Пікірлер
@everlynechepkoech5649
@everlynechepkoech5649 2 сағат бұрын
Allah akbar
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 8 сағат бұрын
Haya maandamano na hisia za Gen Z,ni dhihiri kufeli kwa itikadi mbili: 1)Ilmaniya Itikadi ilojengwa juu yake mfumo wa kibepari na nidhamu yake ya utawala demokrasia Ambapo mwanadamu,mwenye mapungufu mengi ikiwemo: 1)Ubinafsi 2)Fikra finyo isoweza kuona mustakabali 3)Kutegemea nguvu na uwezo wa binadamu kuliko muongozo kutoka kwa ALlah Swt Haya na mengi,mwanadamu,ndie alojitwika jukumu la kutunga kanuni za maisha na kumpora ALlah Swt haki Yake hio 2)Itikadi ya kanisa Ambalo tangu mwanzo ndio lilochangia pakubwa kuibuka mfumo huu,leo pia yadhihiri mapungufu yake Wanasiasa wa Kenya walihusisha kanisa pakubwa kuomba kura. Na kanisa licha kujitenga kisiasa,likawa mbele kuwapigia debe. Yale yalokuwepona kabla ya mapinduzi ya Ufaransa 1789,ambapo kanisa kwa mapungufu ya mafundisho yake,yalishindwa kuwanasihi na kuwaongoza viongozi ndio leo yajirudia. Mkoloni alipovamia Afrika,alikuja na biblia mkono mmoja na bunduki mkono wa pili Wengi wa wamisheni walikuwa majasusi wa kibepari walovaa magwandwa ya upasta na upadri Kiasi cha kusemwa ktk political science kuwa, *Where the Cross(missionaries) went,the flag(colonialists) followed* Juzi kushindwa kwa kanisa kulipelekea kuzaliwa kwa nfumo wa kibepari demokrasia Hivi sasa kushindwa kwa kanisa na mfumo wa kibepari,kwapelekea kuibuka kwa Uislam kama suluhu ya kudumu ya muozo ulozaliwa na itikadi hizo mbili. Iwe ni karibu au mbeleni.Lkn ukafiri umebainika wazi kuwa kushindwa cha kumtatulia mwanadamu matatizo yake. Jee Waislam mwachangia vipi kuwaongoza waja wa ALlah Swt kuona nuru hio?!!
@Ahmad_musa_7
@Ahmad_musa_7 10 сағат бұрын
Leo ustaad hassan amechemka😅. Mashallah kazi nzuri, wengine maswali yao si kuelewa bali ni kuonyesha wengine propaganda zao na kupoteza wakati. Kama "mtume ameoa mwanamke mdogo", ama "majini ni waislamu".. na wana rudia rudia tu hizo maswali. Mandiko hawana.
@zuenahassan8882
@zuenahassan8882 12 сағат бұрын
Mashaallah baarakallah
@Fumokale
@Fumokale 21 сағат бұрын
Allah akuinulie khatua za kwenda HAJJ na umrah yaarabb mjaalie salim ngugi na mashaikh wenzake waende wakahiji na kumzuru mtume wetu s.a.w.....amiin
@salimdaawah123
@salimdaawah123 21 сағат бұрын
Aameen ameen ameen
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 Күн бұрын
Haya maandamano na hisia za Gen Z,ni dhihiri kufeli kwa itikadi mbili: 1)Ilmaniya Itikadi ilojengwa juu yake mfumo wa kibepari na nidhamu yake ya utawala demokrasia Ambapo mwanadamu,mwenye mapungufu mengi ikiwemo: 1)Ubinafsi 2)Fikra finyo isoweza kuona mustakabali 3)Kutegemea nguvu na uwezo wa binadamu kuliko muongozo kutoka kwa ALlah Swt Haya na mengi,mwanadamu,ndie alojitwika jukumu la kutunga kanuni za maisha na kumpora ALlah Swt haki Yake hio 2)Itikadi ya kanisa Ambalo tangu mwanzo ndio lilochangia pakubwa kuibuka mfumo huu,leo pia yadhihiri mapungufu yake Wanasiasa wa Kenya walihusisha kanisa pakubwa kuomba kura. Na kanisa licha kujitenga kisiasa,likawa mbele kuwapigia debe. Yale yalokuwepona kabla ya mapinduzi ya Ufaransa 1789,ambapo kanisa kwa mapungufu ya mafundisho yake,yalishindwa kuwanasihi na kuwaongoza viongozi ndio leo yajirudia. Mkoloni alipovamia Afrika,alikuja na biblia mkono mmoja na bunduki mkono wa pili Wengi wa wamisheni walikuwa majasusi wa kibepari walovaa magwandwa ya upasta na upadri Kiasi cha kusemwa ktk political science kuwa, *Where the Cross(missionaries) went,the flag(colonialists) followed* Juzi kushindwa kwa kanisa kulipelekea kuzaliwa kwa nfumo wa kibepari demokrasia Hivi sasa kushindwa kwa kanisa na mfumo wa kibepari,kwapelekea kuibuka kwa Uislam kama suluhu ya kudumu ya muozo ulozaliwa na itikadi hizo mbili. Iwe ni karibu au mbeleni.Lkn ukafiri umebainika wazi kuwa kushindwa cha kumtatulia mwanadamu matatizo yake. Jee Waislam mwachangia vipi kuwaongoza waja wa ALlah Swt kuona nuru hio?!!
