VECTOR BORN INFECTIONS
6:55
5 жыл бұрын
Fall Armyworm: A Farmer's Nightmare
30:44
KIAZI LISHE ''MKATE WA GAIRO''
29:32
6 жыл бұрын
The first EJAT Award for SUAMEDIA
1:55
RUAHA NATIONAL PARK VIDEO
8:36
10 жыл бұрын
RUAHA NATIONAL PARK VIDEO 2
6:30
10 жыл бұрын
My Slideshow
0:13
10 жыл бұрын
Пікірлер
@sahraoui691
@sahraoui691 2 ай бұрын
I look forward to your visit and the establishment of an apiary in Tanzania 🎉🎉
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 Жыл бұрын
Can you please give reasons why Royal tour didn't include Ruaha NP. and Nyerere NP/Selous Game Reserve?
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 Жыл бұрын
Kwani Royal tour ni ya Northern Tanzania tu ? Siyo southern, western au eastern Tanzania??
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 Жыл бұрын
You have provided a Royal tour only for Northern tanzania parks , what about one of Ruaha National Park and mahare mountains in tĥe west? Also another one for Western Tanzania, and yet another one of Southern Tanzania?
@francismadoshi8529
@francismadoshi8529 Жыл бұрын
We need a Royal tour documentary for ruaha national park and Mahare Mts.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Nchi imebarikiwa sana hii but wapigaji wanairudisha nyuma
@mecky8993
@mecky8993 Жыл бұрын
Ruaha Iringa Tanzania karibu mbuga
@mecky8993
@mecky8993 Жыл бұрын
hii ndio Ifadhi ya Ruwa Iringa Tanzania mecky mseya
@swaleheurassa4535
@swaleheurassa4535 Жыл бұрын
Mwanzo mlikuwa wapi?
@dadkarimaminmirza9703
@dadkarimaminmirza9703 Жыл бұрын
Wanajifunza kuhusu kilumo
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Жыл бұрын
Kulima ni muhimu tutaishije Bira chakula cha msingi ni kutafita maji ya ardhini sio blabla kila kitu kutegemea mvua watu wenye akili huwa wanatafuta njia mbadala sio kuongea tu
@jemimap.ndejembi8981
@jemimap.ndejembi8981 Жыл бұрын
GOD has given human beings enough land to live on and enough land for animals as we’re all part of his creations therefore we have to stop being greedy and leave the national park for animals that’s their home People of GOD maeneo ya wanyama ni kwa ajili ya wanyama wa MUNGU tuliheshimu hilo
@jemimap.ndejembi8981
@jemimap.ndejembi8981 Жыл бұрын
Calvin tunaomba update ya recent video tuone kilichofanyika katika kipindi cha miaka 9 🙏🏾
@hoseamhabuka1072
@hoseamhabuka1072 Жыл бұрын
Kilimo mna kijua au ndo mnakijua cha kwenye daftari
@user-ir2jo7bl6k
@user-ir2jo7bl6k 2 жыл бұрын
🇧🇩🇧🇩🇧🇩🥰🇧🇩🇧🇩🇧🇩
@Truth4ever
@Truth4ever 2 жыл бұрын
Mmariiiii
@kevimwa7519
@kevimwa7519 5 жыл бұрын
Amaizing
@MarcoMngongo
@MarcoMngongo 6 жыл бұрын
where is the swahili version
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jbdyjbV5lcyXhqs.html
@adamwarucha1629
@adamwarucha1629 6 жыл бұрын
surely this is a dangerous to farmers
@chaulasilla4126
@chaulasilla4126 6 жыл бұрын
May God's blessings be with you Shem congratulations keep it up
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you soo much
@kaanaelimoshi5474
@kaanaelimoshi5474 6 жыл бұрын
Nimepata kitu kupitia makala hii asante sanaa
@gwabaralameck6587
@gwabaralameck6587 6 жыл бұрын
Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you soo much G
@gwabaralameck6587
@gwabaralameck6587 6 жыл бұрын
Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.
@gwabaralameck6587
@gwabaralameck6587 6 жыл бұрын
Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.
@gwabaralameck6587
@gwabaralameck6587 6 жыл бұрын
Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.
@gwabaralameck6587
@gwabaralameck6587 6 жыл бұрын
Once again valuable information, and information is our best weapon in the process of having a breakthrough in sustainable agriculture in Tanzania big up Bro.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you soo much
@kaanaelimoshi5474
@kaanaelimoshi5474 6 жыл бұрын
Hongera san kwa kazi nzur ya kuelimisha jamii
@kaanaelimoshi5474
@kaanaelimoshi5474 6 жыл бұрын
Santee sana kwa elimu hii nzuri nimejifunza jambo kupitia makala hii
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana Kaanael tuelimishe jamii
@jacquelinemajenda3364
@jacquelinemajenda3364 6 жыл бұрын
Congrats Mr Calvin, Kwakweli wakati sahihi ni wakati wa Mungu endelea kumtumaini na kuongeza juhudi katika kazi zako. Wewe ni shujaa
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you soo much Jackline
@kaanaelimoshi5474
@kaanaelimoshi5474 6 жыл бұрын
Wakati wa Bwana ukifika hakuna anayepinga hakika ulikuwa wakat wako Mungu azidi kukupigania na kukutetea katika kazi ya mikono yako
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana Kaanael
@elizariwa971
@elizariwa971 6 жыл бұрын
kazi nzuri sanaaa
@elizariwa971
@elizariwa971 6 жыл бұрын
hongera kaka
@onesmonyinondi7874
@onesmonyinondi7874 6 жыл бұрын
Well done Kelvin.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you soo much Onesmo
@vumilianandonde1104
@vumilianandonde1104 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana na inaelimisha sana. Big up afisa kilimo( Saidi Babu)
@gwabaralameck6587
@gwabaralameck6587 6 жыл бұрын
This is a type of information that farmers need to combat the issue of low yield in production. Very helpful information and we hope to receive more of this type information from this source 👏👏
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you soo much, so lets take this information to farmers
@jacquelinemajenda3364
@jacquelinemajenda3364 6 жыл бұрын
Elimu hii inabidi iwafikie wengi zaidi ili kupambana na hawa wadudu ambao haswa wanaharibu mazao ya chakula na kuleta janga la njaa
@jacquelinemajenda3364
@jacquelinemajenda3364 6 жыл бұрын
Viwavijeshi Vamizi,a serial dangerous disaster for farmers. Thanks for this informative work
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Thank you lets fight together and help our farmers
@jacquelinemajenda3364
@jacquelinemajenda3364 6 жыл бұрын
kwakuwa Kilimo ndio uti wa mgongo,hivyo kila mtu anapaswa kuelewa hili tujitahidi kuelimishana kuendeleza sekta hii ya kilimo hususan Tanzania. Asante kwa Elimu hii
@vickymgaiwa4150
@vickymgaiwa4150 6 жыл бұрын
Nice
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana. Ukielimika elimisha na mwingine.
