Muhimu wanaotoa shahada wakifa na sio VIBUDU. Zogo skuizi tumelizoea
@tracertrailparnamirim14 сағат бұрын
Very good. Beautiful video from start to finish, congratulations! It was a pleasure to watch in its entirety. Have a good week. Greetings from Brazil BR
@AbuuSaad722 сағат бұрын
Na wala hakuwa na mataasisi
@othmanhaji862Күн бұрын
Shukran Sheikh Allah akupe kheri ya Dunia na Akhera
@Hud_hud_SalafiyКүн бұрын
Amiiyn
@abubakarIddi-vf3bzКүн бұрын
بارك الله فيك يا شيخنا
@Hud_hud_SalafiyКүн бұрын
Amiiyn
@user-wo7xl2ey8yКүн бұрын
Yani ww kama huelewi hii dawa siujui kama kingine utaelewa nduzangu
@user-lp3gi5wd4eКүн бұрын
Kuna masheik wanasema, Maneno ya sheik rabiu nisawasawa na WAHYI hu ni uzushi uliopitiliza!!.
@KaramaKarama-jm7qo2 күн бұрын
MASHAALLAH SHEIKH ABUU HASHIM.UKWELI MTUPU.WAISLAMU TWATAFUTA NINI HASWA KWA MAANDAMANO?WAKATI TWAJUWA KABISA RIZKI YATOKA KWA ALLAH?KEMU TUZINDUNGENI WAISLAMU NAWAOMBA TUACHANE NA MAANDAMANO
@Hud_hud_Salafiy2 күн бұрын
Sahihi sana
@hamzakimaro37642 күн бұрын
wakenya,watanzania serekali haigawi UTAJIRI!! ?fanyeni kazi kwa nguvu na kumtegemea ALLAH(MUNGU) Ndiye agawaye RIZIKI!! acheni kufanya fujo barabarani na kuharibu mali za wengine!@
@Hud_hud_Salafiy2 күн бұрын
Sahihi sana
@ilhamhaji86502 күн бұрын
Umeeleweka walillahil hamd Allah atujaalie ni wenye kuyafanyia kazi
@Hud_hud_Salafiy2 күн бұрын
Amiiyn
@salehaljadidi82062 күн бұрын
Si nyie ni wauaji pia kama hao Taliban, kwa hiyo Adullah Hudhud na Kassim Mafuta ya nguruwe nendeni mkalipize kisasi.
@AbdulazizMohammed-wi8qz2 күн бұрын
Assuud alitawalishwa na maayahud
@rawalidrajabu53602 күн бұрын
Allah akuhifadh shekhe wet
@Hud_hud_Salafiy2 күн бұрын
Amiiyn
@hafidhsalum-jp2mw2 күн бұрын
Baada ya maandamano maisha yatazid ugumu mara 10 ya iyo finance bill
@Hud_hud_Salafiy2 күн бұрын
Sahihi sana
@user-dl9lu9mj5u2 күн бұрын
Barakallah fyikah
@Hud_hud_Salafiy2 күн бұрын
Amiiyn
@rushu12322 күн бұрын
Mimi sio shia lakini ajabu history ya Sayyidnal Hassan lakini ya Sh.Mohd Abdulwahab hamuijui basi ndio hao masharifu munaowachukia.
@Nuru_ya_sunnah.official2 күн бұрын
maa shaa allah
@BizimanaMuhamed-yo2pq2 күн бұрын
Tunaelekeya wapi Umma
@user-om2ur5by9n2 күн бұрын
Washenzi tu hawa si wanachuoni ni mbwa wabwekao
@pavillioncry52413 күн бұрын
Ni sawa lakini Lete dalili ya kwamba maandamano hayafai
@YazidSalum2 күн бұрын
Sisi tunakuuli kwa ww unae andamana wapi MTUME Aliandamana
@OmarAlly-iz8ot3 күн бұрын
Hii ndio faida ya ikhlaasw na makusudio mazuri ktk da'wa. Na haya ndio matunda ya elimu ilio rithiwa, haihitaji nguvu na vitisho vya watawala
Hayoo mamboo yamewashinda wenyewe sembuse nyie munaopinga kwa kutumia microphone ,,, kuleni mulalee mambo ya vitaa sioo kwa ajir yenu
@khamisrubea50833 күн бұрын
Bora uwakumbushe
@Hussein-Abu-Fathiyyah3 күн бұрын
Dola ya kislamu haitasimama kwa maandamano
@Hud_hud_Salafiy3 күн бұрын
Sahihi sana
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui3 күн бұрын
Alban kibaraka wamayahudi
@Hud_hud_Salafiy3 күн бұрын
Rete ushahidi
@Wastara0012 күн бұрын
Lete dalili. Acha kupayuka
@othmanhaji8623 күн бұрын
Shukran Sheikh Allah atujalia tufuate Haki
@Hud_hud_Salafiy3 күн бұрын
Amiiyn
@YusuphSadiki3 күн бұрын
Amii 🎉
@abdulmohd68803 күн бұрын
Kwaio kionhozi aachiwe afanye anavytaka au sio? Afanye dhulma ufisadi aachiwe tu em tuache aloo
@suhailsodeh54443 күн бұрын
Swadaktaa
@suhailsodeh54443 күн бұрын
Allah akuhifadhi daima
@user-nr3ym2ku6y3 күн бұрын
Maandamano ni shari zaidi kuliko kinachotafutwa
@Hud_hud_Salafiy3 күн бұрын
Sahihi sana
@hamzamwaya4633 күн бұрын
Mimi nakuombea sana kwa Allah ili akuoe umri Mrefu na wenye manufaa ili uitanabaishe sawasawa da3wa hii. Maana kwa kalima yako hii nzito, Allah aitie nguvu. Allah akubariki wewe na familia yako. Nakupenda saana sheikh wangu kwa ajili ya Allah
Kukusikiliza wewe ni HARAMU HARAMU HARAM BORA KULA NYAMA YA NGURUWE
@ABUUDAHDAHКүн бұрын
Allah akuongoze,Yani unaona kuxkiliza haki ni Bora ule nguruwe subhannallah .
