Пікірлер
@rushu1232
@rushu1232 13 минут бұрын
Uwongoo mtupu
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY Күн бұрын
sasa kati ya QASSIM MAFUTA na TAALIBAN nani wamenyooka ?!! Watu wamesimamisha KITABU na SUNNA na wameshika DOLA, wamepigana na AMERIKA miaka 20. Utajifananisha nao ww QASSIM MAFUTA jasusi.
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki Күн бұрын
Komeni masufi nyinyi ni wazee wa ubwabwa hakunakitu hap na nimajitu mavivu na utayajua kwenye mauridi
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman Күн бұрын
Sasa iyo Qur-an na Hadithi tufuate kwa ufahamu wako? 😂😂 Lazima tufuate kwa ufahamu wa wanawavyuoni... Kwa iyo ikitokea wanawavyuoni wamekhitillafiana hata uyo unaemfuata wewe anaweza akawa ndio amekosea... Ndio mana mnatoa hukmu za ajabu ajabu
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU Күн бұрын
Sio kila muda wanachuoni wanapatia....kuna muda mwanachuoni anaweza akatumia akili yake,akiwa labda hajui hadithi husika....Kwo kuna haja kubwa ya kurudi katika Quran na Sunnah kama kuna Ikhtilafu......Kama wote wametumia dalili basi hapo ndo inaweza ikapatikana udhuru wa kila mtu kufuata kile anachokiamin
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU Күн бұрын
Mfano hakuna dalili inayoonesha kuwa Maulid ina Swihi...sasa unapokuja kusema kuwa hilo swala lina ikhtilaf wakat hakuna dalili lazima tukurudishe katika Quran na sunnah
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki Күн бұрын
Mashaallah ya akh eee ndo waache ushabiki ktk dini hao masufi​@@ABUUBAAZNYUNGU
@KaramaKarama-jm7qo
@KaramaKarama-jm7qo Күн бұрын
Mashaallah Sheikh Abdallah,hawa masufi wana mapya mapya kila siku.Dah enyi masufi niwaulize HAMUCHOKI KUZUA?
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 2 күн бұрын
Huyu ni jaahili murakabu hakuna shehe hapa ila Kuna jitu jinga
@user-mf5xp1nf4j
@user-mf5xp1nf4j 2 күн бұрын
Huyo salafi gani😂 wata kauli ya swahaba ambayo iko muyawatir kwa kufata kauli ya ibnu koyyim ambae ni mwanachuoni wa karni ya 8-9
@mafiatv5479
@mafiatv5479 2 күн бұрын
Huyo kila siku vijembe tu, tushakuchoka fitna mjinga wewe,,, bas umesoma wewe, watu wote hawakuaoma wewe peke yako una ilimu dunia mzima
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 күн бұрын
Nenda uko
@j4amas5
@j4amas5 3 күн бұрын
Huyu ndio Abuu Hashim aliyetolewa makosa ustadhi Muhammad Bachu?
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 3 күн бұрын
Kweli mafuta umeishiwa Talibani nimasufi😂😂😂 Ukikutwa unasikia mzikitu unapigwa fimbo na talibani. Wewe salafi (sahaba) Makafiri wamekuridhia Masalafi wakalne ya 21
@Youngdenomypacome
@Youngdenomypacome 3 күн бұрын
Wewe nae uko mbali na masaail ya dini, kwa hiyo mpaka leo hii hujui kama talibaan wako katika twariqa ya kisufi? Au unadhani twariqa ya kisufi mpaka ufanye tawassul, khitma na mawlid?
@nyatya199
@nyatya199 3 күн бұрын
Baadhi ya watu hawajielewi pamoja na kusoma kwao , hebu msikize huyu Jamaa anavyotapika
@ahmedalamoudy6780
@ahmedalamoudy6780 3 күн бұрын
Lazimaa tulete wazi ma sheikh ambao wanadhalalisha watu na wanawapotezaa kama sheikh yusuf Abdi na Dr.islam na wengine ..Siku hizi imekuwa kurekibisha waislam wenzaku ngumu zaidi kuliko kusilimisha kafir
@sultanmohammed4157
@sultanmohammed4157 4 күн бұрын
Huyu anae zungumza sio shekhe ni mtusi hawa ndio want tutia moto na kututoa pep0ni.Mjinga katika dini yake.
