Пікірлер
@SeuriMollel-im5yw
@SeuriMollel-im5yw 13 сағат бұрын
Uachage uongo tafuta taarifa ya maana wwe mtangazaji
@husseinkashindi9108
@husseinkashindi9108 5 күн бұрын
Kazi nzuri
@niyorukizaelias8142
@niyorukizaelias8142 5 күн бұрын
Ahsante sana kwa utalii huo watching from Burundi mukoani makamba
@misagosylvestre3356
@misagosylvestre3356 5 күн бұрын
Makamba sehemu gani ndugu?
@niyorukizaelias8142
@niyorukizaelias8142 5 күн бұрын
​@@misagosylvestre3356kayogoro wilayani kama unapajua.
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f 7 күн бұрын
Hiyo sio meli
@HusseinMchomvu-h5c
@HusseinMchomvu-h5c 7 күн бұрын
Mh Rais Samia hongera sana ila Jerry Salaa hapo kwenye wizara ya Ardhi alikua amefiti sana, lakini nakupongeza sana kazi iendelee.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Eti ccm oyee 😂😂😂😂 kweli hawa watu wa kijani wanatuchelewesha
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 Ай бұрын
Hauna hoja kaka
@MwesigePoul-bg4jd
@MwesigePoul-bg4jd Ай бұрын
Wewe nimsanii unakipaji
@finiastambwe9330
@finiastambwe9330 Ай бұрын
Wamefanya vizur kusogeza mbele
@matalo0551
@matalo0551 Ай бұрын
Prove kwa documents unachokisema kama nisahihi! Mana projections za miradi yote aliyoacha mwenda zake, ilikuwa ni zikamilike mapema, lakini haupo hata mradi uliokamilika kwa asilimia mia licha ya kukopa kuwa kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita! Turitarajia kwa kuwa pesa ipo, iwe imeshakamilika! Hakika mtuondolee siasa zenu uchwala!
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
Hizi hotuba hazina miguu na kichwa. Marehemu Magufuli kama alianzisha, asingeshindwa kumaliza. Maisha yake yalikatishwa. tu. Haijawahi kutokea duniani raisi akapotea ghafula, baadadaye munatangaziwa kifo. Bila yeye wala tusingekuwa tunazungumzia SGR, daraja la Bushishi/Shigongo na siyo Busisi/Kigongo, ATCL au bwawa la Nyerere. Hii haina maana raisi Samia hajawajibika.
@mayanmlingwa4250
@mayanmlingwa4250 Ай бұрын
Siasa na unafiki ni mapacha
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
issue sio kufanya pesa za kufanya na materials wanazo maana hiyo miradi inakuwa financed na Xi Jinping hiyo ni sera ya china kwa nchi maskini kwa ajili ya ku expand Biashara yake inaitwaje BLI kasome kwene sera za china
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Madaraja 6 Bora hizi sifa za kizamani na ujinga
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk Ай бұрын
Daraja tunataka likamilike.. Ubora gani bhana mnasifia ukinga hela za mikopo...
@benoseaone
@benoseaone Ай бұрын
Ndoto yangu kazi iwe masaa 24 kwa sector zote.
@eliudezekiel8615
@eliudezekiel8615 Ай бұрын
Kazi nzuri ya Mzee magu lala salama baba tunatembelea maono yako hakuna kilichongezega zaid ya madeni
@knight6757
@knight6757 Ай бұрын
Mbona inatoa moshi nyeusi ?
@user-zi1lr8wk3w
@user-zi1lr8wk3w Ай бұрын
Mbona wamekopy kwa mv mapinduzi ya zanzibar
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 Ай бұрын
SAWA KABISA HIO MELI SAWA NA M MAPINDUXI TWO ILA YETU TULIPIGWA HII NI MPYA
@user-rx7te2px5d
@user-rx7te2px5d Ай бұрын
Faida nyingi sana tumekubali,,lakn mbona mmechelewesha ama siasa...
@jailosjames673
@jailosjames673 Ай бұрын
400t = na malori 12 -13 acheni kutuongopea bwana
@kamilikapeta2574
@kamilikapeta2574 Ай бұрын
Ubabaishaji
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube Ай бұрын
Mashine inatumia upepo badala ya umeme ndiomana zinazama sio karne ya vitu vya ovyo
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
Huna akili na unaongea kama mwehu huna uzoefu wa vyombo vya majini na macheneries kwa ujumla, na kama kuzama vipi kile chombo kilichoua mabilionea tena kwa nauli ya juu mno na hata hakikuonekana unakizungumzia vipi, acha kuwa na fikra za kitumwa, hivi ndege zinavyoanguka kila siku unaelewa sababu au meli zinazozama unatoa maoni gani ili zisizame. Hiyo miaka unayozungumzia ilikuwa inatumika mifumo mengine na siyo ya upepo, siwezi kukupa faida kwa vitu usivyoelewa hata kidogo just be there where you are
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube Ай бұрын
Ebu kaka usiingilie comment za watu wanaojielewa samahani
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 Ай бұрын
Upepo ni WA kuwashia eng ni kama self starter sio ubovu ni model ya engine
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 Ай бұрын
@@Onlyforfun1992tube wewe unajielewa? Kweli? Ulishawahi kujiuliza ndege mpaka inaruka inatumia mfumo gani wa kuwasha engine mfumo gani wa kufanya mpaka iruke na mfumo gani unatumika kuweza kukata kona na hata kuiongoza ndege? Ndege zinamabawa mawili na mkia kwa nyuma na hivipo kama mapambo kila kimoja kina kazi yake je hufanyaje kazi? Ukiweza kujiuliza maswali kama haya at least hauwezi ongea pumba, na rudi hapa kistaarabu kwa hoja sio kwa vioja. Ukisema hainihusu je wewe inakuhusu? Ndio maana nakwambia haujielew nikiwa kama mtanzania napaswa kulinda nchi yangu kwa wivu mkubwa hivyo inanihusu kwa asilimia zote kama mlipa kodi na kama mzaliwa na mzalendo wa mama Tanzania.
