрын
Nimeangalia had mwisho lakini sijajua matokeo ninini
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 14 күн бұрын
Toka bn
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 14 күн бұрын
Ukimsikia sasa akiwa anachambua mapambano ya wenzie😂😂😂. Bondia mwepesi kama karatasi
@didamugya6039
@didamugya6039 15 күн бұрын
ᴅᴏɢ ғɪɢʜᴛ
@rashidabdallah4856
@rashidabdallah4856 16 күн бұрын
Kapigwa kama Begi Abeid daaah
@BESTMOVIES-fz8dt
@BESTMOVIES-fz8dt 15 күн бұрын
Iyo video iko wapi
@carolfelix3075
@carolfelix3075 16 күн бұрын
Smart talk Zeno
@athanasmgungusi9996
@athanasmgungusi9996 14 күн бұрын
Thanks Brother CFelix , I appreciate kaka
@daudimatelot9339
@daudimatelot9339 17 күн бұрын
Kaza mdogo wng Tiger
@daudimatelot9339
@daudimatelot9339 17 күн бұрын
Stopper
@JamiliJuma
@JamiliJuma 17 күн бұрын
Acha ubwege ww mwanga mwakinyo namba moja kama unabisha wakutanishe na huyo fadhir wako uone kazi mwanga ww
@UKCTV
@UKCTV 17 күн бұрын
Hawawezi kukutana ndugu yangu sababu wanachezq uzito tofauti ila fadhili ndio bondia namba1 Tanzania nzima
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 17 күн бұрын
saf sana ila mnachelewa kutupia video mjitahidi
@UKCTV
@UKCTV 17 күн бұрын
Kweli lakini changamoto wakati mwingine tunapokua mikoani mtando ni shidah sana
@LucyKiruwai
@LucyKiruwai 17 күн бұрын
Mechi inaanza mida Gani vile?@UKCTV
@muddyzanga7476
@muddyzanga7476 18 күн бұрын
sijawahi kukuelewa ata kidogo
@franklinjoseph5487
@franklinjoseph5487 18 күн бұрын
No boxing pialali
@sheyosquad5755
@sheyosquad5755 19 күн бұрын
Mama mfaume