Пікірлер
@AhmedMohamed-zj8hi
@AhmedMohamed-zj8hi 3 сағат бұрын
Kwetu atumtaki atafute pakwenda. Asije kutuvuruga tena! Kupiga picha na boss isikuticshe ndg yng. Kwani hujuwikuwa yule mwamba nimtu wakujiweka karibu na watu kama hao? Navipi kashfa alizokuwa akimtolea?!
@Shabaniomari-f9l
@Shabaniomari-f9l 15 сағат бұрын
Simba Haina Shida Tena na Mnara, saiv Mnara unasoma empty
@nikasmkud7332
@nikasmkud7332 15 сағат бұрын
Huyo ni spy ni mbinu ya kiijua Simba kiundani wanaweka mtu wa kupeleka taarifa za Siri za Simba Kwa Yanga Simba wawe macho.
@bevinmtendo8714
@bevinmtendo8714 17 сағат бұрын
Huyu jamaa ni msukule kweli, ni vizuri arudi nyumbani, maana ng'ombe akivunjika malishoni hugangiwa nyumbani! Hawa watu ndiyo maana watu wanawatafuta ili wapate utajiri, so Iko nguvu fulani ya kiroho ndani yao ambayo imeambatana na nyota ya mafanikio! We hushangai alipoenda Yanga tu wamefanikiwa kuliko? Kwahiyo tumuache arudi kwenye timu yake kule alikuwa kikazi tu, na mwisho wa kazi yake umeishia alipofika, arudi Simba hatakosa kazi ya kufanya. Ila Kwa usemaji Ahmed Ally anatosha sana, ameibeba sana timu wakati wa shida, so neema imeingia aifaidi mwenyewe! Ila Haji apokelewe kama kweli ameamua kurufi
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 18 сағат бұрын
Ahmad Ali tafuta kazi nyingine bro, huyo jamaa huwezi kufanya kazi nae, take my word
@RashidMwasiposya-ck6py
@RashidMwasiposya-ck6py 19 сағат бұрын
Mh manala tena kuludi Simba utakuwa mwisho WA ushabiki
@zainabuShabani-x9c
@zainabuShabani-x9c 20 сағат бұрын
Hatumtaki
@kipozeobakari7254
@kipozeobakari7254 20 сағат бұрын
Manara ni mwanamichezo mzuri sio mbaya kurudi kundini
@AnisiaKazungu
@AnisiaKazungu 21 сағат бұрын
Sometime guy ilikuj aweapeleleze wanajifany wamemuondoa kumbe anatakuj kuja kuhalib mi achananae huyo muhun anahangaik abak hukohuko asituletee mambo meus
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 21 сағат бұрын
Ttusimuache tumrudishe atasaidia mambo flani.tuache hasira
@SaidMana-dp4et
@SaidMana-dp4et 21 сағат бұрын
Moo manara hatumtaki kabisa ni mchawi huyo anatafuta gea ya kurudi aje kutuharibia timu yetu muogopeni huyo ni kunguru hafugiki !!❤❤❤❤
@MubbaOfficial-kk2fq
@MubbaOfficial-kk2fq 22 сағат бұрын
TABIA HAINA DAWA, LA KUVUNDA HALINA UBANI NA SUBIRA YA VUTA KHERI UMEKWAMA WAPI MNARA?, UKIVUKA NGUO CHUTAMA.
@MaulidSalum-j6o
@MaulidSalum-j6o 23 сағат бұрын
Atumtaki kilusitu mnafki mkubwa nasimba wakitaka kutuzi na kutugawa mashabiki basiwamludishe uyo polokaji atumtakii
@MasudMasisi
@MasudMasisi Күн бұрын
Ksha ona simba ip0 kweny ubola wake sas roh inauma san manara asirud simba kaitutan san simba
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 22 сағат бұрын
Kwani kuna siku ilikuwa mbovu
@MasudMasisi
@MasudMasisi Күн бұрын
Huy mzee mnafk sana aend kwa dula makabila akaombe kaz ya kumchezea dula kweny show zak simba hatumtak huyo mzee mafuta sana
@Adohboy
@Adohboy Күн бұрын
hatumtaki kabisa manara semaji LA caf linatutosha
@iginassales3433
@iginassales3433 Күн бұрын
Hatumtaki abaki huko atangaze magodoro inamfaa
@Sempay-cs9dr
@Sempay-cs9dr 2 күн бұрын
Wewe mtangazaji unaongea na pimbi
@Sempay-cs9dr
@Sempay-cs9dr 2 күн бұрын
Akili hauna
@Sempay-cs9dr
@Sempay-cs9dr 2 күн бұрын
Wewe ujui ata mpilra
@user-gu8wv4bn4o
@user-gu8wv4bn4o 3 күн бұрын
Mimi simba damu,ila wewe msemsji punguza mbwembwe,mpira dakika tisini, nakupata nikiwa o msct,,najat killar moro turian
@mwassajoseph8675
@mwassajoseph8675 4 күн бұрын
Mnatafuta like! Tu!! Lete ushahidi wa video au sauti hatutaki mtazamo wenu
@user-mo9xd8es1j
@user-mo9xd8es1j 5 күн бұрын
yaani hpo ndio teyari hata simba ilianza km masihara tusubili inyeshe na lazima tutaona panapovuja
@yusufufikiri5005
@yusufufikiri5005 6 күн бұрын
WAAMBIE UKWELI HAO WAANDISHI NJAA WASENGE HAO
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 7 күн бұрын