@frankfortidas4683
@frankfortidas4683 Ай бұрын
Huyu engineer anajua
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 Ай бұрын
Kaiacha iko aslimia gapi
@KijanaDigital965
@KijanaDigital965 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@SalumMfaume-on2ks
@SalumMfaume-on2ks Ай бұрын
unaongea usenge tu
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 Ай бұрын
Kafa na ndoto zake
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z Ай бұрын
Daah hadi leo haijakamilika tu. Kweli magufuli amekufa na ndoto zake angekuwa hai reli, bwawa la nyerere, hizo meli na daraja la magufuli vingeshakuwa mzigoni kitambo
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Ай бұрын
Sawa, lakini mama anapambana sana, tumuombee azidi kupambana ( kazi iendelee )
@RamadhaniWaziri-ut9ti
@RamadhaniWaziri-ut9ti Ай бұрын
Acha mamboyako
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Ай бұрын
@@RamadhaniWaziri-ut9ti 😩
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Ай бұрын
Mtafungiwa hata kuchota maji ya kunywa.ziwani .
@florangido202
@florangido202 2 ай бұрын
Unajua sana Leo Doto Kapanda Ndege kwenda China. Kapata Ubalozi Roho Inakuuma....subiri kichambo chake akirudi.
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 ай бұрын
Huo ndio uongozi uliotukuka , kiongozi kushirikiana na watu wote anaowasimamia
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 3 ай бұрын
Ee Mungu jamani kijana wa wa2 Alale Pema peponi.Hao viongoxi hamckiagi aibu wa2 kuliwa tu?
@nunumrisho6548
@nunumrisho6548 3 ай бұрын
Hilo beawa ni la asili wamelivamià nàlo limewavamia
@user-og9jt3mg4c
@user-og9jt3mg4c 3 ай бұрын
MIAKA61 YA UHURU MWANZA WAMEZUNGUKWA NA ZIWA LAKN WANANCHI HAWANA MAJI?!! AISEE!! KAZI YA VIONGOZI KUPONGEZANA MAJUKWAANI....!!! NILIDHANI NI SISI TU TUSIO NA MAJI KUMBE HATA MWANZA!!!! AJABU SANA. WACHA TUENDELEE KUTESEKA.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 3 ай бұрын
Hao watu wanakupigieni kula kuwa viongozi kutatua changamoto zao Mnawasahau Mkitukukanwa na wananchi Wabunge Mashoga Mnajitizama nyinyi na family zenu na majumbani kwenu maji mnayo Wabunge viongozi wengine WASENGE WAZEE
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 3 ай бұрын
Poleni sana jamani tuwe na uvumilivu bila shaka wamesikia viongozi
@malundaamani.gmai.
@malundaamani.gmai. 3 ай бұрын
Tatizo ilo ni ccm
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 ай бұрын
Mmebadilisha baada ya kuona mmehaibishwa
@sadikhussein3158
@sadikhussein3158 3 ай бұрын
Ndugu hapa kenya watu wanatafuna mirungi Hawa haribikiwi na akili tena ndio wanasoma kweli kizungu ni no Moja huko bongo wanaita haramu wacheni watu watafune mtu akiharibikiwa shida Yako nini😅
@MohammedJaizan-yf5yt
@MohammedJaizan-yf5yt 3 ай бұрын
Haikatia Tamaa ndio nini?
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 3 ай бұрын
Naomben like zangu jaman Nazalet utepe wewe ndo mchambuzi bora hapa tz❤
@maase2023
@maase2023 3 ай бұрын
Hizi sio nguvu za soda tu jamani?
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 3 ай бұрын
Mh.Mtanda uko vzuri, i hope Mwanza itaenda poa. All the best
@user-ot6hn5ye8b
@user-ot6hn5ye8b 3 ай бұрын
Umekuja kututumikia sisi bwana wewe umrudishie nani hisani, hisani turudishie sisi bwana
@user-ot6hn5ye8b
@user-ot6hn5ye8b 3 ай бұрын
Jamani ila hii nchi inaviongozi wa ajabu et ukituuliza tunahitaji katiba tutahitaji et jengo jamani kwahiyo bandari kumilikiwa mnaona raha haya hayo maji yako wapi sasa duuh ndio mnajipigia upatu hivyo haya alikuwa mkuu wa mkoa huyo je akipewa nafasi ya fulani kwenye chama
@costandunguru7603
@costandunguru7603 3 ай бұрын
Hizi tuhuma za Rushwa ni kubwa. Hivi ukiambiwa uthibitishe unaweza? Tusiwe wepesi wa kuhukumu viongozi wetu. Cha msingi ni kuwaombe ksb wanapitia mengi. Kny utumishi kuna walio wengi hupenda ukwame
@gibsonsimburya5291
@gibsonsimburya5291 3 ай бұрын
This is MAN enough to be so called. He is heading somewhere far. Don't judge low!
@richdsr3517
@richdsr3517 3 ай бұрын
Alilta MKUU WA MKOA muhimu sana!! Sijui hizi Tengua Tengua zinalisaid'hbe Taifa. Kiongozi anapokua na mipango ya miaka 3 ataitimizaje ndoto yake?