@user-cy1od5xr8x
@user-cy1od5xr8x 4 күн бұрын
Ukiona mtu anajifanya anajua Kila kitu ujue hajui maana hakuna mtu aenajua Kila kitu kama masalafy hakika Hawa ni majahili wa zama hizi wanaowapoteza watu wasiojua kitu na hizi zama ni zama za fitna na fitna kubwa Hawa masalafy na maanswari kazi Yao wao matusi na kashfa na kujiona na kutamba kuwa wanajua Kila kitu wao maadui zao wakubwa ni waislam kuliko Mayahudi na wakristo na washirikina
@loveyourneighbor204
@loveyourneighbor204 5 күн бұрын
Watu Hawa khatari mno Wapata wapi ujasiri wa kuogea maneno ya uwongo Allah atunusuru
@AlhajiMswaki-de3kb
@AlhajiMswaki-de3kb 5 күн бұрын
Duh nyie mawahabi mtihan
@KishkitvAhmad
@KishkitvAhmad 6 күн бұрын
Deixem o nosso sheikh em paz se bem você estudou então procura a ele,para se enderretar
@KishkitvAhmad
@KishkitvAhmad 6 күн бұрын
Wewe ndio sie soma kishki kasoma,zaidi paada ya kumtafuta,jadiday mbayae usie fundinza adabu,muache sheikh wetu kishki usitie dosari.from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@abulhakim2294
@abulhakim2294 6 күн бұрын
Alafu mtume s.a.w. asema mtu mnafiq katika alama zake moja wapo akiongea ni lazma aonge uongo na ww unaonekana nikatika haao wanafiq. Mm sijawahi hata siku1 kumuona sheikh yusuf akisoma maulid, japo hana vita na watu wa maulid wola hana vita na watu walio ikhtalifiana na yy. Nahii nikuonesha huyu mtu anajua adabu za kukhtalifiana na wenzake. Ikhtilafu sio vita wola chuki. Ww unachuki na sheikh yusuf hadi unaongea uongo na kusema yy ni mtu wa maulidi astaghfirullah
@abulhakim2294
@abulhakim2294 6 күн бұрын
: أَمْ يَحْسُدُونَ ٱلنَّاسَ عَلَىٰ مَآ ءَاتَىٰهُمُ ٱللَّهُ مِن فَضْلِهِۦ ۖ فَقَدْ ءَاتَيْنَآ ءَالَ إِبْرَٰهِيمَ ٱلْكِتَٰبَ وَٱلْحِكْمَةَ وَءَاتَيْنَٰهُم مُّلْكًا عَظِيمًا Hasad ndio zawa sumbua nyie , mwenzengu sheikh yusuf Abdi watu wamempenda kwasabbu ya mapenz ya mngu, nyny ni vikundi va kishetani munao jiita Ahlu sunnah au salafii, hakuna sunnah ya kutusi watu , mtume s.a.w. hajawahi mtusi hta kafiri wacha muislamu au mtu anae fanya daa,wah ati mwajiita mashekhe shekhe gn anatusi watu , dunia ya leo nani hajui kama sheikh yusuf ni msomi, mm cjawahi onana na yy ana kwa ana na niko hapa hapa kenya lkn Alhamdullah mngu amenipa mapenz ya kupenda watu wema na mashekhe ikiwa sheikh yusuf ni moja waao kati ninao wapenda.
