Пікірлер
@user-kw3yb2sh3s
@user-kw3yb2sh3s Күн бұрын
Shetani anamtanguliza Mungu katika kila neno analoongea. Ama kweli Mungu ni zaidi ya shetani, na shetani mwenyewe huyu hapa katuonesha ukuu wa Mungu 😂😂
@AminaTmoo
@AminaTmoo Күн бұрын
Aweee
@BONGOLANDTANZANIA-ux7uo
@BONGOLANDTANZANIA-ux7uo Күн бұрын
TAREHE 8️⃣ SIO MBALI by M'BONGO
@danielleonard3259
@danielleonard3259 2 күн бұрын
Mnazingua sanaaaaaa😢😢😢mnatuletea upigaji Sana yaani ingekua mnabomoa mnajenga upya tungewaelewa lakini inabiti serikali ijitasimini
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 күн бұрын
Sisi tunakufunga mdomo Kwa kuwashona magoli mengi ili ukimbie kama unavyokimbiaga na mwaka huu utajifisha wiki mzima wewe ngoja muda ufike domo Hilo litakuwa kimyaaaaa
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 күн бұрын
NA TUNAWASUBIRIA TAREHE NANEEEEE MAANA WEWE KAZI KUTUBANIA PUA TUU
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 3 күн бұрын
Kwenye kununua tiketi mashabiki Wa SIMBA awana mashaka je wewe msemaji Wao ukisha whi kuwahaidi mambo mazuri wakayapata maana timu yenu mbovuuu huna LOLOTE wewe watu wanaitaji ubunifu WA Hali ya juuuu siyo Kila siku msanii huyo huyo nyimbo hiyo hiyo aaaaah mnaboa bhana
@marymoshi572
@marymoshi572 3 күн бұрын
Yani leo umeongea point moja ya kisomi sana
@MRCARGOTZ
@MRCARGOTZ 3 күн бұрын
Ubaya ubwela
@BakaryOmally
@BakaryOmally 3 күн бұрын
Hapo nimekuelewa japo mi ni yanga ila msanii asipitilize ktk ushabiki
@empafricatv
@empafricatv 3 күн бұрын
Waache Siasa😂😂😂
@josepahatmargwe6504
@josepahatmargwe6504 4 күн бұрын
SUPU FC mnateseka , APR ni buridani hatumtaki kuamsha misuli
@empafricatv
@empafricatv 4 күн бұрын
Ila Ahmed 😂
@SidatiKulanatz
@SidatiKulanatz 4 күн бұрын
Kikeke
@dubai8594
@dubai8594 5 күн бұрын
MRUDISHEMI MZEE BABA KIUMANE FASTAR KIUFUPI NIMEMIS MTU WANGU WA MOYONI MR MZEE BABA JPM😢😢😢😢😢
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 5 күн бұрын
Ohoo huu Utakuwa msala kwa hawa Azam washereheshaji
@thadeylyimo9772
@thadeylyimo9772 5 күн бұрын
Azam @ atatoboa kweli kwenye CAF
@johnlucasmalekana1189
@johnlucasmalekana1189 5 күн бұрын
😂😂😂 wawe makini sisi tunasubir kiwacheka tu
@DenisRukangula
@DenisRukangula 5 күн бұрын
Yaani simba mmekosa timu Hadi mmechukua hiyo APR
@InnocentMwakyange
@InnocentMwakyange 5 күн бұрын
Sasa kama simba ni mbovu kuliko Apr basi ifungeni gori hata kumi kwa 0,maneno yako weka na akiba
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 5 күн бұрын
Karbu Simba tuko tayar kwamapambano na Apiara
@user-kz6ib1hf6l
@user-kz6ib1hf6l 5 күн бұрын
Kwa hiyo wanaweza simba wakachukua mkono au imekaaje hapo semaji
@romanambelle6356
@romanambelle6356 5 күн бұрын
Kwa hiyo mmeshazoeana haya😂
@Kelvinjoseph-jz7kq
@Kelvinjoseph-jz7kq 5 күн бұрын
Zanzibar inapendelew san Na bad hawakubl muungano.,,Na wa2 wake wacahche san,lkn nyerere angeyajua haya musoma 2singekuw nyuma ivo,
@Kelvinjoseph-jz7kq
@Kelvinjoseph-jz7kq 5 күн бұрын
Angekuepo jpm afcon ingefanyika Tanzania2,,,viwanja vingejengwa chap
@Kelvinjoseph-jz7kq
@Kelvinjoseph-jz7kq 5 күн бұрын
Angekuepo jpm afcon ingefanyika Tanzania2,,,viwanja vingejengwa chap
@Kelvinjoseph-jz7kq
@Kelvinjoseph-jz7kq 5 күн бұрын
Imekuaje bara ujengw uwanja 1,,,na Zanzibar 1,,, Kun mwanza inawa2 weng kuliko Zanzibar Au mmelenga utalii2,,,mnamahotel Zanzibar Na arush yafaidike hayo2?