@samxx411
@samxx411 Күн бұрын
Inshallah utaenda Makka kuhiji sheikh Salim na wenzio na sisi sote tulioamini Allah na mitume wake
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
SubhanaAllah.etingurue.imewakoseanini..hatari
@RAMATHANI-eu5dk
@RAMATHANI-eu5dk Күн бұрын
Mashallah macheikh wetu.
@254trends
@254trends Күн бұрын
Mash Allah maustadh wetu kwa kazi nzuri tuonesheni view ya hio area yote si reli tu inshallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Inn shaa Allah
@ibnass2202
@ibnass2202 Күн бұрын
Eti kubatizwa ndio kuwa mkristo!!!!!
@rizikiyahya9565
@rizikiyahya9565 Күн бұрын
assalaam alaykum.Allaah awalipe mema kwa kazi nzuri munayoifanya.Kwa wale ambao wanasema hawana dini ni wapagani wafunzeni pia naona hapa ameambiwa hana swali akaondoshwa lakini mungemfunza ili akiondoka na yeye akawa ame elimika yaonekana wazi kua hajajua ashike njia ipi.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah hilo tutarekebisha
@MkambaSaleh-kr7pi
@MkambaSaleh-kr7pi Күн бұрын
Kwasababu gani hawa wakristo uongo wa wachunaji wanaukubali haraka kuliko ukweli wa kuraan
@ibnass2202
@ibnass2202 Күн бұрын
Duh huyu bwana kachanganyikiwa!!!!
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
SubhanaAllah.chuki.zingine.Eti.marashi.kweniilazima.huyu.wawapi.maumbile.atakyo.mungungu.haichagui.viumbe.hatamti.inakilema
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt Күн бұрын
SbhanaAllah..huii.tishuuu
@faridbashuu
@faridbashuu Күн бұрын
Barakallahu Feek Sheikh Hassan. Wabishi hio Ndio Dawa Yao, Kitabu ni chao na wanakipinga Hadharani Subhan'Allah. Kitaeleweka tuu.
@Sal.0
@Sal.0 Күн бұрын
Ustad Salim na Team mzima, May Allah bless you all with a trip to Mecca! Ameeen.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Aameen ameen ameen
@Sal.0
@Sal.0 Күн бұрын
Mafundisho Makali, yet again! MashaAllah. Huyu jamaa ame somewa the FULL HISTORY ya biblia ku TUNGWA na ku andikwa na MaKAFIRI na WaPAGANI wa Mji wa ANTIOCH, lakini BADO ana fikiria eti Biblia ni kitabu cha Mungu??? Sasa Sijui kama WaFRIKA ni Ma KURUTU, au Kicha Ngumu, au wako na NUSU Bongo, whereby HAWANA capacity yaku jua Biblia ni STORYBOOK tuu, ya WaZungu! Na kwani hawa jui ANTIOCH is in a different World from Yesu, na ni 950km away, from Jerusalem?? Na ya kwamba, Antioch uli kuwa MJI KUU wa Ma CRUSADERS, walio tumwa kuwa IBIA WaARABU mali zao kwenye CARAVANS zao from China? Ai, people, wake up. I simply do not understand these Guys! TabarakAllah Team na Wa bebaji Vitabu.
@ibnusleyyum9743
@ibnusleyyum9743 Күн бұрын
MashaaAllahu
@josemu870
@josemu870 Күн бұрын
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu barikiweni
@hashimswaibu9827
@hashimswaibu9827 Күн бұрын
Hasani punguza jazba then Majibu vizuri
@hashimswaibu9827
@hashimswaibu9827 Күн бұрын
Hasani hujawatendea haki waulizaji maswali wazuri ila huwapi Majibu mazuri
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk Күн бұрын
Masha Allah Masheikh
@abdalaauame3863
@abdalaauame3863 Күн бұрын
Mashalla ustaz salimo wanhugue
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah Күн бұрын
Tangia nifatilie channel yako cjawah pitwa na siku bila kuangalia video zenu mnafanya kazi kubwa Allah awalipe ujira mwema In shaa Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Күн бұрын
Aameen ameen ameen sote pia wewe Allah akupe umri mrefu wenye baraka
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah Күн бұрын
@@salimdaawah123 aamin
@mohagurey2214
@mohagurey2214 2 күн бұрын
Anasema yeye hajui na wewe uambie maana ya tu umoja, kisha ukitaka kuambia anaruka tena
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Hawa wengi wao hawajui kama hawajui na hawajui
@mohamednurmohamed8812
@mohamednurmohamed8812 2 күн бұрын
Mash ALLAH alhamdulilah Neema ❤❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Alhamdulillah
@jawadimwalim3634
@jawadimwalim3634 2 күн бұрын
Sheikh Salim , Na kitu watu wengi Hawajuwi nikwa katika Inchi ya Greece 🇬🇷 the greeks Language Wao wanatambuwa kuwa Bibilia nikitabu Chochote yani hata kitabu cha History wao wanaita Biblia History, Biblia Mathematics, Biblia Geographi, ukienda Greece usije kwenda Shop ukauliza Biblia 😂 watakuuliza gani ya History Ao Geographi 😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
😂🤣😂🤣😂 hapo umegonga ndipo
@Sal.0
@Sal.0 Күн бұрын
Hio Kali na Ukweli!