@RamaIssac
@RamaIssac 6 күн бұрын
Shehe ww ndo unakosea usimwambie mwenzio hajasoma icho chako ni kibri unachofanya yaani tukuone ww ndo umesoma kumbuka dharau mbaya sote tunaimani moja kwa Allah sasa ww unatuletea nn tukuelewe
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 6 күн бұрын
Wewe ndio mjinga kabisa
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 6 күн бұрын
Umadhehebu
@rushu1232
@rushu1232 6 күн бұрын
Nisunnah sio fardhi yaweza kuwa sunnah muaqada laki I sio fardhi musipoteze watu.
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 6 күн бұрын
Kasome kunyowa ndowa haifai unaingia kwenye milango ya sunna
@rushu1232
@rushu1232 6 күн бұрын
@@Thabitilubunani hakuna mahali hata pamoja imandikwa ni fardhi ukiweka utapata thawabu na ukinyowa hupati dhambi.
@ismailmohamed41
@ismailmohamed41 6 күн бұрын
ALLAH ATUPE HIDAYA SOTE. SUNNA NI MAAMRISHO YA MTUME AMBAO NI WAHYI. WEMA WOTE HAWA KUWA WAKINYOA NDEVU KWA SABABU NI DHAMBI. FUNGA NDEVU NDIYO SURRA YA MWANAUME NA UPATE UJIRA KWA ALLAH. BARAKA ALLAH LAKUM
@rushu1232
@rushu1232 6 күн бұрын
@@ismailmohamed41 mimi nafunga ndevu nafuata sunnah Alhamdulliah lakini haqqi lazima ifahamishwe kuwa ni sunnah na sunnah sio ndevu tu yawzekana asieweka ndevu akawa na sunnah zengine nyingi kushinda anaeweka ndevu twendeni na humu ya jambo.
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 6 күн бұрын
Wema wote walikuwa wanasunna nyingi sana lkn hiyo imekuwa km alama ya vijana wa kiwahabiya na mashehe zao lkn Sunna nyingi na Kuna nyingine hufanyi sasa wewe unachagua Sunna za kufanya!????​@@ismailmohamed41
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 7 күн бұрын
Ww shekhe haupo sawa msafi sana kaambae upo pepon
@Hunger388
@Hunger388 7 күн бұрын
Sasa huu ni ufudhuli kumwita sh Izudiin sh wa Jamaica hu ina inaonesha ukosefu wa Adabu na kutomfuata mtume muislaamu hafaai kutukaana wa la kuvunjia watu hishima kama ni kimkosowa mtu basi fanya kwa hishima wala sio kwa kumtukana kumvunjia heshima na Kum kejeli natumai mtafahamu bi iznillah
@AllyAllyKupaza
@AllyAllyKupaza 7 күн бұрын
Wahabi bwana nimtihani pole sana sheikh
@azizaj776
@azizaj776 7 күн бұрын
WOTE washirikina hata Salafi na kiskish WOTE washirikina
@KhadijaAlly-wf6wx
@KhadijaAlly-wf6wx 7 күн бұрын
Subhanaallah Allah akuhifadhi nilikuchukiaga lkn asaiv Nakupenda kwaajili ya Allah
@bakarimwerangi-zu9bs
@bakarimwerangi-zu9bs 7 күн бұрын
Walatajassasu
@KhadijaAlly-wf6wx
@KhadijaAlly-wf6wx 7 күн бұрын
ALHAMDULILLAH KWA ALLAH KUNIJAALIA KUFUATA NJIA YA WEMA WALIO TANGULIA
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 7 күн бұрын
QASSIM MAFUTA ni mtu wa QIBR, ni mtu wa KUJIKWEZA na ni mtu wa FITNA.
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 7 күн бұрын
KADRI Siku zinavyozidi kwenda ndivyo nazidi KUMDHARAU QASSIM MAFUTA
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 8 күн бұрын
حسبنا الله ونعم الوكيل ولاحول ولاقوة الابالله العلي العظيم. Kutukana watu ndio Dini na Dunia. Tieni akili ustadh usijimakinishe .