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 6 күн бұрын
Nchi hii watu wanavisingizio sana kama vipi hao simba na yanga waambieni wasiutumie ili mmalize haraka, nyie bwana porojo tu, angalia uwanja wa Rwanda umejengwa kwa viwango vya kimataifa yaani saizi afrika mashariki uwanja bora ni wa Rwanda halafu nyie mnabaki na visingizio tu daaah😂😂😂😂
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 6 күн бұрын
Hzo ni propaganda tumezizoea mnaongez muda kwenye mirad yote hata kama hakuna dharura
@dahlainismail6837
@dahlainismail6837 8 күн бұрын
Utapeli tu kuoga aaah
@salminasalim5630
@salminasalim5630 9 күн бұрын
Safi sana mko sehemu gani ya DSM?
@jumannemohamedy1456
@jumannemohamedy1456 9 күн бұрын
Je na ile eneo lilio tengwaga pale Dodoma la uwanja mkubwa ulikuwa ujengwe mmefikia wqpi
@dittolytotz4285
@dittolytotz4285 9 күн бұрын
Wa kwanza kulike jamani mnipe maua yangu
@helenarhobi1250
@helenarhobi1250 10 күн бұрын
Ila Salim nikwambie ukweli wewe ni kipenzi changu tangu ukiwa BBC ila kusema ukweli hayo madevu yamekuharibu vikubwa bro kwani umekuwa Kama Alkaida yaani unatisha badala ya kuvutia kiukweli!!!!
@tupikepamoja9845
@tupikepamoja9845 10 күн бұрын
HIYO YA DIASPORA IMEANZA LINI? NA NINI UNATAKIWA KUFANYA
@empafricatv
@empafricatv 11 күн бұрын
Fundi kikeke
@tanzanite9944
@tanzanite9944 12 күн бұрын
Ule uwanja wa DoDoma wa capacity ya 100,000 ungefanikiwa kujengwa ingeipaisha TAnzania sana kimichezo.
@tanzanite9944
@tanzanite9944 12 күн бұрын
Uwanja wa Arusha uoongezwe Capacity kufikia 60,000 na sio 30,000 ya sasa. Atu waangalie mbele kuwa population inaongeeka sio kwamba itabaki milioni 62,000
@wilsonjaphet5547
@wilsonjaphet5547 4 күн бұрын
Wameangalia mhamko wa Mpira Kwa Arusha, ni kawaida Sana
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 13 күн бұрын
AIBU HAMUNA MZANZIBAR HATA MMOJA KISHA MUNAJIITA TANZANIA ACHENI UBAGUZI UO.
@user-vv9wb9he2x
@user-vv9wb9he2x 14 күн бұрын
Wewe ni family Respect
@JohnIshabakaki
@JohnIshabakaki 14 күн бұрын
Aise vp watu wengine wanaweza kutambulisha kampuni zao kupitia hii Ni Tar nfapi hili tukio
@user-je7gr4jv8o
@user-je7gr4jv8o 15 күн бұрын
Acheni utapeli tengenezeni viwanja
@honestyerasto
@honestyerasto 15 күн бұрын
Hivi ni kwanini huu uwanja utumike wakati kuna viwanja vingine. Kwani kabla ya uwanja huo mbona yanga na simba walikuwa wanacheza.
@George-dw7fu
@George-dw7fu 15 күн бұрын
Siasa tu mkilala mkiamka mnajiuuliza leo tukawandanganye vipi hawa wajinga otatizo michezo inachezwa hapo uwanjani kwanini msijenge viwanja vyakutosha mfano kilumba kwanini msiukalabati ukakizi vigezo kisha hizo timu unazosema zinacha hapo mkapa zikahamishwa mpaka ukabati ukamilike shida ya nchi hii viongozi huwa wanawaza kuiba mali kuliko kulitumikia taifa
@user-pw7xj2fn8l
@user-pw7xj2fn8l 15 күн бұрын
Huo uwanja badoo mbovuu njee una sura mbaya km zizi la ng'ombe na umepaukaa sana..kaangalieni amahoro rwanda 🇷🇼 na mandela uganda 🇺🇬 walivyo up grade their stadium...apa tz B31 zimepgwa kweupee...tz bado kichwa cha mwendawazimu..achenii siasa
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 16 күн бұрын
Karibu mkuu, PUNGUZA KUJIELEZA KAMILISHENI UKARABATI, SISI NI SOKA ,KAMA KUNA VIKWAZO, MHE RAIS WETU SSH AJULISHWE , SISI TUNATAKA MPIRA KWENYE VIWANJA BORA
@Tee-King
@Tee-King 16 күн бұрын
Tatzo kubwa la wakandarasi wa TZ 😅. Kila kitu lazima kichukue miaka na kiwe nusu. Mwendokasi,maharaja,barabara,majengo yani kila kitu lazima miaka 2 mpaka 5.
@batromeokolora622
@batromeokolora622 16 күн бұрын
Mwanza kanda ya ziwa ndiyo kunaidadi kubwa ya watu mikoa mwanza kagera geita tabora kgoma
@abdulyhassan3742
@abdulyhassan3742 17 күн бұрын
Shida ya Tanzania ni siasa vitendo hamna maneno mengi shame on you
@VedastusMathew
@VedastusMathew 17 күн бұрын
Ongeze viwanja vya kutosha ligi yetu imeshakua kubwa