@suleimanahmadaali598916 сағат бұрын
Namuomba Allah akuongoze na akuthibitishe katika hakki😊
@azizaj7763 күн бұрын
Mpumbavu wewe Muhuni MUAWIYA NINI KICHAA WEWE , Wewe na Muawiya na masalafi wenzako finarry jahanama - AMEEN 🤲🤲🤲
@azizaj7763 күн бұрын
Hata unipe alama ya Kopa KUL SALAFY FINARI JAHANAM - AMEEEN 🤲🤲🤲🤲leo duniani UISLAM unajulikana dini ya kigaidi sababu ya WAHABI , ANSWARI SUNA , SALAFI NDIO MLIYOISHAFUA JINA LA DINI HII TUKUFU INSHAALLAH JAHANAM MUWE MAKAZI YENU -AMEEN 🤲🤲🤲
@AbAlhuraas2 күн бұрын
Je inaingia akilini Muwandishi wa Wahyi wa Mtume Awe fiinari Jahhnnam, Acha jabza kijan
We jamaa haujui unacho kiongea ukiandamana hata kama kiongozi ni kafili HAIFAI kumpinga kiongozi KWASABABU Kiongozi anajeshi ww ukienda kuandamana ukipigwa kwenye maandamano umeacha familia yako faida yake ni nin Kwanza unapata MADHAMBI kumuasi Allah katik KAULI yake pili umeitia thiki falimy yako
@Hud_hud_Salafiy4 күн бұрын
Sahihi sana
@abubakarhussein21863 күн бұрын
@@YazidSalum huo ndo ujinga mliomezeshwa ww lini utakuwa na jeshi wakt unamuogopa kafiri? Pili mtume alipigana na watawala wakikafiri katika vita zote ww unawatetea wasipigwe kisa wanajeshi mtume alihama akatengeneza jeshi ili kupambna na makafiri vipi nyie mbn hamn hata mipango yakutengenexa jeshi wakt mnatawaliwa na kafiri mmerzika kabisa kudhulumiwa cndio
@YazidSalum3 күн бұрын
@@abubakarhussein2186 Hivi unajua ili dola ya kiislam isimame inazingatiwa na mambo Gani ? Na vp kuhusu wale WALIO PINGA utawala wakamuuwa mtawala kwa madai Yao kuwa mtawala ni dhwalim na Alikuwa anawauwa wanawachuoni WA kisunna HUYO MTAWALA ANAITWA MUHAMMAD GADAFI unajua KINACHO WAPATA asaivi kwenye ile nchi?
@YazidSalum3 күн бұрын
Kosalao kubwa WALIMPINGA mtawala na wakamuuwa KINACHO WAPATA asaivi wanajuta
@pavillioncry52414 күн бұрын
Uwongo tuu
@user-km5sy7iy7y4 күн бұрын
Sheikh maandanano yakenya sio maandano yadini bali nisiasa
@adamjutto58494 күн бұрын
Nakumbuka hii audio ya miaka ya nyuma saanaa,na aboud allah amsamehe nae hakuielewa hii qadhwiyyah
@Hud_hud_Salafiy4 күн бұрын
Sahihi sana
@abduwahabi70193 күн бұрын
@@adamjutto5849 huyu abuodi uliemtaja yeye ninani na vipi kadhia yake?
@Abuqayyim1573 күн бұрын
Unamzungumzia aboud unamjua vizr kweli wewe
@adamjutto58493 күн бұрын
@@Abuqayyim157 hhhhh acha chazba soma kijaanaa,hayo mambo anayoyazungumza sheikh abul fadhwli,huwezi kuyaelewa kama sio mfatiliaji wa mambo,qadhwiyyah hiyo imezungumzwa na maulamaa akiwepo sheikh ibnu uthaymiim,al albaanii,n.k aboud rogo aliizungumzia hii qadhwiyyah,lkn hakuielewa,unanizuliza mimi kumjua aboud rogo sioo hhhhhh? We tulia soma,acha jazba.
@user-wo7xl2ey8y4 күн бұрын
Sheikh allah akuhifizi unasema sio kwa masilihi yako ila ambaye anajifanya aelewi atakuwa akili mungando t
@Hud_hud_Salafiy4 күн бұрын
Sahihi sana
@ABUUDAHDAHКүн бұрын
SHEIKH Allah akuhifadh,mashaallah unauzindua umma Kwa taufiq yake Allah namuomba ajaaliye daama salafiy itawale
@JosMatty-bq9ii4 күн бұрын
allah akuhifadh sheikh wetu qassim mafuta
@Hud_hud_Salafiy4 күн бұрын
Amiiyn
@abduwahabi70194 күн бұрын
Hii nimiaka ya nyuma sana allah amhifadhi shekhe wetu kapambana kwa hali na mali kuitangaza daawatussalafiyyah na amefanikiwa