@mariemachilu4290
@mariemachilu4290 6 жыл бұрын
A very informative documentary. Taarifa ifikie walengwa wengi zaidi ili kupata suluhisho.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana. tushirikiane kufikisha ujumbe na elimu kwa walengwa na wapendwa wetu wakulima.
@kareemrobert2581
@kareemrobert2581 6 жыл бұрын
Nice job
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Nashukuru sana Mkuu. Tuwaelimishe na wengine wamjue maana wengi hawajui
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Tusaidiane kuelimisha Watanzania wenzetu juu ya mdudu huyu hatari kwa Mazao nchini.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
+Abdul Shango (CEO HKC) ahsante sana. Niunganishe nao
@happynessmnyanyi5737
@happynessmnyanyi5737 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Calvin, binafsi nimejifunza vitu vingi na naamin pia kila atakaeiangalia documentary hii atajifunza kitu. Ombi langu ni kwamba wakulima wazidi kupata elimu zaidi na namna ya kukabiliana na hao wadudu lakin pia ni jukumu la kila mmoja wetu tulioangalia video hii kuwajibika kwa kushare na wenzetu ili pia wajifunze kitu hapa.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ahsante sana. ujumbe ukiwafikia wengi elimu itasambaa zaidi na tutakuwa tumejenga uelewa mpana kwa jamii zetu hasa wakulima.
@maxigamandossi9107
@maxigamandossi9107 6 жыл бұрын
Bonge la documentary aisee nimeipenda sana The content is well organized, the video is well planned and edited. Imetufundisha mambo mengi pia imetutaadharisha kuhusu mdudu mbaya wa mazao Keep them up keep them come
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana Dr. Maxgigama tushirikiane kuelimisha wakulima wetu wamjue mdudu huyu maana athari zake ni kubwa.
@amneswaya3910
@amneswaya3910 6 жыл бұрын
hongera.Tumejifunza
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Nashukuru kama umejifunza kitu wafundishe na wengine kwa kuwaonyesha nao waangalie au kuwasimulia ili elimu isambae.
@Truth4ever
@Truth4ever 6 жыл бұрын
Hii yenyewe, tunahitaji mambo haya ili kuwatahadharisha wakulima. Kaka hongera binafsi nimeipenda na nitahakikisha inawafikia wengi.
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana ni vizuri iwafikie watu wengi zaidi ili elimu hii iwasaidie
@kaanaelimoshi5474
@kaanaelimoshi5474 6 жыл бұрын
Hao wadudu ni tishio sana kwa sisi tunaotegemea kilimo kama njia pekee ya kujikwamua kimaisha uhodari wao wa kuharib mazao ni janga sana
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Wakati Serikali ikiendelea kupambana na wadudu hawa kwa kushirikiana na wadau wengine na sisi tuendelee kutoa elimu kwa jamii ili ijue namna ya kukabiliana nae.
@kaanaelimoshi5474
@kaanaelimoshi5474 6 жыл бұрын
CALVIN GWABARA ni kweli katika hilo ondoa shaka
@annyrobyt1307
@annyrobyt1307 6 жыл бұрын
Endelea kuelimisha jamii wajue namna ya kukabiliana na ugonjwa huu
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante Roby tusaidiane kuelimisha jamii hasa wakulima juu ya wadudu hawa hatari kwa usalama wa chakula
@HOPEMEDIATZ
@HOPEMEDIATZ 6 жыл бұрын
Kazi nzuri Calvin
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana Mkuu
@suzanecheddy
@suzanecheddy 6 жыл бұрын
Kazi nzuri.hongera sana hii elimu kubwa kwa wakulima.
@annyrobyt1307
@annyrobyt1307 6 жыл бұрын
Kazi nzuri sana brother,big up !
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Ahsante sana Suzane ni jukumu letu kuwaelimisha wakulima wajue matatizo haya na namna ya kuyatatua maana wengine hawawajui kabisaaa
@suzanecheddy
@suzanecheddy 6 жыл бұрын
Ni kweli ila elimu hii isiishie kwenye mitandao ni vyema ikaenda vijijini huko ambako hakuna TV,na social media itawanufaisha zaidi na kujua jinsi ya kutatua matatizo ya uharibifu wa wadudu wengine wengi
@Science-Media-Africa
@Science-Media-Africa 6 жыл бұрын
Hii nipo radhi media yoyote iirushe pamoja na kwamba tunairisha pia kwenye tv station yetu ya Chuo kikuu cha sokoine cha kilimo SUA -SUATV