KZ
faq
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZfaq
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
Жазылу
HELU Recap
Karibu kwenye KZfaq channel yetu HELU Recap, kituo chako cha kwanza na cha kipekee kwa muhtasari wa kuvutia wa filamu ambao unaletwa kwako moja kwa moja youtube. Kituo chetu kimejitolea kufupisha kiini cha sinema maarufu, vito vilivyofichwa, na filamu za jadi zisizopitwa na wakati katika muhtasari wa kina na wa kuvutia. Iwe unatafuta kujua habari za hivi punde au kurudia filamu unazozipenda, HELU Recap inakupa muhtasari wa kupendeza na wa kufurahisha unaoangazia vipengele muhimu vya hadithi, nyakati za kukumbukwa, na uchanganuzi wa kina, kuhakikisha kuwa hupitwi na chochote katika ulimwengu wa sinema.
Jiunge na jamii yetu inayokua ya wapenzi wa filamu kwa ku-subscribe. Iwe wewe ni mpenzi wa sinema mwenye uzoefu au mgeni katika eneo la filamu, kituo chetu kimeundwa ili kuburudisha, kuelimisha, na kuhamasisha. Bonyeza kengele ya arifa ili upate masasisho ya video zetu mpya, na usisahau ku-like na ku-comment pamoja na ku-subscribe. Ahsante na karibu sana.
16:47
MREMBO NA MPENZI WAKE WANUSURIKA KIFO NA JELA KISA MALI ZA URITHI!! | Movie 🎬 |
14 күн бұрын
15:31
JAMAA ANACHEPUKA NA BINTI ANAEJIUZA!! |Movie kwa Kiswahili |
14 күн бұрын
11:26
TAJIRI ALIYEPOTEZA KUMBUKUMBU KATIKA AJARI MBAYA AGUNDUA YALIYO SIRINI!! | Movie kwa Kiswahili.....
Ай бұрын
14:51
MKE NA MTOTO WA MZEE HUYU WAPATA MIMBA KWA WAKATI MMOJA!! TAHARUKI!! : Movie kwa Kiswahili..
Ай бұрын
Пікірлер
@estertabu388
4 күн бұрын
Movie nzuri ❤❤
@AlfanMjovangwa
5 күн бұрын
4:49 4:49 ❤
@AlfanMjovangwa
5 күн бұрын
Sem sister saut iko chin san
@MwanaidothumanOthuman-te5nb
6 күн бұрын
Hongera mwaya upewe maua yako🎉🎉🎉
@HELU-RECAP
Күн бұрын
Sante lov
@BestFabrics
6 күн бұрын
❤❤
@FranckoMtegecki-ly8sh
7 күн бұрын
@kagalukifamily
@PhantomGhost-mt7pe
9 күн бұрын
🔥🔥🔥
@LovenessJames-j9o
10 күн бұрын
Wamenifurahisha awa wajawazito apo mwishon😂
@LovenessJames-j9o
10 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Thekidyouknow29
13 күн бұрын
We are here to support you big up
@HELU-RECAP
12 күн бұрын
Yoooh!!!! This just made my day😔😍🙏Ahsante sana. God bless you!!!!!
@FinTechDOLLARS22
14 күн бұрын
Anaza banger😂😂🎉kuna watu wanaroho ngumu
@HELU-RECAP
12 күн бұрын
😀😀😅
@LizyGelvass
17 күн бұрын
Yani uyu kaka analoo mbaya sana
@LizyGelvass
17 күн бұрын
Uyo dada viki niatali
@user-ty1zq2iw3d
18 күн бұрын
Sijachelew sana nipen like zang ❤️❤️❤️🎉
@ReginaDunia
18 күн бұрын
Wapili 🎉🎉🎉🎉 like zenu naoba
@FinTechDOLLARS22
18 күн бұрын
Mambo ayoooo keep going ❤🎉
@user-ty1zq2iw3d
26 күн бұрын
❤❤❤
@faridaali2820
26 күн бұрын
❤❤❤lete vitu manzee viwe virefu🎉🎉❤❤
@ReginaDunia
28 күн бұрын
Watatu mimi ❤❤❤❤
@SadaNusra-dt5tx
Ай бұрын
Nzuri
@FinTechDOLLARS22
Ай бұрын
ila wanawake haya bana.......
@PauloMtalimbo
Ай бұрын
Wa kwanza mm
@SitaraManeno
Ай бұрын
Uko poa dada endelea ivyo hivyo movie iko👍❤❤❤
@elvinakalu6991
Ай бұрын
Ni tamu sana
@user-zx1xs4zt7g
Ай бұрын
Umeboa sn
@HELU-RECAP
Ай бұрын
😢❤
@samuelmutua-j9l
Ай бұрын
Mwanamke broo
@NoorynMody
Ай бұрын
Kwani mtangazaji mwanamke au mwanaume nauliza to maana sauti siielew
@HELU-RECAP
Ай бұрын
Jamani wewe😆
@WiskdyMugaya
Ай бұрын
Mhmmmm jamani😅😅😅😅😅😅😅
@fellybrowntz177
Ай бұрын
Jitahidi kuongeza sauti
@HELU-RECAP
Ай бұрын
Ahsante sana nitajitahidi🙏❤️
@HappynesHuseni
Ай бұрын
Jani namm nimewahi comment zen