Nimependa sana mdahalo huu, barikiweni nyote kwa elimu nzuri
@IsackMntaji49 минут бұрын
Mch,ndacher,punguza munkari ninyi wote ni wakristo,nakuomba uongozwe na roho wa bwana kama mwenzako danieri ili tuwaelewe vizuri mbona danieri tunamuelewa?
@dadamuebrania1539Сағат бұрын
Kwahiyo hapo Myahudi ni nani na asiye Myahudi ni nani? 😢Yesu tuhurumie imeshindikana kuwafanya mataifa kuwa wanafunzi? Ninachoona hapa ni kuumana na kulana woiii 😢 bytheway MWALIMU MWANKEMWA SIKUELEWI KWENYE HII MADA.
@costantineevarist5110Сағат бұрын
Barikiwa mtumshi .Tuko pamoja kwa kazi Ya Mungu
@Sindato-xy3xuСағат бұрын
Amen sana mtumishi wa mungu akubariki
@daudmtoba1912 сағат бұрын
Jameni usiku kuamkia Leo tarehe 30/06/2024 Kuna njozi imenitokea niliona kitu kikiwa kina Toka Juu angani kika piga ndani ya bahari baada ya muda kidogo kutazama Juu pale icho kitu kilipo tokea Nikaona mbingu zina funguka Nika ona kundi kubwa wamepanda farasi wame vaa mavazi meupe na kiongoz alikua na taji kichwani ya dhahabu ilikua iking'a baada ya muda kidogo Nika ona kiumbe Kwa mbali kime simama angani kina umbo la kibinadamu kinang'aa sana angani mwanga mkubwa ukawa una mlika duniani watu wakawa Wana kimbia kimbia Nika shituka usingizini najiuliza maswali sipati majibu
@navokisembo6 сағат бұрын
Ndacha Mungu akulinde baba
@benardmwamboneke96126 сағат бұрын
Hekima alionayo mzee wa neema si ya kidunia niyaulimwengu mpya kwani ajigambi ila anaekima ya kimungu hivyo ndivyo anaitaji mungu tufundishane mfanye mwenzio kuwa bora ndo mana amesamini uwepo wa ndacha nakumpenda, ndacha wewe ni bonge la mwalimu ila nakuomba kuwa endelea kudadisi utapata majibu kuwa torati ni kivuli cha neema
@ServantofGod-tg8hn10 сағат бұрын
Amen 🙌
@ephraimkanyambo482913 сағат бұрын
Musa alioa baada ya Sipora kufariki
@DimaDaro-ts1kq14 сағат бұрын
Danieli wewe hueleweki kabisa
@KelvinKachikulu16 сағат бұрын
Mwalim ndach fundisha na mda yakuusu nyimbo ambazo znapaswa kuimbwa kanisan
@daudmtoba19117 сағат бұрын
Hakika wew ni mtumishi wa Mungu
@BONIFACEANANIA17 сағат бұрын
Barikiwa mtumishi
@BONIFACEANANIA17 сағат бұрын
Barikiwa mtumishi
@BONIFACEANANIA17 сағат бұрын
Barikiwa mtumishi
@puretruthministry201718 сағат бұрын
Afadhali ukufe ukitetea yahshua means WA Yahweh..kuliko kufa ukitetea uongo uliowazi
Mwankemwa imefeli na ndacha umefeli kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbuiza wote shimoni
@ChandeDaudiКүн бұрын
Yesu ni mtume kwa wana wa israel
@ChandeDaudiКүн бұрын
Mwenyezi Mungu ni mmoja tu ni muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote nae ni ALLAH sio yesu
@bensonkiarie3352Күн бұрын
Amen
@martinmkoba361Күн бұрын
Shafii yeye kazi yake kusikiliza mada kisha anakuja kuongea badae😂😂😂
@user-dt5wp5qo4nКүн бұрын
Mwalim ndacha na mwalim mwakemwa hao wawili ni cimba yetu wakristo wakinguruma tu waislamu wanaingia baridi hakika mungu ni mkuu anatupenda wakristo kwa kutupea waalimu wenye hekima mungu awlinde na awape maisha marefu,
@BakangayaBantabaКүн бұрын
Sasa unapaswa ubatizwe kwa jina gani
@user-mg9pc6ig2gКүн бұрын
MWALIMU Mungu akubariki
@JojoSrenaКүн бұрын
Waislam. Wanajuwa sana kwamba majini wanashiliki noa. Ila hawataki ijulikane kwawatu maana ikijulikana watu hawata silim
@JojoSrenaКүн бұрын
Nakupenda sana mwalimu Ndacha ww nijasili sana. Umefunguwa macho ya watu wengi mungu akutangulie kwakira jambo. Usiogopi
@user-dt5wp5qo4nКүн бұрын
Amina
@zuberkasim7150Күн бұрын
Quran 114 :1- 6 mungu anatupa maelekezo yakujikingu nauovu kati ya majini na binadam
@bustedislam3578Күн бұрын
Unajikinga aje na ndugu zenu majini waliosilimu?
@user-go1rl6bb1zКүн бұрын
Mwalim mungu akupe nguvu ya kuifanya kazi ya mungu.
@eiddykenga5816Күн бұрын
Nawakati unamtumikia iblis..kwani hujielewi waomba Mungu,ama iblisi..ila upande mkubwa wakristo niushetani sasa ndacha NI agent WA shetani..unaabudu katika kanisa lilioanzisha na kahaba
@StephenMwijageКүн бұрын
Unasumbuliwa na mila unaingilia utendaji wa Roho wa Mungu ktk siku za mwisho. Mdo 2: 17- 18, 1Kor 12 : 11
@jjtm164Күн бұрын
Yesu alimeza siku ya sabato
@shepherd1x84Күн бұрын
We will support the Work of God usiworry bro..na sisi hatutishwi na ukorofi wa Ndugu zetu .
@user-tz8zu2gt6uКүн бұрын
walinzi wetu ni wengi kuliko wananavyona wao yesu wetu ni jeshi kuuu s
@user-tz8zu2gt6uКүн бұрын
waislamu wanaokataa majini ni waisilamu hafifu juu majini ndio huwafikishia ujumbe Kaa Kwa mkristo roho mtakatifu ndiye huleta ujumbe
@user-mb6ob5fx3lКүн бұрын
Ni kweli awa watu ni wanafiki sana
@richardchimba3800Күн бұрын
Mjadala mtamu
@mbalilax162Күн бұрын
Barikiwa sana
@abangaabanga4677Күн бұрын
Amen pastor 🙏🏿
@estachkm824Күн бұрын
Amen barikiwa
@furahag3098Күн бұрын
Amen mtumishi ndacha barikiwa sana
@CharlesMbise-hc2szКүн бұрын
Mimi ni mmoja wapo kaka ndacha nipo tayari kukusaport kwa hali na mali kwa namna yeyote
@zuberkasim7150Күн бұрын
Ninacho kuomba simamia ukweli na unapoona ukweli ktk uislam kubali usiwembishi najua unakiu ya kutaka kujua ukweli ili uingie katika uislam tukopamoja
@bustedislam3578Күн бұрын
Eti uislamu ni dini ya kweli? Kwa andiko gani?
@winnieofutare5324Күн бұрын
Hio ni ukweli mtupu mwalimu Ndacha,mm niko uarabuni na naweza sema hii nyumba niko kina majini maana kuna kijana mkubwa sana miaka 33 ni mwendawazimu(majnun)kwa kiarabu, na huyo kijana nina miaka mbili hapa lakini hajawahitolewa nnje,yy amefungiwa tu kwa room moja
@user-tz8zu2gt6uКүн бұрын
ii ni dini yamajini
@user-tz8zu2gt6uКүн бұрын
mwalimu , shafiii Hana elimu yeyote atlist unaweza fanya mdahalo na mazinge na sule shafiii hana elimu yeyote hajui kuwa majini kwao nikaa Roho mtakatifu kwa wakristo
@zuberkasim7150Күн бұрын
Nikweli badhi yaviongozi wetu wadini ndokaziyao wamechagua hayo bilahofu ya mungu
@zuberkasim7150Күн бұрын
Nilitegemea kwamba utowe aya au hadith muhammad anasema tuabudu majini waislam tumekatazwa kabisa quran 114- 1- 6 mungu ametupa tusome kujiepusha na viumbe hao
@user-dt5wp5qo4nКүн бұрын
Wewe ndio huwelewi,hadi dk sule amefundisha majini niwazuri,anatumia majini kujinufaisha na kupata pesa na utajiri kutoka kwa majini na wanaenda msikitini mkisali pamoja na sasa ww unakat ww ni mnafiki were ushindwe kwa jina layesu
@bustedislam3578Күн бұрын
Hivi hao maiji na shetani waliosilimu wakisoma Quran wanajikinga aje kwa nani?
@opujejoshmahjoshmah143223 сағат бұрын
Basi tufunze kwa hii aya Q72:1-14
@JanethAnton-fx1mk15 сағат бұрын
Asa utajiepushaje nao na wapo wengine waislamu Katka 72: 14 Quran na waislamu wote Ni ndugu
@bustedislam357815 сағат бұрын
@@JanethAnton-fx1mk sasa waislamu watu na waislamu majini wote wataingia peponi pamoja? Na huko waislamu watapewa wanawake wengi. Je, majini pia watapewa wanawake?