@abusabirhassan1844
@abusabirhassan1844 8 күн бұрын
فلا تزكو أنفسكم هو أعلم بمن التقى
@KASSIMSAMAMBO
@KASSIMSAMAMBO 8 күн бұрын
Allah anaweza kytuondosha soote na alete viumbe wapya
@KASSIMSAMAMBO
@KASSIMSAMAMBO 8 күн бұрын
Yan sufi huyo ni mjinga wa mwisho anaetegemea watu kua bila wao hatuishi mbwa yeye hafikirii vizuri anahisi allaah hawezi kuumba watu wengine ni nani
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 8 күн бұрын
Kwahiyoo akiwa hakusoma dini wala Dunia sisi tukufanye Nini ? Basi mpe mkeo amsomeshe dini mbwaa wewe wa kiwahabii
@salimobeid1470
@salimobeid1470 9 күн бұрын
We ndo ulosoma kwa sample hio hasara yako ndugu yngu ogopa Allah we acha dunia isikughuri usione kua Allah anakufurahia rudi katika njia we usivunje hishma ya mtu
@suuahmed71
@suuahmed71 9 күн бұрын
Mawahabi ndio wale alowasema MTUME s.a.w ni vizazi va yule Swahaba aitwae Dhulkhuweswira. Alie mkosea adabu MTUME s.a.w kumwambia MTUME s.a.w hafanyi.uadilifu. ndio hawa wenye kukosea adabu mashekhe
@habibswaleh_tv8767
@habibswaleh_tv8767 9 күн бұрын
Hamuna kazi za kufanya....tena nyinyi ndio munaitwa masheikh balaa sana
@user-ie3lw9eb6p
@user-ie3lw9eb6p 9 күн бұрын
Saaa wewe wenye ulisoma unamzidi nini bona wewe ndiye unaonekana hujasoma .ungekuwa umesoma ungemutafuta mkaongeya kisiri . Abdi yusuf John ni mzima kuliko wewe .chuki yako kwake ndio inasababisha useme urongo wenye hauna kichwa na migu . Nashanga watu wenye wanakufataga wewe Abuu hashim
@huseintajo8113
@huseintajo8113 10 күн бұрын
masufi ni watu wazushi na wenye kupotosha umma katika uisilamu
@khamisothman1154
@khamisothman1154 10 күн бұрын
Hii sio raddi bali ni mashambulizi binafsi
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 10 күн бұрын
NAHISI KAMA WEWE UNATAFUTA UMAARUFU KUPITIA JINA LAKE. MASHAALLAH ALLAH KAMPA NAFASI.ANA BIDII YA KUITAFUTA ELIMU.WEWE UNAEJUWA ELIMU BIRA UKAITAFUYE ELIM VIZURI.HUWEZI KUMKASHIFU MWENZAKO NAMNA HIYO. HAIJUZU KABISA KUTOWA MANENO KAMA HAYO KWENYE MITANDAO. ALLAH AMLINDE.MTI MTUPU HAIFATILIWI ILA MTI WENYE MATUNDA NDO UNA FATILIWA SANA.
@awadhmchaki6567
@awadhmchaki6567 10 күн бұрын
MaashaAllah Allah akuhifadh Shekhe wetu Abuu Hashim tunakukubali sana ukweli umewafikishia tukana lkn huo ndiyo ukweli kitawauma sana na bado .
@mafiatv5479
@mafiatv5479 2 күн бұрын
hawezi akamuhifadhi ikiwa hajamstiri muislamu mwenzake, huo ni ushenzi na ukike na usenge alokua nao mbwa tu hy
@awadhmchaki6567
@awadhmchaki6567 10 күн бұрын
MaashaAllah sheikh Allah akuzidishie Umri na nguvu na akulipe kheri nyingi Alhamdulillah
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 10 күн бұрын
YAAN WEWE KWELI BWEGE , KWAHIYO WEWE NDIO UMESOMA?! 😂😂 UMEKUSANYA WEHU WENZAKO WANAKUSIKILIZA
@abdulali753
@abdulali753 10 күн бұрын
Uhasidi bure huo 😂😂😂