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 2 күн бұрын
Maasha Allah.
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 2 күн бұрын
Allah amzidishie juhudi elimu hekma na afya mtagaze lailaha ila Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@user-pg9bv9rr4p
@user-pg9bv9rr4p 2 күн бұрын
Mansha Allah.. This is one of the best of sheikh salim clips.. Mungu aku linde. With alot of love from Leeds 'uk
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@daidibrahimadam482
@daidibrahimadam482 2 күн бұрын
MASHALLAH. LEO KUMECHEMKA.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Kabisa wataelewa tu inn shaa Allah
@Idysalim
@Idysalim 2 күн бұрын
Masomo ya leo imeeleweka kabisa Ma-Sha-Allah, Allah awaongoze awafungue mioyo yao wakaielewa dmna kujua njia ya haki
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Inn shaa Allah
@jrmr7517
@jrmr7517 2 күн бұрын
as salaam aleykum warahmatullah wabarqatuh? shekh salim kuna swali nilikuuliza whatsapp hukunijib
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh swali gani hilo
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 күн бұрын
MashaAllah tabarkallah sheikh Salim.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Alhamdulillah kindogo kindogo wataelewa tu inn shaa Allah
@adrisshagi1255
@adrisshagi1255 2 күн бұрын
Naa Süleyman asw. Maqdis
@mohamedmubarak7898
@mohamedmubarak7898 2 күн бұрын
Sheikh salim ngugi masha Allah. All the way from denver colorado usa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Masha Allah alhamdulillah
@mwangimuhammad-sx9hb
@mwangimuhammad-sx9hb 2 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...moto sana leo ndani ya field,,,Allah awahifadhi nawapenda sana
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aameen ameen ameen sote
@user-te3ir8yh6k
@user-te3ir8yh6k 2 күн бұрын
Assalamualaikum sheikh Salim jee huoni itakua Bora mfano swali kama nani ameiandika QURAAN urudishe swali kwake nani ameiandika biblia
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
@abdallahazizi999
@abdallahazizi999 2 күн бұрын
Naitwa Abdurahman Mustafa Muhammad Mwenyezi Mungu awahifazi awape uvumili
@abdallahazizi999
@abdallahazizi999 2 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awape uvumilivu ili muwavumilie viumbe wa allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Aameen ameen ameen
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 күн бұрын
Maasha Allah..Vipenz vya ALLAH na MTUME wake Swala na Salaam ziwe juu yake.ALLAH awanyweshe maji siku yenye kiu kali kutokana na kukauka makoo kwa ajili yake.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Aameen ameen ameen sote
@bahsansheikh6042
@bahsansheikh6042 2 күн бұрын
ALHAMDULILLAH
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Masha Allah
@Shilangadi
@Shilangadi 2 күн бұрын
Mashaallah
@MashoAbdi-m6n
@MashoAbdi-m6n 2 күн бұрын
Ya leo imewaka 🔥MashaAllah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Wataelewa tu inn shaa Allah
@Jingajinga64
@Jingajinga64 2 күн бұрын
Assalamu Alaykum sheikh. Huyo asiye na dini kazi ni ndogo kwake kwa sababu ashasema lailaha amebakisha illallah.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh yeah Allah ampe hidaya
@spinicahakama4500
@spinicahakama4500 2 күн бұрын
Mashallah Leo nmefika mapema ❤❤
@salimdaawah123
@salimdaawah123 2 күн бұрын
Masha Allah
@collinstogoch761
@collinstogoch761 2 күн бұрын
Mashallah
@abdiidaawah-yv9bg
@abdiidaawah-yv9bg 2 күн бұрын
Kimeeleweka
@spinicahakama4500
@spinicahakama4500 2 күн бұрын
Mashallah Leo nmefika mapema❤❤
@jasminmohamed6145
@jasminmohamed6145 2 күн бұрын
SUBHANALLAH LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM Barakallahu Feek