Yanga wachunguzwe wanatumia madawa ya kuongeza nguvu tena wanayatumia kipindichapili kwenyemapumziko
@YovitaHilalChilemba-xe4cg
@YovitaHilalChilemba-xe4cg 7 күн бұрын
Mimi ni Simba lakin Nampa kongole engenear Kwa maamuzi aliyoyafanya tunataka vijana acha wapambane Aly kamwe Ahmed Aly na Hashim ibwe tosha kabisa
@ZuhuraNhumbi
@ZuhuraNhumbi 7 күн бұрын
Manara hafanani Kwanza kazeeka
@Monymusi-xk5sz
@Monymusi-xk5sz 7 күн бұрын
Hizi story hazifai dirisha la usajili limefungwa huyo mpanzu kasaini wapi msituchanganye jamani
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 8 күн бұрын
Yanga mtaumiasana nasimbayetu hatunausajiliwamichongo mpirawayanga niwakisiasa mana mpaka wanasiasa wapokwenyeyanga kina Kikwete mweguru mbwe mama karume du kweli yanga ni kikundi chasiasa ndiomaana wananunumechi
@namfukamaismailna8203
@namfukamaismailna8203 7 күн бұрын
Acha UBWEGE UBWELA wewe, subiri uone kama mtanusa fainali ya Hilo KOMBE la loosers
@kamwagamwanjale1575
@kamwagamwanjale1575 8 күн бұрын
Kama kati yao kisiri siri wanaendesha campaign ya kuhujumiana kwamba moja wao anaonekana anafaa sisi kwetu wote mnafaa ikiendelea hali hivo ni KUWAKIMBIZA WOTE waende huko ambako wataonekana maarufu , WANANCHI HAKUNA WA MUHIMU KWETU
@user-iu3yx4hz1h
@user-iu3yx4hz1h 10 күн бұрын
Ili nibidi tu nicheke we kisugu 😂😂😂
@abuusadick9891
@abuusadick9891 10 күн бұрын
Wamesha watowa kafara jwangwani na kuwanyewa supu ss Simba tuna kaa to mastreika wamewekewa vivuli veusi apo
@Sempay-cs9dr
@Sempay-cs9dr 10 күн бұрын
Wewe akili hauna kabisa ivi yanga na simba timu kubwa iko wapi
@MasikaSaid
@MasikaSaid 10 күн бұрын
Cost😂
@sudiustathi-ku8rg
@sudiustathi-ku8rg 10 күн бұрын
Hao waandishi ni wajinga wajinga tu hajui kazi yao
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 10 күн бұрын
Kisugu umewakomesha ao Kuma wachambuz njaaa hao machokolaaa
@hajishomari6221
@hajishomari6221 10 күн бұрын
Nyie mmbwa tu wote
@HajeebasJr
@HajeebasJr 6 күн бұрын
Tena mmbwa wasiyokuwana akiri
@HajeebasJr
@HajeebasJr 6 күн бұрын
Tena mmbwa wasiyokuwana akiri
@maryamabdallah8810
@maryamabdallah8810 10 күн бұрын
Acha zarau hajajiumba yy ww mwenyewe hujajijua utakuwaje
@allywaziri1343
@allywaziri1343 10 күн бұрын
Kweli asilimia kubwa hatuna waandishi ila tunao chawa (njaa)
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 11 күн бұрын
Simba ni kubwa wandishi wa bongo walevi
@SaidiMbwana-f9m
@SaidiMbwana-f9m 11 күн бұрын
Wandishi wa habari wajinga mno
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 11 күн бұрын
Vikombe vya Simba kimataifa vipo wapi?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 11 күн бұрын
KWANI NYIE MNAVYO???? 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 11 күн бұрын
Lakini hii majitapo ya mara kwa mara kuhusu Simba mubayatowa wapi? Yaani Simba anampita Petro athletic ya Angola? Tp Mazembe, kweli?
@JabirJabir-c9o
@JabirJabir-c9o 11 күн бұрын
Waulize chama Cha mpira Africa.
@paulmwandambo7799
@paulmwandambo7799 11 күн бұрын
Ubora SI mlipata point nyingi miaka nyuma iliopita 2:50
@user-gn4cp2vq2y
@user-gn4cp2vq2y 11 күн бұрын
Jamani naomba niwambie, ubora hautazamwi kwa kushinda mechi zako, inatazamwa na nidham ya klabu inashinda kwa halali??? Ushindi wa yanga dunia inajua, hakuna swali wabadilike watafika wanakotaka kufika
@gflass6056
@gflass6056 13 күн бұрын
Bom vindo quisugo xtou mocambique palma cabo delgado
@essaumapunda5766
@essaumapunda5766 13 күн бұрын
Big up kisugu
@FadhilliIddy
@FadhilliIddy 13 күн бұрын
Kw simba hii itawatoa roho waandixh wa habal, mkiamka ni simba mkilala ni simba lkn nd ukubwa wa simba
@PiusKimaro
@PiusKimaro 13 күн бұрын
Yanga ni kama ccm.ni watu wakutrend bila cv😅
@milkionmapunda1754
@milkionmapunda1754 13 күн бұрын
Ni kweli simba wanashuka na yanga wanapanda. Nyie jidanganyeni tu msipoteneza timu
@husseinmbaya4855
@husseinmbaya4855 14 күн бұрын
Wewe.mudishi.huna.akili inajitoa ufaham