Amina baba Mungu akubariki tuko kakola kahama tuwafatiria
@jisraelel23348 күн бұрын
AMEN SANA SANA
@jisraelel23348 күн бұрын
MUNGU BABA WA MBINGUNI AKUPE UJASIRI ZAIDI KUINENA KWELI NA KUYASEMA MASHAURI YA MAPENZI YAKE KILA USIMAMAPO NA KUHUTUBU HABARI NJEMA YA NEEMA YA MUNGU KWA KRISTO YESU BWANA WETU;
@annkim26908 күн бұрын
Tunaitwa wateule Mungu hatuachilii
@annkim26908 күн бұрын
Nawamegoma basi Kwa hao manabii wa mchogo
@joycefesto14299 күн бұрын
Ulitaka abadilishe aweke NN?
@marianahermes63019 күн бұрын
Sunday service ni Nini? Si ubadilishe??
@silviaandayi44449 күн бұрын
Please like the live to reach many people
@noeljaphet633911 күн бұрын
🙏🙏🙏
@paschalpeter723313 күн бұрын
Amen Amen baba yangu
@AmosMwakifuna15 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi nimekuelewa sana
@AmosMwakifuna15 күн бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi nimekuelewa sana
@user-vl1sg4bn8d19 күн бұрын
Amen
@sionlemajoel7220 күн бұрын
Amen baba. Nimejifunza sana katika Kongamano. Mungu akubariki sana. Wewe ni baraka katika kizazi hiki.
@mwl.jacksonmollel195521 күн бұрын
Amina Amina Mpendwa Mtumishi wa Mungu
@mwl.jacksonmollel195523 күн бұрын
Ni hakika Hakika Mtumishi mpendwa wa Mungu na rafiki yangu
@YaeliJoseph23 күн бұрын
Haleluya 👏
@joycemshana402823 күн бұрын
Haleluyaa..kwa kweli
@jisraelel233425 күн бұрын
AMEN
@GaudenciaAnthony25 күн бұрын
🥰🥰🥰
@user-mg8xq5nm3wКүн бұрын
Apostle miaka mingi kwako
@neemakalugila767425 күн бұрын
Amen, watching from Holland 🇳🇱
@jisraelel233426 күн бұрын
NIKO OLMOTI KAZINI SAFARI CITY, NAKULA ILI NIKUE KIROHO NA KIMWILI NIFANIKIWE KATIKA KRISTO YESU BWANA. UTUKUFU ANASTAHILI MWANA-KONDOO.
@pastorneemambise26 күн бұрын
Neema juu ya neema
@user-lq5ku4vi4v26 күн бұрын
Yesu akutunze mtumishi wa mungu
@JohnMarwa-tq7fh26 күн бұрын
Bwana asifiwe ninafatiliya kogamano kwajia ya mtadao baba tupo pamoja nimimi katibu wa kada ya ziwa
@pastorneemambise27 күн бұрын
Baba Barikiwa sana
@user-vf3ru4fr7m27 күн бұрын
Media, sauti haipo
@RechealFelly27 күн бұрын
Amen nafutilia nikiwa kenya malindi
@silviaandayi444428 күн бұрын
Your holy God
@NoahPhurnah29 күн бұрын
Amina amina
@thomasmandao417929 күн бұрын
Amen Glory to God
@jisraelel233429 күн бұрын
TENA NINA KULA NIKUE AMINA.
@jisraelel233429 күн бұрын
HILI, SI LA KUNIKOSA NA KUNIPITA EE NAFSI YANGU TWENDE UKALE UKUE KIROHO KATIKA KUMJUA MUNGU WA PEKEE WA KWELI, NA YESU KRISTO MWOKOZI WANGU; AMEN.
@Emmanueljoseph-pl7we29 күн бұрын
Ameen hakika tunapokea baba
@VictorMatayo-qf6so29 күн бұрын
Kongamano la siku ngap
@user-fg3nj1bg5n29 күн бұрын
Wiki
@user-fg3nj1bg5n29 күн бұрын
One week
@julianamkongwa348Ай бұрын
Unanibariki Sana mtumishi wa Mungu.
@veronicageofrey5099Ай бұрын
Amen
@manfordmkinga4080Ай бұрын
Mungu amekuinua sana Apostle
@mollelshange2412Ай бұрын
Amina Amina masihi wa Bwana
@nayothbandfamilyАй бұрын
MUNGU akutunze baba napenda sana mafundisho Yako. Natamn ata kwenye kongamano la huu sa6 niwepo ili nijifunze zaid. BARIKIWA SANA.🙏🙏🙌
@manfordmkinga4080Ай бұрын
Huyu mtume ni hatari anamafunuo makubwa sana ila watu hawajamjua😊
@manfordmkinga4080Ай бұрын
Huyu mwl mzuri sana
@MarijaniProsperАй бұрын
Amen Apostle
@manfordmkinga4080Ай бұрын
SABABU ZA KUTOJIBIWA MAOMBI. (1) MAHUSIANO YAKO NA MUNGU NA WATU WENGINE (Kabla Mungu hajakujibu anaangalia Mahusiano yako na wengine) +huwezi toa sadaka +Huwezi kuomba (LASIVYO UNAPOTEZA MUDA) -Hatazuia kunena kwako ila atazuia majibu (check list wewe na Mungu na watu pia) "why most prayerful but not answered? (2)VIWANGO DUNI VYA IMANI +Mungu hajibu maombi ila anajibu vitu vilivyoko Kwa mwombaji(kifaa kinachotuweka active in spiritual realm (Imani ya kiungu lazima iwe tested kabla yakuwa trusted. (Ukiwa na safari ndefu maandalizi yako makubwa so usijilinganishe na mwingine(Eb1:1-2)
@piussantos8350Ай бұрын
Hallelujah mungu ni mwema haki Ile somo ni langu namini kabisa kwa ili nitasuhudia in the name of Jesus Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu