Пікірлер
@IMRANITV1
@IMRANITV1 23 минут бұрын
Naona mpira unaenda kupoteza ladha Bora tuamiye katiba na siasa maana tff wanataka tunune tuu haujui mpira na VIONJO vyake duh ACHA tuhamie upande mwengine maana maishaagumu pesa ziro tozo nyingi huku kidogo kukitupoza lkn ndo hivyo
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 45 минут бұрын
TOKA MANARA SISI MASHABIKI WA YANGA HATUKUPENDI TOKA ZAKO😂😂😂
@lovegodmunisi1006
@lovegodmunisi1006 Сағат бұрын
Yanga mmejiloga kumpa haji kazi ya huyu jamaa,. Waliendana na Hamed ila nyie mmekosea
@Michaelkahemela
@Michaelkahemela Сағат бұрын
Msitupangie
@barakamusapolekidoti957
@barakamusapolekidoti957 Сағат бұрын
Ali kamwe anafaa kuwa msemaji wa yanga akiwa na mohamed Ally msemaji wa simba wananogesha utani wao ila sio mzungu pori
@jarufuyahaya3338
@jarufuyahaya3338 Күн бұрын
Nyani aoni kundule je Simba akupewa penati ya mchongo
@ismailyaru679
@ismailyaru679 Күн бұрын
Hawa marefa Hatuwataki tuna taka ligi iwe ya haki
@ismailyaru679
@ismailyaru679 Күн бұрын
Mwamuzi huyu hafai kabisa hata kuchezeasha ndondo Tff mungalieni Asije kutuharibia ligi
@Mumewangu
@Mumewangu Күн бұрын
Ameongea vizuri
@saadomar2480
@saadomar2480 Күн бұрын
WANASHINDA HADI WAPEWE CARD NYEKUNDU.
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in Күн бұрын
Uyu jamaa sio mnafki anapiga tu jez yake
@maestro9618
@maestro9618 Күн бұрын
Na hajifichiii
@davidwatson6821
@davidwatson6821 Күн бұрын
Kazi nyekundu, penart ! Kituko kweli!
@LeahMwemezi
@LeahMwemezi Күн бұрын
Sio ww tu ata mm ninaondoka na mwamuzi kazi ngua sana kaalibu bonanza lawatu kachezesha kisiasa na kishabiki
@allyally1077
@allyally1077 Күн бұрын
Ww unajua
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 Күн бұрын
Ubaya ubwela Simba nguvu mmoja yanga wamebebwa
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c Күн бұрын
Mwamuzi ni gsm
@user-xd4lu1xl6c
@user-xd4lu1xl6c Күн бұрын
Chama supu imemlevia
@KhayruniMussa
@KhayruniMussa Күн бұрын
Nakubali sana farhani kiam
@mdanzihoseni7250
@mdanzihoseni7250 Күн бұрын
Safi sana well say.
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Күн бұрын
Machaaaaa😅😂😂😂😂
@NaomiMichael-lr2ny
@NaomiMichael-lr2ny Күн бұрын
Macha😂😂😂
@RaymondLuvinga
@RaymondLuvinga Күн бұрын
Ubaya ubwela
@mtmarchcontempo
@mtmarchcontempo Күн бұрын
Kama Semaji wew kwa vile tangu uingie hapo Simba timu haijapata hata Kikombbe cha Kahawa. Content hakuna kwa hiyo 90% ni Comedy
@jascinthakameleki104
@jascinthakameleki104 2 күн бұрын
Hakuna jipya kiukweli. Sioni shamrashamra.
@WaridiErasmo
@WaridiErasmo 2 күн бұрын
Akuna chochote utopolo tu
@lethisiapatrice2481
@lethisiapatrice2481 2 күн бұрын
Leo kitanuka 😂,👍💪
@SamwelCreator
@SamwelCreator 2 күн бұрын
Hakuna mpya matapishi ya maji ya supu. Na vitenge basiii😅😅😅
@LennyJay-nk4ot
@LennyJay-nk4ot 2 күн бұрын
From Kenya....hongera yanga#azizi ki
@rashidmziray
@rashidmziray 2 күн бұрын
Hatuna muda na m 0:03 ashoga
@rashidmziray
@rashidmziray 2 күн бұрын
Jana my wetu mmemaga leo madume tunawalika mje kula karamu solooo
@user-eg9ri8ph1f
@user-eg9ri8ph1f 2 күн бұрын
We huogop
@samwelikessy
@samwelikessy 2 күн бұрын
mh mtapoa tuu
@ShabaniMwaijulu
@ShabaniMwaijulu 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EriudMpita
@EriudMpita 2 күн бұрын
Kwanin simba jamani mnataka kutuua au simutwambie jamani
@AsiaMohamedy-w6o
@AsiaMohamedy-w6o 2 күн бұрын
❤❤
@alexmasinde2471
@alexmasinde2471 2 күн бұрын
UBAYA UBWELA 💪💪💪💪💪🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@JumaChikota
@JumaChikota 2 күн бұрын
Nauwanjn inabdi ufanye hayamamb kk
@KissaMwakilembe
@KissaMwakilembe 3 күн бұрын
simba nguvu moja❤
@KissaMwakilembe
@KissaMwakilembe 3 күн бұрын
simba nguvu moja❤
@KissaMwakilembe
@KissaMwakilembe 3 күн бұрын
simba nguvu moja❤
@IbrahimNgolwe
@IbrahimNgolwe 3 күн бұрын
Wap0
@user-tg7vq3ty8p
@user-tg7vq3ty8p 3 күн бұрын
Kuna jitu linauliza hiyo sold out mbona kuna viti viko empty. Mfundisheni aone ni muda gani (saa ngapi) hii picha ilipigwa na muda yeye anapoiangalia. Halafu atazame nyomi la watu walio nje ya uwanja waliojipanga foleni kuingia ndani ya uwanja.
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham 3 күн бұрын
Hakika mtani umeitendea siku yako vema,hongera
@user-sn9nm1wu9j
@user-sn9nm1wu9j 3 күн бұрын
kwani uwanja unaingia watazamaji milioni 80 mbona viti vipo vitupu
@nuratothman544
@nuratothman544 3 күн бұрын
Kwani saa ngapi pila jamani tunawapata kutokea omani❤❤
@AbdullrazackHussein
@AbdullrazackHussein 3 күн бұрын
Hiyo ndy maana halisi ya ubaya ubwela kama umekubali gonga like hapa
@nuratothman544
@nuratothman544 3 күн бұрын
Ubaya ubwelaaa ❤❤❤
@arafatmaneno2838
@arafatmaneno2838 3 күн бұрын
Kama hauamini sold out ingia mtandaoni ununu tiketi, jukumu la kujaza uwanja wanalijua wanasimba wenyewe nyinyi UTOPOLO kazi yenu nongwa kutaka kushindana na kila kinachofanywa na Simba, matamasha tumeanzisha sisi nyinyi fuateni tunapopita tu
@HadijaLiwola
@HadijaLiwola 3 күн бұрын
Simba damu
@alphoncebenedictor9538
@alphoncebenedictor9538 3 күн бұрын
mbona viti vingi vipo waz
@ALLYMAKOKOLA-g1s
@ALLYMAKOKOLA-g1s 3 күн бұрын
Kama sio yako kafanye yako huwo ni utopoloooò
@AthumaniNdete-j2l
@AthumaniNdete-j2l 3 күн бұрын
Wenye ratiba ndo wanajua
@GwakisaMwambonja
@GwakisaMwambonja 3 күн бұрын
1:47
@GwakisaMwambonja
@GwakisaMwambonja 3 күн бұрын
Unyama mwingiiiii